ijumaa

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Boss Saalah wa Silent Ocean, wana Simba SC tunajua mchanganuo wa ahadi yako ya milioni 30 kama Tanzania Prisons ikiifunga Simba SC Ijumaa

    Boss Saalah Said Mohammed Mmiliki wa Kampuni ya Silent Ocean na Mdogo wake wa Damu Tajiri wa Yanga SC Gharib Said Mohammed tunajua kila Kitu juu ya ahadi yako ya Tsh Milioni 30 kama wakiifunga Simba SC ijumaa kwa Mkapa. Ufuatao ndiyo Mchanganuo mzima wa hiyo ahadi ya Tsh Milioni 30 kwa Klabu ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ijumaa inahusiana vipi na ombaomba?

    Mbona ombaomba wengi nimekuwa nikiwaona siku za Ijumaa wakipita wakiomba, sijawahi kuwaona Jumamosi au Jumapili. Na vilevile nimekuwa nikiwaona unapoanza mwenzi Mtukufu wa kufunga wa Waisilamu na Idd lakini siyo kipindi cha mfungo wa pasaka au kalibu na X-Mas! Tuchangie kwa upendo.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Bukoba bado umefungwa. Huduma zaweza kurejea Ijumaa

    Uwanja wa ndege wa Bukoba bado umefungwna na hakuna ndege ya abiria inayotua. Pamoja na Waziri wa Ujenzi, Profesa Makame Mbarawa jana kueleza umma kwamba ndege zinaweza kutua, lakini kampuni mbili za ndege; ATCL na Precision hazijapeleka ndege zao Bukoba. Ndege ya ATCL iliyokuwa itue leo...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Twitter kupunguza wafanyakazi kuanzia leo Nov 4, 2022

    Kupitia Barua Pepe iliyotumwa Novemba 3, 2022 kwa wafanyakazi 7500 imewaeleza kuwa watajulishwa kuhusu mustakabali wa ajira zao leo Novemba 4, 2022. Hatua hiyo inakuja siku chake tangu Tajiri wa Dunia Elon Musk kukamilisha ununuzi wa kampuni hiyo kwa Tsh. Trilioni 102 ambapo alitangaza kufanya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Redio nyingi hapa Tanzania siku ya Ijumaa wanapiga zaidi nyimbo za kaswida za Kiarabu kuliko Kiswahili?

    Ndugu waamini wa dini mbalimbalini nawasalimu kwa jina la bwana muumba wetu. Siku ya Ijumaa ni siku ya ibada na mara nyingi inakuwa kama ni siku nusu ya kazi kutokana na waamini wengi wa dini ya Kiislam kwenda kusali. Sasa hata kwenye redio zetu ambazo ni nyingi sana kwa sasa hapa Tanzania...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya sheria ya haki ya dhamana kupitishwa, Serikali iangalie suala la Polisi kuvizia kukamata mtu Ijumaa ili akae rumande hadi Jumatatu

    Tunashukuru kwamba serikali hatimae imesikiliza kilia cha wananchi cha siku nyingi juu ya kuweka watu mahabusu bila kuwapa haki yao ya dhamana. Udhaifu wa hili ulikuwa pande zote mbili, polisi na mahakama, kwa sababu mahakimu nao pia walikuwa wakiwaendekeza polisi kwa kuachia watu warudishwe...
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutangazwa rasmi hapo Ijumaa maeneo yapo chini ya Russia ndipo upo uwezekano wa kutangaza vita rasmi

    Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita. Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha juhudi zozote za Ukraine kuyarudisha maeneo hayo kama shambulizi dhidi ya eneo lake huru. Kuunganisha...
  8. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Benji Cosmo wa Caribian beat kila Ijumaa Clouds FM?

