GT
Kwa kiufupi sana tunaweza kusema CCM imesha fail watu hawana matumaini kabisa na hiki chama. Pamoja na utitiri wa machawa kama comedians, Wanamuziki na vyombo vya habari lakini bado hawaelewi kabisa.
Pamoja na ukatili wa Magufuli watu walikaa kimya maana maendeleo yalikuwa yanaonekana...
Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC
2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM
3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI!
4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA...
Hi nchi Ina vituko sana
Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga
Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja waliowekwa na mmiliki wa uwanja wa Mkapa ambaye ni serikali ndio wawambie hichi mnaruhusiwa kuingia...
Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa rasmi. Kwa mujibu wa tetesi, kuchelewa huko kunaweza kuhusishwa na ukosefu wa mafuta (diesel) kwa ajili...
Kuna kitu sikielewi huyu mtu aliwakosea nini waliopo Serikalini ?
Mfano ,kitabu cha in the name of president cha kabendera kuna WALIOSHUHUDIA na WALIOONA, NILISIKIA na ndio ushahidi tuende nao ?
Toka ameondoka ni mapya kila siku lakini hakuna yoyote anainua mdomo kukemea , shida nini ?
Huyu...
Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka kama dunia ilivyoelezwa mwanzoni?
wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto.
mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania
ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho
nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
Wapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu.
Je, serikali imeshindwa kweli au kuna namna?
Je, huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi wasio na hatia wanavyoteswa na kudhulumiwa hata uhai wao?
Je, hawa watekaji wamegeuka serikali...
Ndio maana tunaambiwa tusijenge mazoea.
Nakumbuka hawa vijana walifanikiwa kutengeneza Drama kama hii mwanzoni na Diamond akafunga safari hadi Zanzibar kwenda kumuomba Zuchu msamaha wakati ana perform live kule. Na hakika Drama yao ile iliwapaisha kupata public attention hasa kwenye social...
1. Kumuengua mgombea kisa Hana shughuli ya kiuchumi ni upumbavu wa hali ya juu Kuna wazee walio na umri wa miaka 60 na kuendelea ambao wengi wao hawana majukumu ya kiuchumi ya kuzalisha mali je hawapaswi kugombea?
2. Kama makosa ya kujaza form yameonekana kuwa sugu kwanini msingetoa semina...
Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu
Amesema...
Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa Israeli kaskazini.
Hezbollah ilifanya mashambulizi 18 dhidi ya wanajeshi wa Israel na vituo...
Iran Imerusha makombora mengi yaliyoweza kufikia israel bila kizuizi cha Iron Doma kala ilivyozoeleks, Hakuna watu waliopata maafa kwasababu walijificha kwenye kumbi maalum za kujikinga na mabomu.
- Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani...
Mkuu wa Hezbollah, Hassan Nasrallah amepotezwa
Kiongozi huyu mwenye ushawishi mkubwa (charsmatic leader) ameiongoza Hezbollah kwa miaka 33 yaani kutoka 1992 hadi 2024. Alikuwa nyota kuu ya Hezbollah, Hamas, Iran na vikosi vyote vya kishia duniani. Pia alikuwa ni kipenzi kikubwa cha Ayatollah...
Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu?
Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua.
CCM must go!
Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia.
Nchi ndogo za magharibi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia Serikali.
Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na...
Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP.
Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.