Hivi mnaosoma kozi kama Bsc in Physics, Bsc in Chemistry, Bsc in Mathematics huwa mnapanga kuja kuwa kina nani hasa?🤣

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Hawa wasomi wanashangaza.

Hivi ninyi ni walimu?🤣

Hivi taaluma yenu mnaijua kweli.

Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ?

Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣

Anyway, mimi sijui.
 
Hawa wasomi wanashangaza.

Hivi ninyi ni walimu?🤣

Hivi taaluma yenu mnaijua kweli.

Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ?

Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣

Anyway, mimi sijui.
Samahani una miaka mingap?

Hizi ni akili za ulimwengu wa kusoma kuajiliwa


Hiyo simu unayotumia unajua katengeneza nani na nani mwenye elimu gani?

Rudi shule ukasome
 
Tuliokuwa tunajua tunasoma ili baadae tuwe tufanye nini, tuko taabani. Sembuse hao...
Kuwa na taaluma inayoeleweka at least inapunguza stress. Kuliko kusoma taaluma isioleweka.

Yaani hata ukiulizwa kitaaluma wewe ni nani unapata tabu sana kuelezea.

Sasa hawa watu wanaomba kazi za ualimu, kwanini hawakusoma tu ualimu wajue moja.
 
Sehemu ambako physics inakuwa applied
  • Astronomy and astrophysics.
  • Biophysics.
  • Chemical physics.
  • Cosmology.
  • Engineering physics.
  • Geophysics.
  • Medical physics.
  • Optics.
  • Particle physics.
  • Quantum computing.

Kazi za mtu aliyesema physics
  • Data analyst.
  • Engineer.
  • Patent attorney.
  • Physicist.
  • Physics researcher.
  • Physics teacher or professor.
  • Programmer.
  • Project manager.
  • Scientist.
Kazi.ambazo mathematics inakuwa applied

1.Auditor:

2. Data or Research Analyst:

3. Computer Programmer

4. Medical Scientist

5. Financial Analyst

6. Statistician

7. Actuary

8.Economist

9. Software Developer

10. Data Scientist


kazi ambazo chemistry inakuwa applied
Mleta mada usichokijua ni kama.usiku wa kiza walioanzisha hizi degrees sio idiots wanajua nini wanaofanya
 
Hawa wasomi wanashangaza.

Hivi ninyi ni walimu?🤣

Hivi taaluma yenu mnaijua kweli.

Hivi inakuwaje mtu anaenda kusoma kozi chuoni ambayo hajui mwisho wa siku hajui atakuwa nani ?

Au ni ilimradi tu "boom" lipo na kitaa wanakujua uko chuo🤣

Anyway, mimi sijui.
Kwa kifupi Sana:
1. Mafuta unayojipaka na Kula, pamoja na maji Safi ni kazi za wakemia
2. Gari unalotumia kuna kazi kubwa ya wafizikia
3. Hesabu sasa ndio balaa maana hata simu unayotumia imejaa kanuni za hisabati.

Vile maslahi hayalipi Sana TZ haina maana hizo kozi sio dili
 
Back
Top Bottom