imekaaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mke Kuomba Ruhusa kwa Mume, ili Kusafiri Hata Safari za Kikazi!, Imekaaje?. Mama Salma Kikwete Huwa Anaomba Ruhusa!. Je Boss Ladies Wanaomba Ruhusa?.

    Wanabodi, Sorry, this is a duplicate Mke kuomba ruhusa kwa mume ili kusafiri, hata safari za kikazi - imekaaje? Mama Salma Kikwete huwa anaomba ruhusa! Je, Boss Ladies wanaomba ruhusa? Paskali.
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mke kuomba ruhusa kwa mume ili kusafiri, hata safari za kikazi - imekaaje? Mama Salma Kikwete huwa anaomba ruhusa! Je, Boss Ladies wanaomba ruhusa?

    Wanabodi, Kwa mila na desturi za kiasili za Kiafrika, Traditional African tradition, kwenye ngazi ya familia, mume ndie mkuu wa familia, ndie anayechagua mchumba, ndiye anaya posa, adie anayelipa mahari, kununulia bidhaa ya mke!, ndie anaye oa, na kukabidhiwa bidhaa yake na kumhesabu mkewe ni...
  3. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ndiyo kusema Tanzania imejiunga kwenye Umoja wa Nchi za Kiarabu kimya kimya?

    Nauliza swali hili kutokana na mabadiliko ya lugha katika baadhi ya bidhaa ambazo hapo kabla hazikutumia lugha ya Kiarabu. Ningeweza kuweka baadhi ya picha za bidhaa hizo, lakini kwa sababu za kibiashara nimeona si vyema. Kama tayari tuko kwenye umoja huo, tuambiwe ili tujue. Kwasababu hata...
  4. spyboss

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Angellah Kairuki aenda TAMISEMI, Balozi Mulamula atemwa, Bashungwa ahamishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri Kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali Mhe. Dkt.Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la...
  5. cold water

    JamiiForums Tanzania Nina matiti madogo nisipovaa sidiria yanachongoka, nikivaa inaniumiza nifanyaje?

    Nina maziwa madogo nisipovaa sidiria yanachongoka kwasababu hayajalala, kwahiyo chuchu zinasimama. Nikivaa hivyo najikuta tu sipo huru. Nikivaa sidiria kifua na mgongo vinauma kwani nailazimisha tu inasaidia nguo kukaa vizuri zaidi, na kutosimamisha chuchu. Nina miaka ishirini na kitu, nina...
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii kisheria imekaaje? Je ni sawa kumuanika muharifu namna hii?

  7. Accumen Mo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wafanyakazi wenzio kukushinikiza uoe ni ishara ya nini?

    Za mda huu watu wa nguvu? Poleni na kazi !! Iko ivi Kuna ishu hapa Ina utata Kuna dogo nilikutana nae maeneo fulani hapa dar kwa vile niliishia nae mkoa fulani huko nyuma alikuwa mdogo kwangu nikawa namkubali maana shule alikuwa safi sana, nilikutana nae kama mwezi wa 7 ivi hapa jijini basi...
  8. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Hii biashara ya makorokoro imekaaje wadau?

    Kuna hii biashara ya kununua vitu vilivyotumika,kwa mfano vitanda,masofa viti ndoo,milango ya aluminium, mbao, mazulia, na zingine kibao hii imekaaje, kuna waliokwisha ifanya, mtaji kiasi gani kwa kuanza, wenye uzoefu wowote naomba anijulishe
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kiuchumi hii imekaaje?

    Huu utaratibu wa kupangisha frame or nyumba halafu unalipa six/year in advance mi naona kiuchumi haiko Sawa hata kidogo. Kwa mfano napangisha Leo afu nikulipe hela Hadi ya mwaka ujao it is crazy ndiyo maana biashara nyingi hufa. Inampa favour mwenye pango Ila wewe mpangaji unakuwa umekopesha...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

    nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu. Yani...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mchungaji kusafisha nyota, hii imekaaje wadau?

    KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..! Ayubu 25:5-6 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu! Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
  12. Mpinzire

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalam wa Tally, Excel, QuickBook na Hesabu mtusaidie ile 100.01% ya Chebukati imekaaje?

    Utata umeibuka Kenya mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi! Hoja zilizoibuliwa mara baada ha kutangazwa matokeo ni asilimia zilizopatikana kwa kila mgombea kiasi ukijumlisha unapata 100.01% na sio 100%! Kila mmoja anasema lake huko Kenya, wengine wanadai Error za kawaida wengine...
  13. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Nimekubali yaishe, kumtongoza tu kaomba laki

    Wakuu habari za muda. Kuna hii kitu imenichanganya sana ni hivi, Kuna single mother mmoja tunaishi sehemu moja alikuwa ananiletea shobo kibao nikaona sasa hii kero. Kanifata fata sana mpaka nikaona sasa hii itakuwa dharau na ukizingatia ni limaza flani lina mzigo wa haja nikaona ngoja nilitupie...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Western Union kukataa transaction yangu kisa herufi moja tu, hivi imekaaje kwa wenye uzoefu?

    Nimeenda branch ya western union moja hapa moshi, kutoa hela nlotumiwa, details zote (mtcn, senders name, my name, receiver name, country of origin) zilikuwa sahihi Isipokuwa mtumaji hakuandika herufi moja tu inayoonesha jina langu la kati Kama ilivyo kwenye kadi yangu ya mpiga kura, hii ni kwa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kujengewa Chuo na Wachina wafundishe Ukommunist kwa Vyama Tawala - China’s political party school in Africa

    Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo inakufa? Ukoloni wa pili? Hivi position ya Afrika kujitawala yenyewe bado ipo? China’s political party...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine ilianza kupokea misaada ya kijeshi na kiuchumi toka 2014, lakini mpaka leo kilio chake ni kilekile cha kuomba silaha. Hii imekaaje?

    Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi. Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano...
  17. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Faini ya kujifungulia nyumbani, hii imekaaje?

    Ukizalia nyumbani faini elfu 30. Huku vijijini tunanyanyasika sana. Watu wa Dar mtusaidie kupaza sauti!!!!!!
  18. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje bongo fleva inapigwa Kanisani na nyimbo za dini zinapigwa kwenye kumbi za starehe

    Hili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili; 1. Nyimbo za Anasa kupigwa kanisani yaani kama Bongo fleva. 2. Nyimbo za Ibada kama kwaya kupigwa kwenye Kumbi za Starehe. Tunafahamu huko kote ndipo walipo waumini lakini mazingira kama ya kumbi za starehe unapiga ile Nyimbo ya "Hakuna...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Hii ya mwanamke kuomba 100, 200 hii imekaaje?

    Nawatakia sikukuu njema Jf Ndugu zangu mwanamke ninaishi ishi naye amepata trip ya kikazi kwa miezi 6 sasa hivi inakaribia kumaliza mwenzi mmoja tangu aanze safari yake nikabaki mpweke. Kwa hulka zetu na kibailojia tulivyoubwa huwezi ukaakaa miezi bila kufanya mapenzi itakutesa Sana mwisho...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwezi uandame Kenya halafu Tanzania usiandame?

    Bila jazba Wala povu, nauliza? Nimeona Matangazo wenzetu Kenya wanasema wameuona Mwezi na Leo ni Idd ElFitri! Huku kwetu tunaambiwa mwezi haujaandama? Hii huwa inatokeaje, kijigrafia mbona tupo Ukanda mmoja, hili linawezekanaje? Na wala si mara ya kwanza utata huu kuwepo? Tatizo ni Nini! Ni...
Back
Top Bottom