imekaaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu watu wengi wakitaka kufa hugombana wasife

    Mwanadamu hukuumbwa ili ufe. Uliumbwa ili uishi milele. Mtu anapokuwa anakufa kabla hajakata moto huwa kuna pambano la kukataa kukubali kuwa anakufa. Hata wale waliomahututi hata kama kwa maumbile haonekani akifurukuta asife, huwa anapinga kabisa tukio hilo. Kwa nini? Mhubiri 3:11 Kila kitu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii style mpya ya kunyoa ya Ruto imekaaje?

    Mzuka wanajamvi. Itakuwa Raila anamroga jinsi alivyomroga Uhuru. Hii haircut hapana asee.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ndugu zangu wazazi

    Mimi ni kijana mwenye mtoto wa miaka 5. Nina ukaribu sana na watoto yaani kwa kifupi mimi hupenda sana michezo na kuhakikisha watoto wanapata furaha na kucheka. Uzuri wangu mtoto akikosea huwa sipendi masihara nae, anakula mboko za kutosha. Najiepusha nisimpige kwa hasira sana kwa mikono au...
  4. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje? ya mwanaume kukaa ukimbembeleza mwanamke/mpenzi masaa kibao akilia wewe unachukua kitambaa unampangusa

    Nilitoka nikaenda sehemu kupata vyombo na kuchill na washikaji! Sasa tangu niingie pale, meza moja alionekana njemba akiwa na mdada na kwa ukaribu wa jinsi walivyokaa inaonekana ni wapenzi au couple! Sasa bwana muda wote mdada analia na kutoa mchozi njemba inambembeleza kwa kumshikashiga bega na...
  5. luangalila

    JamiiForums Tanzania Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

    Wakubwaa eh Msaada tutani hiyo imekaa vipi nilimtumia mtu message ya wasap jana lkn ameisoma leo lkn bado mpokea ujumbe last seen anaonekana muda wa jana
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kiimani hii imekaaje: Mwanamke ni pambo ndani ya nyumba

    Kwa ndugu zetu waislamu, mwanamke ni pambo la nyumbani kwa mume wake, haruhusiwi kuonwa na mwanamume mwingine zaidi ya mume wake. Sasa sisi tuna rais mwanamke na siku zote tunaona uso wake, je kiimani hii inaruhusiwa? kama hairuhusiwi, adhabu yake ni ipi? Msikilize shehe hapa...
  7. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kusumbua wanaotumia barabara kisa kutengeneza content

    Samahanini wakuu kwa usumbufu. Napenda kuuliza kwamba hivi hawa vijana wanapoelekea itakuaje? Maana upumbavu wanaoufanya ili wapate content za kuposti TikTok na umaarufu wa TikTok. Huu ni upuuzi traffic mko wapi mpaka mnaruhusu mtu ajirekod uchoko kama huu barabarani? Hivi taifa litakuaje...
  8. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kikatiba Rais Samia yuko sahihi kumteua Naibu Waziri Mkuu

    Nawasalimu Waungwana wa JF, Mwanzo mwanzoni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anazotujalia hata kuendelea kupashana habari za hapa na pale kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums. Hivi punde, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri...
  9. lusanasaimon

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje?

    Mambo vp wadau niende kwenye swali dialect Hivi nikwanini mwanaume anapo pata mwanamke (girlfriend) mwenye kauchumi kazuri akawa anamjali (kumuhonga) kama vile kumpa vipesa, kumnunulia mavazi nk. tena sometimes huyo mwanaume anampiga vimizinga akiwamba (kufulia) mwanamke anampa, inakuja...
  10. freelancer2302

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa fedha za kigeni

    Jamani hii ishu ya dollar kutonunulika na wananchi popote kwenye taasisi zenye fedha imekaaje? Wapi tunaweza nunua?
  11. Aladeen04

    JamiiForums Tanzania Hili la kuhusu usalama wa pesa za pensheni za Wastaafu limekaaje?

    Heri ya nanenane kwenu nyote mtakaopitia uzi huu. Ndugu zangu kwa sasa wazee wetu wastaafu wanapitia suala gumu sana linalohusiana na kikokotoo malalamiko yapo kila pahala. Nina imani Serikali yetu sikivu inasikia na inafanyia kazi jambo hilo ili wazee wetu wapate stahiki zao zote bila...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nilikutana na mwenza wa maisha Dating sites

    Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites. Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria za JF) tumefunga ndoa, fungate Dubai Hadi Leo tunalea familia vizuri tu.
  13. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Hii inakuwa imekaaje?

    Hapo kwa jirani zangu wa Love Connect wanafurahisha sana. Unakutana na uzi wa mdada ni H.I.V postive anatafuta mwenza wa kuendana nae ili wayajenge, matokeo yake unakutana na replay za pole na usijal utapata! Ila ngoja ifike kesho, unakutana na uzi njemba inatafuta mwenzi ambaye ni H.I.V...
  14. aziz habib

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Nimekuwa kwenye hali nisiyoielewa kwa muda mrefu sasa. Yaani kila jambo nilifanyalo likikaribia kufanikiwa linaharibika. Yaani naweza nikapata ramani ya pesa ila ikifikia hatua ya mwisho kuipata dili linaharibika katika hali isiyoeleweka na hata nilipofikia hatua ya kutumia msemo wa kimfaacho...
  15. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje?

    Mtu unaishi kw yale manzari ya extended families na ndugu, cousins and watoto and you work; unasepa asubuhi unarudi jioni muda wote huli home. Unajiletea chipsi kuku unajichana chumban na whatever privacy you get while watching movies. Unakuja kuitwa mchoyo as if watoto wote wameshinda na njaa...
  16. Elon J

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje kitaalamu wadau

    Nimekaa nikakumbuka wakati nikiwa chuo Kuna mdada nilitokea kumuelewa Sana. Picha linaaza hivi huyu mdada tulisoma wote advance but wakati tukiwa advance sikumconsider sana means tulikuwa tunaonana juujuu tu. Baada ya kumaliza advance kumbe nae alichagua chuo ambacho na Mimi nipo but pia...
  17. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Jamani, hii ndoto imekaaje?

    Nimemwota muuza kuku😳...Yaan mpenz wangu sijawahi mwota hata mara Moja lakini Leo nashtuka toka usingizini nacheeeka.Ilikuwaje!? Ni hivi,nimeota nilikuwa navuka daraja nyakati hizo mvua inanyesha sana... mbele yangu Kuna bro pia alikuwa anavuka (hapo sijajua kuwa ndo huyo muuza...
  18. YE67NBE

    JamiiForums Tanzania Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

    Salaam kwenu wote, Mimi ni mgeni humu ila ningependa kushare kisa kidogo cha maisha ya ujana wangu. Nimezaliwa 1953. Kusema kweli mwenyezi Mungu alinijalia sana mimi, kwenye elimu ya darasani nilikuwa vizuri sana nikafanikiwa kumaliza chuo mwaka X kipindi hicho. Bahati nzuri nikapata kazi...
  19. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Jamii na makabila mengi yanataratibu zao, hii ya kurithi watoto imekaaje?

    Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi, Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
  20. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Hili limekaaje wadau? Huyu manzi atakuwa anamaanisha nini?

    Kuna binti mmoja ni mama lishe. Ni mdada mzuri sana, kama mnavyojua wadada wanaofanya hizi shughuli za umama lishe, tena ukiwa mzuri kuna kuwa na mtiririko wa wanaume kuomba namba kila mara. Na mimi mara nyingi huwa napoenda kwenye shughuli zangu, ni lazima nipitie hapo kwenye mgahawa wao...
Back
Top Bottom