imekaaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wazee

    Hellow african Wewe tuchukulie ni mzazi una muomba mwanao hela kuna ndugu yenu kafariki unamuuomba hela ya kuchangia kwenye msiba umeongea na mwanao wakiume akakubali vizuri baada ya nusu saa mkweo anakupigia simu anakuambia kuwa hakuna hela kama hakuna ulazima wa kuchangia usichangia wewe...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa Sheria hivi compensation for injury of reputation Kwa hii issue ya Membe vs Musiba imekaaje ?

    Habari JF, Kwa wanasheria Kwa kuangalia hili la Kuondoka kwa Membe. Hivi Mimi kama nimechafuliwa nikafungua kesi nikashinda ikabidi nilipwe fidia .lakini Kwa Bahati mbaya nikafariki Je, ile fidia nayo inakufa?
  3. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wazee hii imekaaje, ni kwangu Tu ama?

    Wasalaaaaam.... Wazee mimi naishi na manzi sasa ana mimba yapata miezi saba sasa, ila kinachonitatiza sina mzuka kabisa wa kumgonga mwanamke mwenye mimba. Yaani mimba kubwa tumbo hiiloooooo hapana aisee, sijui ni kwanini!!! Yeye kuna time namuona kabisa kuwa anataka ukuni, anaanza kunishika...
  4. aka2030

    JamiiForums Tanzania Simba kuvaa bips za umbro imekaaje?

    Inamaana mkataba na VS umeisha mpaka wanavaa bips za mazoez zenye nembo ya umbro
  5. Pac the Don

    JamiiForums Tanzania Hii hoja ya mimba shuleni imekaaje?

    Maana hapa Soudy katupa kombora katikati ya watunga sheria na wale waliopinga watoto kurudi shulen!!!👇👇👇👇
  6. Engager

    JamiiForums Tanzania Alinikazia enzi hizo, Lakini sasa kaachia. Hii imekaaje?!

    Mwaka 2018 mwanzoni, aliajiriwa kwenye kampuni niliyokuwa nafanya kazi mimi. Na alifanya kazi chini yangu. Yaani mimi ndiye nilikuwa msimamizi wake wa kazi. Huyu dada alinivutia tuu ile siku ya kwanza ametambulishwa kwangu kwa jinsi alivyokuwa mzuri na mtulivu. Siku hiyo nilimpa ABCs za...
  7. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Hii back to school kwa Wanawafunzi Wajawazito imekaaje?

    Nimeona kuna shule huko Mtwara mwanafunzi ameripoti na mtoto wake mchanga shuleni baada ya kujifungua, nawaza: 1. Muda wa masomo mambo yanakuwaje? Kuna mtu anakaa na mtoto nje na binti anaendelea kusoma? 2. Binti anapata nafasi ya kutoka toka nje/ au humo humo darasani kumnyonyesha kichanga...
  8. Engager

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje shule ya girls inakuwa na mwanaume?

    Angalia kiunga hiki https://matokeo.necta.go.tz/csee2022/results/s5344.htm
  9. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Vodacom supakasi imekaaje hii!

    Nani anatumia huduma ya Vodacom Supakasi humu atupe maujuzi, tujue speed yao kwenye uhalisia wa utumiaji upoje n.k Kwa walio maeneo yanayokamata 5G speed ipoje wakikufungia hii huduma wanakupa vifaa gani! Maana kuna wanaosema wanakupa router ambayo ni moveable na wengine wanasema wanakuja...
  10. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Uchafu kwenye bia ya Serengeti Lite imekaaje?

    Hii ndio tunanyweshwa uchafu
  11. Ozone star

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kuhusu tathmini ya uharibifu wa shamba baada ya mifugo kuharibu shamba?

    Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
  12. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kushughulika na mtu huyu

    Nimejaribu kuomba msaada imeshindikana. Mie nilikuwa sina mpenzi nikawa na mtu friend with benefits. Sasa nipo na chibabu nikasema ngoja nimwambie kuwa mie sio single tena. Weeeh! Akawaka akadai yeye hajui hilo saivi yupo kama ananikomoa dah! Anaandika message za mapenzi, kero za hapa na pale...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Likizo siku 60 kisheria imekaaje?

    Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
  14. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wazee hii ya kuishi na demu mjamzito imekaaje.

    Wasalaaaam wazee wa kazi.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati... Kuna kabinti nilikapa mimba sasa ni miezi minne imepita tuko mkoa mmoja ila maeneo tofauti tena kwa umbali wa kupanda gari kwa .asaa kama mawili hivi. Huyu binti anang'ang'ania aje tuishi wote maana huko aliko anaishi na...
  15. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kisaikolojia ya mahusiano

    Kiuhalisia ni mtu muongeaji Sana Mimi mia saba. Ila ni mtu mkimya Sana na nikikuzoea hutoamini. Maana na jua kutengeneza story za kufurahisha nikiakikisha huboreki tukiwa pamoja. Shida inakuja Huwa sidumu na mahusiano na mtu yoyote yule ya kiurafiki baada ya kujua ana vitabia flani flani kama...
  16. Amran Mpogole

    JamiiForums Tanzania Madhara ya uchumba wa muda mrefu kupita kiasi

    1. Uchumba wa mda mrefu Hufungua mlango wa uasherati. Uchumba wa mda mrefu kupita kiasi hufungua mlango wa dhambi ya kufanya mapenzi kabla ya ndoa kati yenu, kwasababu mtakuwa mmetumia muda mwingi mrefu kuwa pamoja na kujihalalishia uhalali wa kushiriki tendo la ndoa kwa kujiona tayari...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Gaming Act inaruhusu watu wazima kucheza kamari. Sasa mbona Waziri Mkuu anamzuia huyu jamaa?

    Waziri Mkuu amemuonya mtumishi wa umma kuacha kucheza kamari kwa kuwa muda wote ataliwa tu. Atachukua mikopo benki na bado ataendelea kuliwa ambapo ataingiwa na msongo wa mawazo. Amempata kazi mtumishi mwingine kumfuatilia mtumishi huyo
  18. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Kufanana na watu wengi hii imekaaje?

    Hello JF Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza. Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika. Ikafika muda nikawa...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania TRA, hii imekaaje? Gari ya 2022 na usajili wa miaka ya 2005?

    Mitaani kuna vituko vingi. Kuna magari ya wasiyojulikana wengi tu sasa hivi, lakini hii ni kiboko. Gari T140ALF ina usajili wa karibia miaka 20 nyuma kwa gari iliyotengenezwa 2022, LC300 Landcruiser New model. Inakuwaje hapo?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Kada wa CCM alafu ni Mkurugenzi wa uhandisi Ruwasa. Yaani kada alafu mtumishi wa umma.

    Ni ndugu Simon Ngonyani. Aliwahi kufyeka mahindi ya wakulima mto Ruvu alipo kuwa Wami/ Ruvu water basin👇
Back
Top Bottom