Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,128
- 4,002
Mbinguni ni dimension nyingine ambayo imetuzunguka hapa hapa kwenye mazingira yetu au ni eneo fulani kwenye ulimwengu au galaxy yetu. Kama ni dimension nyingine basi hakuna habari ya kupaa, ni kitendo cha kuingia humo na kutoka.
Kama ni sehemu fulani kwenye huu ulimwengu basi kuna uwezekano bado Yesu yupo njiani anapaa kuelekea huko.
Inasemwa kuwa kikomo cha kasi ni kasi ya mwanga. Kama mbinguni labda ni katikati ya Galaxy yetu, basi itamchukua Yesu kusafiri kwa miaka 26,000 kama anasafiri kwa kasi ya mwanga. Amebakiza karibu miaka 24000 ya safari!
Mbinguni kutakuwa tu dimension nyingine na ipo around us.
Kwa kweli, "Njia zake hazichunguziki."