imeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Clouds FM inapoteza mvuto au imeshindwa kwenda sawa na mabadiliko na uwepo Radio nyingine?

    Kama ni mfuatiliaji mzuri wa vipindi vya Radio, utagundua kuwa kuanzia saa 12 asubuhi kipindi cha Good Morning kutoka Wasafi FM kinasikilizwa sana mitaani, kwenye madaladala, magari binafsi kuliko ilivyo Power Breakfast ya Clouds FM. Nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini kwa Clouds kupoteza...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wanaojifanya kumjua sana mwanamke, wanajidanganya

    Mwaka mmoja nilienda hospitali kumjulia mke wa jamaa yangu akiwa kalazwa pale siku ya 2. Kulazwa kwake ilitokana na tukio la aibu lililofanywa na mkewe katika hali ya kushangaza sana. Kabla ya kumuona mkewe jamaa alinipokea kituoni tukapata sehemu ya kujadili maendeleo ya mgonjwa tukiwa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua Trafiki, Serikali imeshindwa kuthibitisha

    Mfanyabiashara Aman Elikana (38) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake. Elikana alikuwa akituhumiwa kumuua askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, mwenye namba...
  4. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  5. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu na unyenyekevu utakusaidia siku ambayo akili yako imeshindwa kutafuta ufumbuzi wa tatizo lako

    Nimekumbuka vitu kadhaa leo ngoja nijitahidi kuandika japo sio mwandishi mzuri sana. Kunawakati tunapitia vitu vingi na tunakutana na watu wengi tofauti tofauti kwenye maisha wenye kutufurahisha na kutukwaza lakini tujitahidi kujifunza ustaarabu na unyenyekevu hasa tunapokwazika inawezekana...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini serikali imeshindwa kuwaajiri wahitimu wa fani za mafuta na gesi pamoja na uchache wao?

    Fani za mafuta na gesi zilianza kufundishwa Tanzania mwaka 2013. Mara serikali ikaanzisha shahada ya kwanza ya kemia ya petroli (BSc. Petroleum Chemistry) (wanafunzi 25), Shahada ya kwanza ya uhandisi wa petroli (BSc. Petroleum Engineering) (Wanafunzi 25) na Shahada ya kwanza ya jiolojia ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Sayansi imeshindwa kutabiri kwa usahihi matetemeko ya ardhi?

    Huwa kila zinapokuja hizi habari za matetemeko ya ardhi swali hili hunijia akilini. Ni juzi tu huko Uturuki maelfu ya watu wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi. Sayansi ya maumbile ya dunia (Geology) imeshindwa kubashiri na kuepusha janga linalotokana na mitetemo ya ya dunia?
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Photocopy machine yangu imeshindwa kutambulika kwenye desktop

    Wakuu nilifungua ka stationery kadogo nikamuacha binti, photocopy machine ni canon iR2016 I. Ilikua inapiga kazi vizuri tu nikiiconnect kwenye desktop, sasa binti amenipigia simu kwamba, imezingua desktop inashindwa kuisoma photocopy machine. Nimeenda nimejaribu kila njia ku-install drivers...
  9. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kwanini CGTN Africa imempa kisogo January Makamba mradi JNHPP?

    Kitendo cha Televisheni ya Kimataifa ya CGTN Africa kuacha kumpa nafasi Waziri Januari Makamba kwenye ripoti yao kuhusu Bwawa la Nyerere ina maana gani? Pascal Mayalla hii kitaalam mnaitaje Waziri Mwenye dhamana kukosa nafasi ya kutoa taarifa ya mradi.
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Air Tanzania yashindwa kutua Bukoba, yageuza kwenda kutua Mwanza

    Ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua Bukoba Airport imerudi Mwanza. Stay tuned ====== UPDATES Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa. Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Katika ajali ya ndege Iliyotokea juzi CCM imeonesha kwanini ni Chama Tawala mpaka leo na kwanini CHADEMA imeshindwa hata kupaka rangi ofisi zake

