Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu.
Katika vitabu...
Wakuu kuna mtu kaniuliza sina majibu kamili.et Mtumishi anaweza kuhama taasisi kwenda nyingine?mfano kutoka TPA kwenda TRA lkn career moja na position zinafanana
Habarini wadau.
Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu...
Inawezekanaje TCRA na JAB kuruhusu Diwani wa CCM Kata ya Kariakoo Haji Sunday Manara kufanya kazi za utangazaji wakati bado ni mwanasiasa active mwenye nafasi ya uongozi?
Je, sheria inaruhusu hali hiyo? Je, kweli anaweza kuwa fair mbele ya hadhira?
Tumeshuhudia interview mbili alizofanya kwa...
Kumekuwepo na chapisho lililosambazwa kwenye ukurasa wa Facebook likimnukuu mfugaji mmoja nchini Kenya akilalamikia uwepo wa zebra katika eneo lake. Mfugaji huyo anadai kuwa zebra hao wanazaliana na ng’ombe pamoja na punda wake, hali inayosababisha kuzaliwa kwa wanyama wenye madoa yanayofanana...
Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti.
Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya kutoa uamuzi wao juu ya Samia na wenzake kama wsshitakiwe au laa kwahiyo wanakwepa /wanajihami
Kwema wakuu?
Ninaishi kwenye nyumba ya chini ya zamani kidogo. Sababu ya muda wa nyumba hii basi bati zake zimeanza kuvuja sababu ya kutu na hata plasta imechoka baadhi ya sehemu.
Sasa niliwaza kuikarabati kwa kurudia plasta pia kuezua paa, ceiling, kenchi, brandering, na kuweka mpya ikiwapo...
Mimi nipo Swedeni ila kuna jamaa Mtanzania mwenzangu alichukua uraia wa Usa anasema kwa hotuba iliyotolewa jana na Samia.
Kunawezekana kuibuka maandamano makubwa Marekani. Bei ya mafuta kumbe imekuwa kubwa sana kuliko wakati wowote ule toka Dunia iwepo. Na hawakuwa wakijua mpaka Samia...
Habari Tanzania !..
Habari yako EWURA, TRA, TPDC, mko poa !?..
Naomba kuwauliza na nyie wadau; eti naweza kupata kibali cha kuwa muuzaji wa Gesi kwa kutumia mfumo wa usambazaji wa gesi ya kupikia (LPG - Liquefied Petroleum Gas) mitaani kwa njia ya mabomba kuelekea majumbani (Piped Gas System)...
Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu.
Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
Nimebadilisha matumizi ya umeme kutoka Single phase system kwenda 3 phase system, kwenye remote meter ya single phase system nilibakiza units kama 700 hivi, naweza kuziamishia kwenda single phase nyingine ya jengo jingine?
Maana naambiwa Unit za single phase haziwezi kutumika kwenye 3 phase na...
Habari za muda huu kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Je! Naweza kuunganisha namba mpya ninayoitumia kwenye NMB kwa sababu namba ya simu niliyounganisha mwanzoni wakati nafungua Account haipo yaani ilishapotea na aliyenisajilia yupo mbali na nilipo
Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?
Hivi mjawahi kujiuliza account ya raisi anatumia yeye au mtu maalumu kama sio mwanae,basi mtu wake wa karibu.
Tumeona account ya Dolnad trump na viongozi wengi. Hata wajibiwe vipi uwezi kuona wana kublock labda kuwepo na shida kubwa sana.
ila ya huyu yani ukimpa challenge na spana unaingizwa...
Habari Tanzania !
Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria.
1. Ujenzi wa Nyumba na Makazi ya kupanga yamekuwa aghali sana.
Njia: Punguzeni tozo na kodi kubwa...
Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed.
Upo uwezekano mkubwa sana ya kwamba serikali imepoteza mapato mengi sana jana kuliko kwenye MO29...
Bilionea kijana wa kibongo, Benjamin Fernandez, amehoji kwamba, "Kwanini uchunguzi unachukua miezi mitatu, lakini kuhesabu kura milioni 32 inachukua siku 2 bila internet?"
Japo wengi wameunga mkono huo mtizamo, ila kwangu, mimi nasema kwamba: inawezekana kabisa kuhesabu kura milioni 32 kwa...
Soma hata picha tu utajua kuwa kuna makaburi mtajua kuanzia mapinduzi na utawala wa marehemu mkapa.
Ile siku anashika embe dodo nilishangaa kwenda omani kuona wajomba alafu leo mnashangaa kuona maovu ambayo mlisahau historia ndefu sana ambayo ni ngumu kwa watanganyika.
mlipo mnakazi kazi ngumi...
Kama mtu ajiandikisha Instagram kwa account fake au twitter kwa account fake na hajaweka details zake zozote je inawezekana kumpata ikiwa serikali inamtafuta?
Inampataje kwa njia gani? Na kama alipost kitu akiwa anatumia VPN je inawezekana pia kumpata?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.