huzuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Mwanadada mrembo, nisha ghimire, na kifo chake cha huzuni na upweke kitandani

    Na DaVinci XV Wakati mwingine hakuna umaskini mkubwa kama upweke wakati wa magagasiko na dhiki, wakati ambao unahitaji faraja ya umoja. Wale uliokuwa nao kwenye furaha wanapokuacha kwenye Chumba cha Upweke ni majonzi na maumivu makali ya moyo na akili zaidi ya jeraha la msumari...
  2. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Mapito ya huzuni na masikitiko maishani

    MAPITO YA HUZUNI NA MASIKITIKO MAISHANI Nimeandika haya baada ya kupita katika jangwa zito sana lililouumiza sana moyo wangu kwa siku mbili mfululizo. Mtu mwenye mamlaka, ambaye Mungu amemuamini na authority fulani, aliunyanyasa moyo wangu sana na kunidhalilisha mbele za watu, na bila sababu...
  3. web developer

    JamiiForums Tanzania SoC03 Soka huzuni mpaka burudani

    Mwaka 1993 kwenye Fainali ya CAF Kwa Sasa Shirikisho kwenye uwanja wa  Uhuru timu ya  Simba ilipoteza Kwa kupigwa magoli mawili dhidi ya Stella Club d'Adjame ya Ivory Coast, hali iliyopelekea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa wakati huo Mh. Ally Hassan Mwinyi (Mzee wa ruksa) kutokwa na...
  4. D

    JamiiForums Tanzania UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kimewahi kukuhuzunisha sana?

    Kwenye picha chini ni mvulana wa miaka 10 kutoka Ghana aliyekufa kwa Saratani. Wazazi wake hawakuwa na pesa ya matibabu hivyo alikaa nyumbani hadi hali yake ilipokua mbaya zaidi, na kubaki na siku chache za kuishi. Akiwa hospitalini, aliomba hsopitali imsaidie kutimiza ndoto yake ya kupanda...
  6. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

    Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023). Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika. Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu niko na huzuni ya kufiwa

    Nina majonzi mazito ya kufiwa na ndugu John Wick baada ya kumaliza kutazama chapter 4. Bado sijajua kuomboleza huku kutaisha lini. John Wick alikua kama kaka na mshauri mkubwa. Mbele yake nyuma yetu.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kesho muda Kama huu Yanagonga na Kurudi tu yanakokaaga huku Sura zetu zikiwa na Mnuno na Huzuni tele

    Nikiripoti kutoka hapa Mjini Rabat nchini Morocco ni Mimi GENTAMYCINE wa JamiiForums.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kuwaangalia Wydad Casablanca FC wakicheza wakiwa Kwao nimejikuta Huzuni kunipata na Machozi kunitoka

    Na nahisi huenda GENTAMYCINE Usiku wa Saa Nne ( 4 ) Jumamosi ijayo ya tarehe 29 April. 2023 Nikalia zaidi na Kuhuzunika Kunakotukuka.
  10. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Ni ukweli gani wenye huzunisha kuhusu kuzeeka?

    Kadri unavyozeeka, ndivyo unavyogundua kuwa mengi uliyofundishwa utotoni hayana ukweli kabisa Unaweza kuwa chochote unachotaka kuwa. Hapana, hauwezi. Kuna vipimo ambavyo hutavifikia ili kukubaliwa katika kitu unachokitaka. Hii ni licha ya kuwa na akili na ujuzi wa kutosha wa kufanikiwa katika...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ya kuja kumuoa Mfalme Zumaridi imefikia tamati jana. Ni huzuni

    Hapa duniani nimeshawahi kuwa na ndoto nyingi. Kuna ambazo zimeshatimia, zilizofeli na zingine michakato inaendelea. Sasa jana ndoto yangu ya hivi karibuni imefikia mwisho bila mafanikio. Ni kuhusu kumpenda na kutaka kumuoa Mfalme Zumaridi. Kiukweli kwa miaka kadhaa nimekuwa nikiteketea ndani...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Posho za marefa Ligi kuu ni huzuni

    Mwamuzi wa Ligi Kuu anapokuwa kwenye mechi, inaelezwa analipwa kati ya Sh 300,000 hadi 350,000 kwa mechi, pesa ambayo inajumlisha nauli ya kutoka anakoishi kufika kwenye kituo cha kazi na gharama za malazi na chakula. 🗣 Ukipiga hesabu kwa haraka haraka, pesa ya posho kwa mwamuzi wa Ligi Kuu...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Bunge linapitisha mambo mimi kama mtanzania nikiangalia naingia huzuni

    MWANAHABARI nguli na anayeheshimika nchini Tanzania, Pascal Mayala amelitupia lawama Bunge la Tanzania kwa kupitisha baadhi ya mambo ambayo kuna wakati yanampa huzuni na hasira kubwa. "Kuna baadhi ya mambo ambayo Bunge letu limefanya ni mambo ndivyo sivyo,hakuna anayejua mambo haya ni ndivyo...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

    Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho. Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022. Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa...
  15. Justdr

    JamiiForums Tanzania Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi kozi, washaurini kabla hawajaenda kupoteza muda

    Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course Bachelor of Arts in English, Bachelor of Arts History, Bachelor of Arts Kiswahili😭😭😭 Ni huzuni kwa kweli. Kuna hizi za sayansi pia Bachelor of science in chemistry Bachelor of science in physics Bachelor of science in biology Mm siyo muandishi...
  16. Hashpower7113

    JamiiForums Tanzania Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

    Gloomy Sunday (Jumapili ya Huzuni) ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress (Rudi Spitzer), msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake. Inaelezwa kwamba kitendo cha kuachwa na mwanamke...
  17. Leonard24

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii yenye huzuni iliyojaa picha za furaha na ufahari katika mitandao ya kijamii

    Utambulisho Habari Wana jamii Forum,kwa majina naitwa Lenny Godfrey mkazi wa wilaya ya kinondoni jijini Dar-Es-Salaam.Na pia Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu Cha Sayansi na Teknologia Cha mtakatifu Joseph Mbezi jijini Dar-Es-Salaam katika ngazi ya Uhandisi. Kutokana na ukuaji wa Sayansi na...
  18. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Mambo yenye huzuni kubwa duniani

    1. Kusema "Kwaheri"kwa mtu unayempenda sana. 2. Kumuona unayempenda akifariki mbele ya macho yako. 3. Kumuona mama yako mzazi akilia kwa uchungu. 4. Kumuona baba yako akiteseka kulitafutia "ADA"ili akulipie wewe. 5. Kumpoteza rafiki/ndugu kwa ajali au ugonjwa fulani. 6. Kubezwa au...
  19. cold water

    JamiiForums Tanzania X wangu ananitumia kwenye matatizo yake. Nitaamka lini?

    X wangu ananitumia kwenye matatizo yake nikisha msolvia anaanza dharau, akiwa na shida ananiweka karibu. Kuna muda natamani kumkazia huruma inakuja namsaidia.
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Salaam Wakuu, Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi. Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii. MY TAKE: Damu ya Mtu haiendi bure. Pia soma: Wamasai Ngorongoro...
Back
Top Bottom