Mtu akifika miaka 90+ hakuna haja ya kuomboleza kwa huzuni, ni baraka kubwa sana kwa mtu kuweza kuishi maisha marefu, cherish it

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Kila mtu aliezaliwa kasainishwa mkataba wa kurudi chini ya ardhi, hio ni utake usitake kila mtu ana siku yake inamngoja arudi huko.

Lakini kuna watu wamebahatika kuishi mpaka miaka 90 huku kuna wengi wanakufa wakiwa vijana wadogo wanaoziacha familia zao ambazo bado zinawahitaji.

kwa mtu mwenye 90+ kuna la kuomboleza lipi zaidi ya kushukuru kwa baraka aliyoipata ya kuweza kuishi maisha marefu?

Hata na yeye mwili unakuwaumeshachoka sana, wenzake wengi sana wameshatangulia.
 
Back
Top Bottom