    Napenda rege na miondoko ya Caribian beat nk. Nakumbuka miaka ya 2007 hawa jamaa walikua 🔥 sana, Alikuwa Cosmo mwenyewe na Dj alikuwa Bula na jamaa mwingine sikumbuki jina lake. Niliipenda sana rege kwa jinsi wajamaa walivyokuwa wanaendesha kipindi hicho. Nasikitika kwa sasa kipindi hiki hakipo...
  9. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Rungwe, Ijumaa wanafunzi huwa hawarudi nyumbani saa 5 kama mtaala unavyotaka

    Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe. Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari) Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na...
  10. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahudhuria swala ya Ijumaa

    Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sala ya Ijumaa katika Miji niliyofika

    Makala yangu ya Mfungo wa Ramadhani inaelekea imependwa na wengi. Jamaa wamenifata pembeni kutaka kunijua zaidi. Jambo hili limenifanya nifikirie makala nyingine yenye mwelekeo huo huo. Nitarejea In Shaa Allah lakini nakuacha na picha ya Msikiti wa Geneva na Msikiti wa Humburg ambako nilisali...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Mateso ya Bwana Yesu yalikuwa makali sana na kilikuwa kifo cha aibu"Alijivua hali ya uungu akavaa hali ya ubinadamu"

    Wapendwa habarini leo ni ijumaa kuu ni kumbukizi ya kifo cha bwana yesu inasemekana yapata miaka 2000 iliyopita "baada ya wazazi wetu Adam na Eva kutenda dhambi pale bustani ya edeni MUNGU alichukia kwa hiyo dhambi na aliwafukuza pale bustanini na ndipo...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ijumaa Kuu: Kifo cha Yesu Kristo Msalabani (Simba wa Yuda)

    IJUMAA KUU; KIFO CHA YESU KRISTO MSALABANI (SIMBA WA YUDA) Leo 14:25pm 15/04/2022 Basi tangu saa sita mchana Yesu alipowekwa msalabani na kugongelewa misumari pale Calvary,akapaza sauti yake akasema Eloi,Eloi lamasabakhthani(Mungu wangu,Mungu wangu mbona umeniacha?) mara giza likatanda, Yohane...
  14. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sheria ya Kanisa Katoliki ya kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu

    Tumsifu Yesu Kristo Kwa wakatoliki, leo siku ya Ijumaa kuu ni kumbukumbu ya mateso na kifo cha Yesu Kristo Msalabani. "funga Jumatano ya majivu usile nyama siku ya Ijumaa kuu".. ni moja ya sheria ya kanisa katoliki. KWANZA kabisa kabla ya kwenda mbali, lazima tujue kuwa, maana yetu ya msingi...
  15. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Ijumaa ya leo ikukumbushe tu Sabato ni Jumamosi

    Yesu alifufuka Siku ya kwanza ya Juma. Leo Ijumaa ndicho kile kinachoitwa Siku Maandalio ya Juma au Siku ya sita. Jumapili ni Siku ya kwanza ya Juma. Na Sabato kesho ni Jumamosi. Mambo ya kutafakari. 1: Ni dharau na ukosefu wa adabu kwa Mungu mfalme kuiita Jumapili au ijumaa Sabato. Ni...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

    Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani. Maoni yangu; Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake? Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house? Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Tarehe halisi ya Ijumaa Kuu mwaka huu ni ipi hasa kati ya Aprili 8 na 15?

    Wakuu heshima mbele, Binafsi nilikuwa nataka kujiridhisha kwa usahihi zaidi ijumaa kuu ya mwaka huu na pasaka yake itakuwa tarehe ngapi hasa. Ikizingatia jumatano ya majivu ilianza tarehe 2/3/2022 na kwa mfumo uliozoeleka wa mfungo wa kwaresima huwa ni siku 40 na kwa hesabu hiyo ya siku...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM na Waandishi wa Habari

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo Leo Ijumaa Machi 18, 2022 atazungumza na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 5 asubuhi hii kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo utaruka Mbashara kupitia Vituo vya TBC, Channel Ten...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bunge la Libya lasema haiwezekani kuandaa uchaguzi wa rais Ijumaa

    Kamati ya bunge la Libya imesema leo kuwa haitawezekana kuandaa uchaguzi wa rais uliosubiriwa kwa muda mrefu katika siku mbili zijazo kama ilivyopangwa. Hilo ni pigo kubwa kwa juhudi za kimataifa za kuumaliza muongo mmoja wa machafuko katika nchi hiyo yenye utajiri wa mafuta. Hiyo ni taarifa ya...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

    #NUKUU "Bahati mbaya mimi siko mitandaoni na kuhusu wanaonibeza, mimi nitazungumza kuanzia Ijumaa, sasa hivi bado nasoma tu hayo mambo yao wanayoyaandika,"- Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma Chanzo: @supabreakfast ya @earadiofm
Back
Top Bottom