huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Kumbe kuna muda huyu Mchambuzi wa Michezo mwana Yanga SC 'lia lia' Privaldinho wa Clouds FM huwa anakuwa na akili Kubwa hivi? Heko Kwake!

    " TV Sponsorship ni tofauti kidogo na uwekezaji ambayo unaweka 20bil mara moja sio kwa mgawanyiko. Kama watu wanafikiri ni rahisi basi atokee mdhamini atoe hata nusu Tsh 20bn kwa mkupuo. Wadhamini wenyewe wanategemea kupata humo humo ili waweze kulipa tena " Chanzo: @privaldinho Haya sasa wana...
  2. Huwa nikiwambia tuibadiLishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani

    Huwa nikiwambia tuibadirishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani. Tungezalisha petroli yetu kupitia gesi bei ya dunia isingetuathiri.
  3. Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

    Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia. Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa...
  4. Betri za Redio zikiisha Nguvu huwa tunazianika Juani Kisha tutaendelea Kuzitumia je, Betri za Simu zikianza Kupungua Nguvu tunafanyaje?

    Hapa nitakuwa nasoma tu Maoni yenu!!!
  5. Hivi Wazanzibar huwa wanajiunga JWTZ kwa utaratibu gani?

    Kwa wazoefu na wanaojua tafadhali. Nauliza hili kutokana na comment ya JokaKuu Any anaejua.
  6. Wanaume huwa mnafikiria hatari zinazoweza kuletwa na mchepuko?

    Mchepuko si mrithi wa mali zako, hata uk RIP ni nadra kwa mchepuko kupata chochote labda uwe umezaa nae nae napo pia hutegemea umuhimu wa huyo mtoto kwa familia ya mume. Mnapo kula chakula kwa mchepuko kuna uwezekano maadaui wako kuulipa mchepuko hela ukuondoe duniani. Mfano wewe unampa...
  7. Mchepuko anapenda kumtaja mke wangu hata wakati wa tendo

    Mambo vipi ndugu zangu? Ama baada ya salamu, ngoja sasa nielekee katika mada husika. Kwanza kabla ya yote ningependa ieleweke kuwa mimi ni mume wa mtu, lakini kwa sasa mke wangu kasafiri kaenda kujifungua mtoto wetu wa pili kwao. Kutokana na upweke wa hapa na pale ikabidi nitafute bebee wa...
  8. Huwa nachukia sana 'Unafiki' kama huu hasa pale Mtu maarufu au wa Kawaida tu anapofariki dunia

    gersonmsigwa Mwamba ' Fredwaa ' nilikuwa na hamu sana ya kukutana nawe siku moja, lakini haikutokea na leo umelala milele. Nilitaka kukwambia wewe ni Mwanamapinduzi wa utangazaji. Mimi mtangazaji mwenzako nilivutiwa sana na jinsi ulivyokuwa unaupigwa mwingi sana kwenye microphone 🎤. Sindano 5...
  9. Kama kuna sehemu ambayo huwa siwaelewi Wanawake wenye Mabwana katika Nyumba za Kupanga ni hii...

    Unakuta wao wana waume ( mabwana ) zao na huenda kila siku ( 24/7 ) tu wanangonolewa nao, lakini wakikuona tu mpangaji wa kiume ambaye hujaoa na wala hutarajii kuja kuoa leo, kesho na mtondogoo kama Gentamycine unaingiza ' mademu ' siku zote wanaumia, wanakununia na kukupiga majungu. Ni kipi...
  10. Haya matunda ya mvuti huwa yanajiotea porini, kumbe yanauzwa ghali

  11. Rais sio Mungu naye huwa anakosea

    Ninampenda sana Rais wetu Mama Samia ila ninaomba kumsahihisha kuwa rais ni binadamu huwa anakosea. Tukianzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Marehemu na yeye mama mwenyewe tukisema tuorodheshe mazuri na mabaya yao jamiiforums server haitatosha. Ushauri kwa mama: Achape kazi tunampenda...
  12. J

