Inawezekana mtuhumiwa kutoroka kituo cha polisi?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
262
Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha kubakwa na kutelekezwa akiwa katika maumivu makali sana.

Tulimpeleka kituo cha Afya Mrijo kwa ajili ya matibabu. Taarifa ya daktari ikathibitisha kuwa binti yangu amebakwa. Tuliripoti tukio hilo kituo cha polisi Mrijo na kufunguliwa jalada RB/MRJ/364/2026 na msako wa kumtafuta mtuhumiwa ukaanza. Mtuhumiwa anaitwa Abdul Yassin, mkazi wa Mrijo wilaya ya Chemba. Kwa kushirikiana na wananchi, tulifanikiwa kumkamata mtuhumiwa tarehe 3 Julai 2026.

Mtuhumiwa alifikishwa kituo cha polisi Mrijo, ili hatua nyingine za kisheria ziweze kuchukuliwa. Kwa kuwa ushahidi ulikuwa wa kujitosheleza, mtuhumiwa alitakiwa kupelekwa Mahakamani jana tarehe 06 Julai 2026. Lakini katika hali ya kushangaza, hakufikishwa mahakamani na polisi walipoulizwa walidai kwamba alitoroka akiwa kituoni.

Najiuliza mtuhumiwa anawezaje kutoroka akiwa kituo cha polisi chenye ulinzi mkali wa askari wenye silaha? Tena Mtuhumiwa wa kesi kubwa kama hii? Na kwa nini atoroke siku ya kupelekwa mahakamani? Sijaridhika na maelezo ya polisi. Naomba unisaidie kupaza sauti ili haki ya mwanangu ipatikane.!
 
Poleni sana.
 
Mama Gwajima tunaomba msaada wako. Dkt. Gwajima D
 
Nilimprleka mtuhumiwa polisi :
Polisi wa mbeya anaitwa simoni akala rushwa afu akasema ametoroka na nilitumia laki 2 kumkamata
 
Pole sana mkuu, mlifanya vyema sana kumpeleka polis, mitaa ninayotoka mtu kama huyo hapelekwi polis ikibainika amefanya tukio hilo kinaga ubaga, karma ya mitaa yeti inafanya kazi haraka sana, pole sana mkuu
 
Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha kubakwa na kutelekezwa akiwa katika maumivu makali sana.

Tulimpeleka kituo cha Afya Mrijo kwa ajili ya matibabu. Taarifa ya daktari ikathibitisha kuwa binti yangu amebakwa. Tuliripoti tukio hilo kituo cha polisi Mrijo na kufunguliwa jalada RB/MRJ/364/2026 na msako wa kumtafuta mtuhumiwa ukaanza. Mtuhumiwa anaitwa Abdul Yassin, mkazi wa Mrijo wilaya ya Chemba. Kwa kushirikiana na wananchi, tulifanikiwa kumkamata mtuhumiwa tarehe 3 Julai 2026.

Mtuhumiwa alifikishwa kituo cha polisi Mrijo, ili hatua nyingine za kisheria ziweze kuchukuliwa. Kwa kuwa ushahidi ulikuwa wa kujitosheleza, mtuhumiwa alitakiwa kupelekwa Mahakamani jana tarehe 06 Julai 2026. Lakini katika hali ya kushangaza, hakufikishwa mahakamani na polisi walipoulizwa walidai kwamba alitoroka akiwa kituoni.

Najiuliza mtuhumiwa anawezaje kutoroka akiwa kituo cha polisi chenye ulinzi mkali wa askari wenye silaha? Tena Mtuhumiwa wa kesi kubwa kama hii? Na kwa nini atoroke siku ya kupelekwa mahakamani? Sijaridhika na maelezo ya polisi. Naomba unisaidie kupaza sauti ili haki ya mwanangu ipatikane.!
Nenda kwa RCO mkoani au mkuu wa wilaya ya Chemba!
 
Pole sana Baba kwa yaliyokukuta ma mwanetu,
Tanzania hakuna kisichowezekana, ni pochi yako tu kwa hawa maPOLICCM wenye njaa ndiyo maana wengine hujichukulia sheria mkononi alipaswa atangulizwe kuzimu na siyo kituo cha POLICCM
 
Kama mkono wake ni mrefu anaweza kutoroka hata kambi ya jeshi. Ila kama mkono wake ni mfupi hawezi kutoroka hata akilindwa na sungu sungu
 
Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha kubakwa na kutelekezwa akiwa katika maumivu makali sana.

