ijumaa

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili Jambo langu la Ijumaa likamilike naomba anayejua vinapopatikana Vifuatavyo aniambie upesi

    1. Njiwa Weusi tu wanaotamia 2. Kucha za Fisi Jike 3. Mkojo wa Mamba 4. Jasho la Chatu 5. Bendera ya Taifa lolote la nchi za Kiarabu ila ikipatikana hasa ya Egypt ( Misri ) Itapendeza zaidi 6. Mate ya Kifaru Dume na yachukuliwe akiwa anakuangalia kipindi ana Njaa sana 7. Ulimi wa Mjusi...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hamas kuitisha Maandamano Ijumaa katika nchi za kiarabu kulaani mashambulizi ya Israel

    Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili. Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia kupiga mashambulizi ya kutosha katika Mji wa Gaza yatakayofanya Wapalestina wasiyasahu kwa zaidi ya...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ijumaa iwe mapumziko

    Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
  4. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Al-Merrikh vs Yanga kupigwa Ijumaa 15/09/2023

    Kuna mashabiki watakuwa bado wapo njiani kwenda https://www.sofascore.com/young-africans-sport-club-al-merrikh/vLCsvLdb#11589251
  5. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa pesa toka CRDB kuja Airtel money tangu jana Alhamis hadi leo Ijumaa haijaingia

    Naombeni msaada Nifanyaje jana mafundi walikuwa site nusu wanipige makofi. Pesa imetumwa kutoka CRDB kuja Airtel money tangu jana alhamis saa 12 jion hadi saiz naandika ni saa 12 asubuh pesa haijafika CRDB Wanasema pesa imeshatumwa Airtell Money wanasema hakuna muamala wowote.
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Balozi Mbelwa Kairuki kwenda Uingereza na Balozi Khamis Mussa Omar kwenda China ni tatizo

    Ijumaa limekuwa tatizo. Aliyepelekwa China sijajua hata ataanzia wapi? Aliyekuwepo China amefanya makubwa na uwekezaji uliongezeka. Siku ya Ijumaa sijajua ataanzia wapi na ana uwezo mdogo kufikiria na kutafsiri mambo. Kwa kifupi Ijumaa ni tatizo.
  7. Jugado

    JamiiForums Tanzania Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

    Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe. Kweli nimehamia nyumba ya laki na nusu wapangaji tupo sita ndani ya geti. Ni uswahilini fulani ukitoka nje ya geti unakutana na mihogo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tunaoishi Mabondeni na kwenye Miundombinu mibovu, Kifurushi cha Mvua ya Alhamisi na Ijumaa ijayo si Kizuri Kwetu

    Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) ni kwamba Kifurushi cha Jana Jumatatu tarehe 5 kilichopiga Kutwa nzima ni cha Mtoto ila Kifurushi cha Alhamisi ya tarehe 8 na Ijumaa tarehe 9 ni cha HATARI zaidi kwani kitakuwa ni Kikubwa na chenye Madhara kwa tunaoishi Mabondeni na katika Miundombinu...
  9. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biryani ipikwe Ijumaa?

    Huu ushamba wa lazima Biryani ipikwe ijumaa na iuzwe ijumaa imetokea wapi?? Na wengine wanaotaka Sikitu tofauti?? Mb TZ tumezubaa kibiashara na hamuoni Ijumaa mtacompete wengi? Kwani as long as itauzwa shida ipo wap c unapima Soo tu lazima iwe ijumaa??😡😡😡
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watatu wa familia moja waliofariki mafuriko Arusha kuzikwa Ijumaa

    Watu watatu wa familia moja kati ya wanne waliofariki juzi baada ya gari walilokuwa wamepanda kusombwa na mafuriko, akiwemo mama, mtoto na mtoto wa kaka yake, wanatarajiwa kuzikwa Ijumaa Aprili 28, 2023 katika eneo la Ilboru, Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Tukio hilo lilitokea jana Aprili...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Yule forward hatari wa Waydad sikumuona Jumamosi, Ijumaa kuna kiama

    Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi. Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad. Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
  12. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Najiandaa kuwa mwanachama mtiifu wa Simba SC baada ya mechi hapo Ijumaa

    Kama Simba Sc itafuzu kwenda nusu Fainali hapo Ijumaa basi mimi kwa utashi wangu mwenyewe nitaenda mitaa ya msimbazi kukabidhi kadi yangu ya YANGA (klabu yangu pendwa)na kuchukua rasmi kadi ya SIMBA SC. 1. Nitahakikisha nalipa Ada yangu ya uanachama kwa uaminifu mkubwa mno 2. Nitachangia...
  13. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Leo ilikuwa Ijumaa kuu kwa BAKWATA kwahiyo Eid Yao kesho

    Dini ikitawaliwa na siasa ndo basi tena .. Eid imesetiwa na Kalenda kuwa ni jumamosi (Kalenda Ya 2023) ila kalenda ya kiislam (1 tarehe moja mwezi wa 10 ndo Eid ) sasa Waislamu wa Tanzania sijui wanafuata ukristo au ni gani sielewi. Tangia Yesu aondoke Duniani... ni miaka 2023 mpaka sasa na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mliotaka Kulazimisha Eid iwe Leo Alhamisi au Kesho Ijumaa mnajisikiaje Eid kuwa Jumamosi?

    Uvivu na Kupenda kula Bata unawaponza. Mliitaka iwe Alhamisi ya leo ili Siku za Kula Bata ziwe Nne ( Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ) Mlivyoona Kimahesabu kula Eid Alhamisi ( yaani Leo ) haiwezekani mkataka sasa Kulazimisha kuwa Eid iwe Kesho Ijumaa ili kama Kawaida ya kuwa Kwetu Wavivu...
  15. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yatangaza Ijumaa ijayo kuwa Sikukuu ya Idd

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya ndani inayoongozwa na Profesa Kithure Kindiki imetangaza Ijumaa ya Aprili 21, 2023 kuwa Siku Kuu, kusherehekea Idd-ul-fitr.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Mtatiro amwakilisha Kanali Labani Elias Thomas, Ibada Takatifu ya Ijumaa Kuu

    IBADA YA KITAIFA YA IJUMAA KUU - MMOMONYOKO WA MAADILI Jana katika Ibada Kuu ya Kitaifa ya Ijumaa Kuu iliyoadhimishwa hapa KIUMA, kata ya Matemanga - Tunduru, nilipata wasaa wa kutoa salamu za Serikali ya Mkoa wa Ruvuma, nikifanya hivyo kumwakilisha Mhe. RC wa Ruvuma, Kanali Labani Elias...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ratiba yako ya Chakula cha Ijumaa Kuu ikoje?

    Miongoni mwa stressful days hasa likija swala la msosi ni leo. Wakristo wengi hasa wa madhehebu ya Katoliki leo nyama ni marufuku. Iwe kuku, kitimoto, mbuzi, ng'ombe, kondoo etc leo hawali kisu. Mimi breakfast yangu naianza hivi. Makande ya mahindi mabichi, sweet corn 🌽. Kisha mchana...
  18. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Ijumaa kuu, unafahamu vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?

    Waislamu tukae pembeni kidogo Leo ni siku ya Ijumaa kuu, tukumbushane vitu gani muhimu vya kuzingatia katika siku hii?
  19. Ntozi

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu na katazo la kula nyama

    Naombeni anaelijua andiko linalokataza wakristo kula nyama siku ya Ijumaa kuu. Najua ni suala la kiimani, lakini msingi wa Imani ya kikristo ni Biblia, hivyo tujuzane hilo andiko liko kitabu gani ndani ya Biblia.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Mkutano mkubwa wa Kilimo Afrika- Ikulu Dar es Salaam

    Leo Ijumaa (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano mkubwa wa kilimo Ikulu, Dar es Salaam na hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Zuhura Yunus. Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano huo mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika...
Back
Top Bottom