inawezekana

  1. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri

    Inawezekana kuna wabunge wameomba wasichaguliwe mawaziri. Hawawezi kusema wote lakini inawezekana kabisa kwa mazingira ya sasa mabunge wengine wakaomba wasichaguliwe kuwa mawaziri. Hivyo wanaosema wameachwa tujiulize hu ni wakati mgumu
  2. Griss

    JamiiForums Tanzania Hivi duniani hii inawezekana

    Ni dharau Kiburi Ulimbukeni Kukosa maarifa? Au uhuni? Mama Rais mtoto waziri Hii sikumbuki ilitokea nchi gani duniani yenye democrasia Toka nimezaliwa sijawai kusikia Wala kuona.
  3. ERoni

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana: Mwendokasi TANO zinasubiri abiria Mbezi Mwisho

    Wakuu, Serikali za kiafrika zina changamoto sana, kwamba bila kushinikizwa na vitisho haziwezi kujisimamia? Au ni kwa sababu ya uchaguzi, kwamba ukipita wakishapata "ridhaa ya wananchi" tutarudi kukekule? Hii inaweza kuwa danganya toto, watu wasihadaike maana hawa ccm wanajulikana kwa kuhadaa...
  4. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha jina ulilotumia kusajili kwenye LIPA no inawezekana?

    Habari wadau, Kuna lipa no ya biashara yangu nlisajili kwenye mtandao wa Airtel, sasa nimefikia uamuzi wa kubadili jina la biashara, nataka no za LIPA no ziwe zile zile, nibadili jina tuu, inawezakana?
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua

    Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua. Mnakumbuka mauaji ya Kibiti?yalikuwa organized na watu wa juu sana ndani na nje ya Serikali. Polisi walishindwa kuyathibiti sababu taarifa zilikuwa zinavuja kila...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Ile Oktoba 17 Israel ilishirikiana na Hamas wasio waaminifu kufanya ule Mtego

    Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah hawana hamu. Iran wameuawa viongozi mle ndani ya nchi yao kama wanavyouawa tu watu wengine sehemu...
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Wakuu, namna gani naweza kurecover namba nilizofuta katika call log yangu?

    Karibuni. Simu ni android, pixel 5
  8. D

    JamiiForums Tanzania Halafu Inawezekana hii CCM ikawa ni mpango wa chadema mjue

    Kuna mambo kadhaa yananipa mashaka mjue, Kila siku hisia za kwamba hii CCM inaweza kuwa ni project ya chadema zinazidi kujaa akilini mwangu. Hebu angalieni vizuri mambo haya machache makubwa; 1. Mbona viongozi wote wa chadema baada ya muda wanajiunga ccm?!! Hii CCM sio project ya chadema...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sio NEC,NIDA na pengine inawezekana CCM ina cable JF.

    Hapa JF kuna mashambulizi ambayo wana propaganda wapo ambao wanalipwa pesa kueneza ajenda zao. Kiufupi sasa hata mnacholeta hapa JF kunawapa kazi ngumu CCM. Mlipo sasa mtatema bungo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana hili kwenye ngazi ya Diploma??

    Inafahamika kuwa kupitia TCU unaweza kusoma kozi mbili kwa intake moja. Mathalan uchukue bachelor of arts with education na wakati huo huo uchukue bachelor of law. Ila je kwa mujibu wa NACTE unaweza kusoma kozi mbili za diploma kwa intake moja!? Mathalan usome diploma in primary teaching na...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Africa ndio bara la watu wakarimu zaidi duniani

    Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kutimiza Malengo , unapoweka malengo yako usiyawekee deadline

    Unapokuwa unataka kutimiza Malengo fulani. Mfano, kitaaluma , kibiashara , uwekezaji , kikazi, Ndoa . Hakikisha kwanza hauweki deadline au ukomo wa lini , mwezi gani au mwaka gani. Kwakuwa in this life so many things are uncertainties . Mambo mengi hayatabiriki kimaisha . Ili kuondoa stress...
  13. Harmful

    JamiiForums Tanzania Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

    Habari wanajf Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE" Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Tanzania haijawa Tayari kwa mashindano makubwa ya kimataifa yanayoihusu timu ya Taifa

    Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
  15. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kumbe ilikua inawezekana serikali kuwasiliana na X/Twitter wakazuia maudhui ya ngono yasionekane Tamzania bila kuifungia!.

    UK wamefanya hivyo bila kuigunga X, sasa ingawa sio sababu halisi ya kufungiwa kwa X, kwanini Jerry silaa wasiwasiliane na uongozi wa X wakazuia haya maudhui wanayosema hayafai kwa mlaji kuliko kuofungia kabisa?
  16. Wazo la kabwela

    JamiiForums Tanzania Nataka kufyatua tofali inchi 4, inawezekana?

    Wataalamu habari??? Nimekaa nikawaza kutokana na ugumu wa pesa na uhitaji nilionao... nataka kujenga ukuta/ uzio wa eneo langu sasa nafikiria badala ya kufyetua tofali ya inchi 5' au 6, basi nifyetua tofali za inchi 4' je? Inawezekana?? Na kitaalamu imekaaje??, kumbuka ni kwa ajili ya uzio tuu...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuikosoa CHADEMA inawezekana lakini CCM watu wanatishiwa?

    Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama. Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari. Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa...
  18. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli daraja la Dar na Zanzbar kuwepo

    Hii ni ndani ya dakika kumi tu ndege tatu zinatoka znz
  19. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Demu wako ila kukupa hadi Hela inawezekana vipi?

    Wajomba kuna kijana wangu ana demu wake wameka miaka kama 3 hivi ola siku hizi jamaa kama kawa mwehu sababu ya demu Imagine demu hataki mazoea kama zamani na mzigo hadi jamaa atoe hela ndio anapewa hahaha juzi kafukunyua mzigo ile anamaliza likavuka ugomvi mkubwa demu anasema hawezi kuja bila...
  20. S

    JamiiForums Tanzania UKIAMUA INAWEZEKANA

    Yapata mwaka mmoja tangu niweke uzi wangu leo nakuja na huu uzi aisee tanzania hii (bongo) ukitaka kupiga hela za bure unapiga vizuri tu jamii kubwa za watanzania wanateswa sana na umaskini na mapenzi Niliwahi kufungua kilinge cha uganga wa kienyeji aisee nilipiga sana chenji wakuu Aisee...
Back
Top Bottom