Je, inawezekana Mtu kuhama taasisi?

Je, inawezekana Mtu kuhama taasisi?

Japo sijui unachokiongelea ila nahisi kuwa kuna sehemu maelezo yako hayajitoshelezi.

Anyways.... ngoja waje
 
Kwa mujibu wa sheria hata position tofauti inawezekana kikubwa awe na vigezo. Lakini mambo kwenye uhalisia yanaweza kuwa tofauti si unajua siku hizi bila connection hutoboi
Mfano vigezo gani Mkuu?
 
Japo sijui unachokiongelea ila nahisi kuwa kuna sehemu maelezo yako hayajitoshelezi.

Anyways.... ngoja waje
Nimesema mtu kuhama taasisi je inawezekana? Yani technician wa TBS kwenda MCHEMIA na kuwa technician pia
 
Wakuu kuna mtu kaniuliza sina majibu kamili.et Mtumishi anaweza kuhama taasisi kwenda nyingine?mfano kutoka TPA kwenda TRA lkn career moja na position zinafanana
Inawezekana kabisa ili mradi huyo mtu awe ni wa career hiyo mfano swcretary yeyote anaweza fanya kazi taasisi yoyote
 
Inawezekana Mpaka Ukitaka Kuhamia White House
 
Kigezo je?
Sasa kaka kwanini uhame taasisi nzuri kama hiyo aisee kwa ninavyojua mimi watu wanaotamani kuhama ni waalimu hizi taasisi zingine labda kupandishwa madaraja na majukumu tu mfano kana ulikuwa mhasibu wa wilaya unapelekwa TRA headquarter
 
Back
Top Bottom