Hivi Wazanzibar huwa wanajiunga JWTZ kwa utaratibu gani?

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Kwa wazoefu na wanaojua tafadhali.

Nauliza hili kutokana na comment ya JokaKuu
cdf hawezi ku-command kmkm na jku kwasababu vyombo hivyo si sehemu ya jwtz.

..kmkm na jku wako chini ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na hawafanyi kazi nje ya mipaka ya Znz.

Any anaejua.
 
Kuna vitu vinafikirisha sana.
JKT vijana wa Zanzibar hupewa kipaumbele kwenye usaili wa kujiunga JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi while kijana wa Tanganyika ni marufuku kujiunga JKU ambako kuna ajira pia.
Kumbe kuna vijana huwa wanaletwa kutoka Zanzibar ili wajiunge JKT ?
 
JKT hupokea vijana kwa mgawanyo fulani ambapo kiasi fulani hutokea vIsiwani na kugawanywa katika makambi ya JKT....

Hawa wote hutambuana na serikali yao huwatambua kwa idadi ya kila.kambi (na msisitizo wao hua ni kuishi kama ndugu) na inapotokea ajira hawa hupewa kipaumbele isipokua baada ya JPM kuingia akafanya usawa awali hawa walikua hawarudi majumbani sharti waishe wote WABARA warudi home..... ,

(Walikua na kauli yao... turudishe tuvunje muungano)

CCP depo la polisi pia hutakiwa kuchukua vijana kadhaa kutoka JKU.... kama watachukua JKT basi jku pia watapata nafasi chache mfano ni depo la 2019.

Je unajua kipindi cha MWINYI Alikua na utaratibu wa kukutana nao kabla ya kuja makambini huku bara? NDIO na walikua na namba zake na waliongea nae kwa uwazi kabisa... Sasa wewe KAMANDA zingua

nawasilisha.
 
Kuna vitu vinafikirisha sana.
JKT vijana wa Zanzibar hupewa kipaumbele kwenye usaili wa kujiunga JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi while kijana wa Tanganyika ni marufuku kujiunga JKU ambako kuna ajira pia.

Zanzibar na tanganyika ni nchi mbili Tofauti sasa na Tanzania na Kenya . Kuna muungano wa east Africa ila kila nchi na mipaka yake na serikali yake. Wazanzibari wameungana na tanganyika ila muungano sasa umegeuka kuwa ukoloni kwao.

Lunatic
 
JKT hupokea vijana kwa mgawanyo fulani ambapo kiasi fulani hutokea vIsiwani na kugawanywa katika makambi ya JKT....

Hawa wote hutambuana na serikali yao huwatambua kwa idadi ya kila.kambi (na msisitizo wao hua ni kuishi kama ndugu) na inapotokea ajira hawa hupewa kipaumbele isipokua baada ya JPM kuingia akafanya usawa awali hawa walikua hawarudi majumbani sharti waishe wote WABARA warudi home..... ,

(Walikua na kauli yao... turudishe tuvunje muungano)

CCP depo la polisi pia hutakiwa kuchukua vijana kadhaa kutoka JKU.... kama watachukua JKT basi jku pia watapata nafasi chache mfano ni depo la 2019.

Je unajua kipindi cha MWINYI Alikua na utaratibu wa kukutana nao kabla ya kuja makambini huku bara? NDIO na walikua na namba zake na waliongea nae kwa uwazi kabisa... Sasa wewe KAMANDA zingua

nawasilisha.
Vijana kutoka Zanzibar ni idad yao ni ndogo Sana wanakuwa Mia nne, kwaiyo nafas za ajira zikitoka 3000 wao lazma wa ajiriwe wote.
 
Back
Top Bottom