imeshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kididimo

    JamiiForums Tanzania NACTE ichunguzwe. Imeshindwa kutoa Vyeti kwa wakati vya Wahitimu wa LITA. Wanaenda kukosa ajira zilizotangazwa na Serikali

    Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali. LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka. Ili uweze kutambulika kifani ni...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukraine iko karibu kukubali imeshindwa kivita.

    Ukiondoa ushabiki wa Marekani na vyombo vyake vya habari wanaowachochea waukraine wapigane kwa niaba yao lakini ukweli unaopatikana katika matamshi ya waukreni wenyewe kuanzia raisi Zelensky mpaka mameya wa miji mbali mbali ni kwamba vita baina yao na Urusi vimeshawarudisha nyuma sana.Kwanza...
  3. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TEMESA imeshindwa kutoa huduma ya kivuko Magogoni, Serikali ilete mwekezaji

    Eneo la Kigamboni ni moja ya sehemu ya Dar es Salaam inayokuwa kwa haraka sana. Wahamihaji ni wengi sana, wakati huo huo uboreshaji wa miundombinu ya barabara na vivuko haiendani na kasi ya ukuaji wa mji. Kuna njia nne za kuingia na kutoka Kigamboni. 1. Kuvuka kwa pantoni Magogoni. Njia hii...
  4. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nchi imekusanya zaidi ya trilion moja mwezi septemba ila imeshindwa kuwalipa wastaafu

    Katika kutoa taarifa za makusanyo pale Morogoro Msemaji wa Serikali amesema Serikali kwa mwezi Septemba mwaka huu serikali imekusanya Tilion 1 na zaidi cha ajabu Wastaafu wana miezi 11 wengine 12 hawajalipwa MAFAO acha pensheni MAFAO, je, kuna ukweli wowote wa makusanyo haya au kuna kitu nyuma...
  5. vnn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeshindwa kuajiri watumishi wa Afya, imekuja na mbinu za kilaghai

    mambo yamekua mazitokupita kiasi, mpaka sasa vituo vya afya vilivyopo havina watumishi wa kutosha achilia mbali zile zahanati za vijijini ambazo unakuta zina muhudumu mmoja mmoja akipata dharula anafunga kituo. sasa vituo vingi vimejengwa na vinaenda kukamilika Rasilimali watu hakuna...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kuajiri vijana wenye vyeti halali, inarudisha kazini wenye vyeti feki

    Wakati mwingine mpaka unahisi kuna laana juu ya nchi yetu. Vijana wasio na mbele wala nyuma but wakiwa na taaluma zao mmegoma kuwapa ajira lakini cha kushangaza mnawarudisha wazee 4000 walioshutumiwa na kuondolewa kazini kwa udanganyifu wa taaluma zao. Watu hao kama walionewa waseme walienda...
Back
Top Bottom