    Ndugu zangu katika Ajali ya Ndege Iliyotokea Juzi imeonyesha Kwanini CCM imeendelea kuaminiwa na watanzania katika kila uchaguzi mpaka leo hii, CCM imeonyesha sababu za wananchi Kuendelea kuwa na Imani nayo,CCM imeonyesha sababu ya watanzania kuipigania na kuilinda kwa nguvu zao zote na kwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa anafahamu maana ya uwajibikaji? Ajali 3 kubwa zimetokea ofisi yake imeshindwa kuokoa watu lakini yupo tu

    PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali? Au hatambui maana ya cheo ni dhamana? 2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeshindwa kuleta suluhisho la Maji kwa zaidi ya nusu Karne Madarakani....Shame!

    Yaani ukiwakuta wamevaa zile uniform za Kijani wanavyoonekana kama Spinach utadhani ni Watu innocent na wenye maono makubwa kwenye Maendeleo ya nchi. Subutuuuuu!! Ni aibu unapita mikoani eti Kuna Watu wanachota maji kwenye madimbwi, juzi nilikua safarini huko, Kuna vijiji viko barabarani kabisa...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kabisa kudhibiti madereva wao, wanajiona wao wapo juu ya Sheria za barabarani Nchini

    Ni siku chache tu zimepita tangu itokee ajali ambayo haikuwa na madhara makubwa kati ya basi la mwendokasi na defender ya Polisi. Picha za tukio hilo zilisambaa mitandaoni na ilivyoonesha wazi kabisa kuwa mwenye kos ani yule aliyekuwa akiendesha ile gari ya Polisi kwa kuwa aliingilia njia ya...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Geita: Mayanga Contracts LTD, imeshindwa kumaliza ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa baada ya Mwenye Kampuni kufa?

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amesikitishwa na kitendo cha Mkandarasi MAYANGA CONTRACT LTD Kampuni ya ujenzi iliyopewa Tenda ya kujenga Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita kushindwa kukamilisha kwa wakati ofisi hiyo. Naye Eng.Makoye Luhya Kwaniaba ya Mkandarasi Mayanga Contractors Amesema...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 100 Urusi imeshindwa kulipa madeni

    Anguko la Urusi liko pale, hali inaendelea kuwa ngumu ikizingatiwa mpaka sana imeshindwa kufunika kainchi kadogo hapo jirani yake na imeingia hasara kubwa sana ambayo jeshi lolote hapa Afrika likiingia hasara kama hiyo linafutika kabisa. ======================== Russia was set to fall into its...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Hii ramani inafikirisha sana, Urusi imeshindwa kuparamia haka kanchi

    Ama kwa kweli ukubwa sio nguvu ila ujuzi na matumizi ya ubongo, kainchi saizi ya mkoa mmoja wa Urusi kameitoza Urusi kamasi imepoteza majenerali, meli, wanajeshi maelfu na hasara nyingine nyingi mpaka Urusi imeomba msaada Syria na kwingine. Licha ya hasara yote hiyo, Urusi imeambulia tumiji twa...
  19. Gama

    JamiiForums Tanzania Kimkakati, Urusi imeshindwa vita ya Ukraine

    Nguri wa vita ADMIRAL RADAKIN kutoka nchini Uingereza ambaye pia ni mkuu wa majeshi amesema kuwa Klemlin imeshindwa vita kimkakati. Amesema kuwa Klemlin imetumia 25% ya nguvu zake na kupata ushindi kiduchu usiendana na rasilimali alizotumia. Ameeleza kuwa Klemlin inaendelea kupungukiwa na...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Giza totoro kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara, je serikali imeshindwa kuweka backup power?

    Muda huu giza limetamalaki kwenye kituo cha mabasi ya mwendo kasi Kimara. Msongamano wa abiria ni mkubwa mno, magari ni kama vile yamegoma. Hii ni aibu kwa taifa , yaani mama aite wageni wake kupitia Royal Tour, halafu wageni wapande mwendo kasi uliojaa kunguni na huduma mbovu, sijui kwenye...
Back
Top Bottom