    Rais Samia: Kilimanjaro Wakuu wa Wilaya walimsumbua sana RC Mghwira wakidai Rais amekosea kuteua

    Rais Samia amesema Rais hafanyi makosa katika kuteua kutoka wafuasi wa vyama vya upinzani. Rais Samia amesema kuna wakati wakuu wa wilaya pale Kilimanjaro walikuwa wanamsumbua mama Mghwira kwa madai kuwa hayati Magufuli alikosea kumteua. Rais hakosei, amesisitiza mama Samia. Uzi huu ni...
  13. D

    Posho wanazojilipa Wakurugenzi na Mameneja huwa ni wizi mtupu! Bila kuzifuta posho hatutoboi

    Ukizunguka wizarani na kwenye mashirika kuna hawa watu wanaitwa wakurugenzi na mameneja (senior staff) Hawa watu wameajiliwa kwa mishahara mikubwa sana average 2m ~8m kwa mwezi kama malipo ya mshahara katika majukumu yao! Lakini cha ajabu kila jukumu la kazi huwa lina posho! Mfano! Kuandaa...
  14. Hivi mnaosoma kozi kama Bsc in Physics, Bsc in Chemistry, Bsc in Mathematics huwa mnapanga kuja kuwa kina nani hasa?🤣

    Hawa wasomi wanashangaza. Hivi ninyi ni walimu?🤣 Hivi taaluma yenu mnaijua kweli. Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ? Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣 Anyway, mimi sijui.
  15. Bishana na wanaumee wenzako usibishane na mwanamama kimya kingi huwa kina mshindo mkubwa nimeeleweka

    Mama chapa kazi ukiwaheshimu wanakuita mpole hii ni dharau sana mama akiwajibu msilalamike kabisa madonda ya MATAGA yameanza kupona
  16. Kilevi kipi kati ya hivi mtu akitumia huwa unamuona wa ajabu sana?

    Jamani embu tuambieni Kati ya vilevi hapo Chini ukimuona mtu anatumia huwa una muona wa ajabu sana yaani hajitambui(hopeless and useless man). 1. Ugolo 2. Gongo 3. Bhangi 4. Mirungi 5. Konyagi na Valeur bila kusahau K vant 6. Mataputapu mengine(ulanzi, kindi, viduchu, kimpumu, kimono n.k)...
  17. Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania na huenda ndiyo maana baadhi ya Mataifa jirani na makubwa yanatudharau bila Sisi kujijua

    Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo...
  18. D

    Mliotahiriwa na ganzi eti ni kweli kwamba ile sindano ili kupata ganzi huwa ina athari baadaye?

    Mimi nilitahiriwa bila ganzi, hivyo sijui! Lakini naomba kujua, kuna baadhi ya taarifa katika jamii kuwa ile sindano ya ganzi inayochomwa kwenye mapumbu hubaki kwa athari ya baadae! Ndiyo maana baadhi ya makabila hayaruhusu watoto kutahiriwa hospital! Je ni kweli!? Kama kuna hanithi humu...
  19. Je, Matrafiki huwa wanayajuaje kwa haraka Magari ya Taasisi ' Nyeti ' nchini na hawayakamati na kuyaruhusu tu yapite hata kama labda yana Makosa?

    Binafsi huwa natamani mno Kuyajua Magari yao nikiwa njiani ( natembea kwa Miguu ) lakini sijaweza kuyajua ila nimeambiwa Matrafiki wote huwa wanayajua Kiurahisi sana tu hata kama yako mbali au yakisimama ana kwa Kuyaangalia au kwa Kumhoji Dereva ( Mwendeshaji wake ) Ninataka kuyajua ili niwe...
  20. Pamoja na mapigo yangu ya kizee kuna siku totoz huwa zinajogonga

    Mara nyingi huwa napiga mashati ya vitenge na chini namaliza kwa suruali la kitambaa. Matenge ya kijani na rangi ya njano nayakubali na chini suruali ya darka blue. Sometimes nagonga kaunda suti na mokasini za kisasa. Mkononi huwa sikosi magazeti, kwa siku nanunua magazeti kama matano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…