Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola hivi sasa yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa.
Lugola alitenguliwa wadhifa wake baada ya kuhusishwa na mkataba wa kifisadi wa zaidi ya...
Mjadala ulikuwa kati ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli (TASAC) na Mawakala kutoka sekta binafsi.
Kitu kilichonivutia kwenye mjadala huu ni baada ya mawakala kutoka sekta binafsi kutoa malalamiko yao kuwa TASAC ameamua kuwa wakala lakini akaweka sheria kuwa yeye hatakuwa na LIABILITY kutoka...
Vimbunga viwili vinatarajiwa kutua katika pwani ya Afrika Mashariki usiku wa leo Alhamisi na kesho Ijuamaa, mamlaka za hali ya hewa zinaripoti.
Eneo la Puntland nchini Somalia ndilo linalotarajiwa kuathirika zaidi na tufani hiyo.
Kwa mujibu wa wataalamu wa hali ya hewa, mgandamizo wa hali ya...
Habari wakuu
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na mapumziko ya wiki. Ijumaa hii iliyopita wakati natoka kazini nilipitia Magomeni kwa dhumuni la kwenda fundi wa redio ya kitorori changu ninachokitumia kwa mizunguko yangu hapa town.
Sasa baada ya kumaliza shughuli yakuweka mziki kwa ride...
Serikali ya China imetangaza kuanzia Ijumaa ya kesho tarehe 2 Nov, mitandao yote ya simu China itaanza kutoa huduma ya 5G na kufikia mwisho wa mwaka huu inategemewa sehemu kubwa ya miji ya China itakuwa na huduma ya mtandao wa 5G. Hii ndio itakuwa huduma kubwa zaidi ya mtandao wa 5G duniani...
Ili kuinua uchumi na kukuza viwanda vya nguo vya Kenya serikali imeamuru wafanyakazi wote wa serikali na umma kuvaa nguo zilizotengenezwa Kenya kutokana na pamba iliyolimwa nchini humo kila ijumaa na siku za sikukuu. Kwa kufanya hivyo inategemewa kilimo cha pamba kukuzwa na pia kuvipatia soko...
Ili kuongeza kiwango cha uzalendo imehimizwa kila mfanyakazi au mtumishi wa umma kuvaa SARE YA JEZI YA TIMU YA TAIFA kila ikifika ijumaa ya wiki na hili liwe lazima kwa kila mtumishi wa umma haijalishi ni kitengo gani serikali kuu,serikali za mitaa vyombo vya ulinzi na usalama navyo vihusike kwa...
Katika harakati zangu za hapa na pale nimekuja kugundua jambo kuhusu hii namba 13,huku wengi wakiihusisha namba hiyo na nguvu za kishetani...mfano mdogo karibia hoteli zote duniani hakuna chumba namba 13,badala yake wanaweka chumba namba 12A na 12B.
Kibiashara pia tarehe 13 inahusishwa kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.