Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameibua taharuki bungeni leo Mei 14, 2025, baada ya kumvaa vikali Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara hiyo.
Mpina amesema wizara hiyo imekuwa ikishindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, hususan katika...
WAKUU HABARI. NIMEKANDWA SAILI TATU MFULULIZO KWENYE WRITTEN TU TOKA NIANZE KUFANYA USAILI AISEE. ADMINISTRATIVE OFFICER YA BUNGE CHALI. MDA & LGAs CHALI, TRA CHALI, MACHUNGU YAKE SIO KITOTO AISEE BORA NIKIMBIE TU😂😂😂🤣😂.Hapa tunashauriwa kuto kukata tamaa lakini mmh hii ni moto unakosa marks 5...
Habari wakuu
Nimejaribu kupitia nyuzi za waliomba msaada wa njia nzuri za kujiua wameandikiwa R.I.P kwenye profile zao. Hii inamaanisha wapendwa wetu walikua na Nia ya kweli ya kujiua.
Muhimu: Tusiweke mawazo yasiyofaa au ya kubeza tukiona hizi nyuzi, wenzetu wanahitaji faraja na mawazo...
Kiukweli tumekubwikwa na viongozi wa aina moja nkiwa na maana ya kwamba hutambua majukumu yao mpaka Wananchi wakionyesha kuriakti... Mfano wimbi la ufungaji barabara linaenda kasi sana na linafanikiwa kwa viongozi kujitokeza na kuzikarabati ...Swali ni kwamba wamejisahau au tatizo ni nini...
Huzuni si hisia tu—bali ni kufunua, nafsi ambayo kitu fulani kiliishi ndani yake lakini sasa kimetoweka. Huzuni😪Inakuchonga, na kuacha maumivu mahali ambapo upendo uliishi.
Mwanzoni, unahisi kwamba huwezi kuvumilia kabisa, kama jeraha ambalo haliponi. Lakini baada ya muda, taratibu kingo mbichi...
BARUA YA WAZI KWA RAIS @SuluhuSamia
Mhe. Rais, ninaamini barua hii inakukuta ukiwa na uzima tele. Nina takwimu kidogo nahitaji kukushirikisha.
1. Shule ya Sekondari Chamazi hapo jijini Daresalaam yenye wanafunzi 2,800 ina mwalimu 1 tu wa somo la kiingereza.
Wanafunzi 409 kati ya 624...
Utangulizi;
Katika uwanja wa siasa za Tanzania, Kasim Majaliwa amekuwa na nafasi muhimu, lakini utendaji wake unatia huruma sana. Amepewa jukumu kubwa la kuwa Waziri Mkuu, lakini miongoni mwa wafuasi wake na wapinzani, kuna hisia tofauti kuhusu uwezo wake wa kuongoza.
Kila siku, ninajiuliza...
Poleni watanzania wenzangu , ajali iliyotokea kata ya kariakoo ndani ya wilaya ya ilala inayohusisha jenho la biashara kuporomoka na kusababisha janga kubwa ambalo limegusa mioyo ya watu nakuacha simanzi kubwa , ajali hii ni funzo kubwa na haiwezi kusahaulika. Binafsi, nilifika kuwaaga ndugu...
Mechi ya 4 mfululizo. Admin usifute uzi, next time wapelekeng'ombe wenzao wametumia madume 5 ya ng'ombe, wao wametumia kondoo 2 na mbuzi 1.
Vilio vimetawala, kesho wakubwa hawaji.
Usiku mwema.
======
Updates:
Jini limeamua mchezo.
Jamani kama una ukoo kama wangu ambao ukoo mzima hamna ndugu hata mmoja Dar basi una safari ndefu sana.
Yamenikuta mara 1000 haya majanga
Kuna biashara naifanya na ninapata wateja wengi wa Dar lakini nashindwa kufanikisha kwasababu sina ndugu wa kumuagiza kunichukulia mizigo yangu na...
KUACHILIA/KUSAMEHE.
Ni pale unapokuwa huru ndani mwako,
Jambo hili linatupoteza wengi sana ,na mwishowe tunarudi kuwalaumu wachawi Kwamba ndio wanaotukwamisha mambo yetu kumbe hiyo ni sumu uliyokaa nayo ndani mwako ndio tatizo la mafanikio yako.
Kuna mtu unakuta ametunza kinyongo, ametunza...
licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹
ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso,
nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...
Watu 15 wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari kubwa aina ya Scania kufeli breki na kwenda kuparamia magari mengine katika eneo la Kibaoni Ngaramtoni Wilayani Arumeru Mkoani Arusha.
Ombeni Kirusha ambaye ni Shuhuda wa tukio hilo amesema “Kilichotokea ni ajali, nilikuwa na gari...
Kila mtu aliezaliwa kasainishwa mkataba wa kurudi chini ya ardhi, hio ni utake usitake kila mtu ana siku yake inamngoja arudi huko.
Lakini kuna watu wamebahatika kuishi mpaka miaka 90 huku kuna wengi wanakufa wakiwa vijana wadogo wanaoziacha familia zao ambazo bado zinawahitaji.
kwa mtu mwenye...
Katika mmoja ya wasanii ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao na wana vipaji vya ajabu ni Rose Muhando hakika hakuna atakaepinga hilo na nyimbo zake kwa miaka mingi zimetubariki na kutusogeza karibu na muumba kwa namna ya pekee kabisa, Mungu aendelee kumbariki.
Wengi wasichokijua ni kuwa Rose...
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limesema zipo Sheria zinazotoa miongozo na taratibu za matumizi sahihi ya Barabara hapa nchini huku likiwataka madereva kutokuwa chanzo cha huzuni kwa watanzania kwa kusababisha ulemavu wa kudumu na kupoteza Maisha ya Watanzania.
Hayo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh.
https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8
Rais Samia...
amiri jeshi mkuu
ccm
hanang
huzuni
jeshi
kipaumbele
kuongea
kuzungumza
manyara
mimi
mji
mkoa
mkuu
mtu
peke yangu
rais
rais samia
samia
sare
shughuli
viongozi
viongozi wa ccm
vitu
wahanga
wananchi
yangu
ziara
PENZI lilianza kumea kivuli cha utata mkubwa baada ya Baba yangu mdogo kuwa na njaa ya kimapenzi pindi tu alipo fiwa na mke wake wa ndoa, akaona fursa. Ugomvi kati yangu na baba ukawa jukwaa la mapambano ya hisia kali zenye mvutano wa hapa na pale......
House girl ambaye tulizama naye kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.