Tulimpeleka kituo cha Afya Mrijo kwa ajili ya matibabu. Taarifa ya daktari ikathibitisha kuwa binti yangu amebakwa. Tuliripoti tukio hilo kituo cha polisi Mrijo na kufunguliwa jalada RB/MRJ/364/2026 na msako wa kumtafuta mtuhumiwa ukaanza. Mtuhumiwa anaitwa Abdul Yassin, mkazi wa Mrijo wilaya ya Chemba. Kwa kushirikiana na wananchi, tulifanikiwa kumkamata mtuhumiwa tarehe 3 Julai 2026.

Mtuhumiwa alifikishwa kituo cha polisi Mrijo, ili hatua nyingine za kisheria ziweze kuchukuliwa. Kwa kuwa ushahidi ulikuwa wa kujitosheleza, mtuhumiwa alitakiwa kupelekwa Mahakamani jana tarehe 06 Julai 2026. Lakini katika hali ya kushangaza, hakufikishwa mahakamani na polisi walipoulizwa walidai kwamba alitoroka akiwa kituoni.

Najiuliza mtuhumiwa anawezaje kutoroka akiwa kituo cha polisi chenye ulinzi mkali wa askari wenye silaha? Tena Mtuhumiwa wa kesi kubwa kama hii? Na kwa nini atoroke siku ya kupelekwa mahakamani? Sijaridhika na maelezo ya polisi. Naomba unisaidie kupaza sauti ili haki ya mwanangu ipatikane.!
Dkt. Gwajima D shughulikia hii tafadhali.
 
Sijajua sheria inasemaje kuhusu Mtuhumiwa kukamatwa na Kutoroka mikononi mwa POLISI.

Jibu kama Inawezekana au Haiwezekani : Jibu ni inawezekana vizuri kwa 100% mtuhumiwa kutoroka bila kutoa rushwa ya PESA.

Ma askari ni wazembe na hawachukulii uzito swala la ulinzi kwa mahabusu lakini niseme ukweli

MTuhumiwa Kutoroka inawezekana Bila Hata RUSHWA 1,

Swali ni : Serikali (kituo husika na uongozi wake) inawajibiShwaje linapotokea jambo la namna hiii???
 
Naitwa Batuli Selemani Kiberenge, Mwalimu wa shule ya sekondari Mirijo na mkazi wa kijiji cha Mrijo wilaya ya Chemba. Mnamo tarehe 2 Julai 2026 binti yangu mwenye umri wa miaka 8 (jina nalihifadhi ili kulinda faragha yake), mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Sanzawa, alitekwa na kisha kubakwa na kutelekezwa akiwa katika maumivu makali sana.

Tulimpeleka kituo cha Afya Mrijo kwa ajili ya matibabu. Taarifa ya daktari ikathibitisha kuwa binti yangu amebakwa. Tuliripoti tukio hilo kituo cha polisi Mrijo na kufunguliwa jalada RB/MRJ/364/2026 na msako wa kumtafuta mtuhumiwa ukaanza. Mtuhumiwa anaitwa Abdul Yassin, mkazi wa Mrijo wilaya ya Chemba. Kwa kushirikiana na wananchi, tulifanikiwa kumkamata mtuhumiwa tarehe 3 Julai 2026.

Mtuhumiwa alifikishwa kituo cha polisi Mrijo, ili hatua nyingine za kisheria ziweze kuchukuliwa. Kwa kuwa ushahidi ulikuwa wa kujitosheleza, mtuhumiwa alitakiwa kupelekwa Mahakamani jana tarehe 06 Julai 2026. Lakini katika hali ya kushangaza, hakufikishwa mahakamani na polisi walipoulizwa walidai kwamba alitoroka akiwa kituoni.

Najiuliza mtuhumiwa anawezaje kutoroka akiwa kituo cha polisi chenye ulinzi mkali wa askari wenye silaha? Tena Mtuhumiwa wa kesi kubwa kama hii? Na kwa nini atoroke siku ya kupelekwa mahakamani? Sijaridhika na maelezo ya polisi. Naomba unisaidie kupaza sauti ili haki ya mwanangu ipatikane.!
1. Inasikitisha mno- Poleni sana.
2. Hebu tufahamishe huyo Abdul Yassin ana umri gani?
3. Umeuliza kama inawezekana mtuhumiwa kutoroka kituo cha Polisi ?
Jibu lake ni NDIYO.
 
Back
Top Bottom