huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Championship

    JamiiForums Tanzania John Bocco huwa anaingizwa kufanya nini kwenye mechi za kimataifa?

    Bocco anayo rekodi nzuri pale Simba na hakika mchango wake ndani na nje ya uwanja hauwezi kusahaulika. Ila kwasasa ni vizuri uhalisia ukazingatiwa, John umri umemtupa mkono. Mechi za kimataifa zinataka kasi na umakini mkubwa. Leo amepoteza mipira mingi sana kwa dakika chache alizocheza...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huwa tunakuwa nao huu Ujinga sana linapokuja suala la Waarabu na Wazungu. Wao wanatuonesha kitu...

    Tena niseme afadhali na baadhi ya waswahili huwa wanaweza wakosoa vizuri tu Wazungu ukiacha wale wajinga wachache ambao nao huwa hawaoni makosa kwa wazungu. Kuna Sisi waswahili wengine wapumbavu choka mbaya hutuambii kuhusu waarabu. Yaani hata kwenye match tukicheza nao wakitufanyia uhuni...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huwa inataka moyo sana kusikiliza maneno na hotuba za hawa watu

    Mmojawapo ni Kikwete, huyu ndugu niliwahi msikiliza mara moja alipochaguliwa kuwa Rais nikaona daah, ndiyo basi tena. Nilikuwa sahihi. Toka siku hiyo sikuwahi pata nafasi ya kumsikiliza kabisa. Huwa sioni kama yupo "serious". Nlikuwa na msikiliza Nyerere, Mkapa na Mwinyi. Bora ni Nyerere...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar huwa wanajua huku Mwanza ukiwa na buku unapata ndoo ya samaki

    Watu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki. Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  6. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kumtext mtu au kuanza mazungumzo kurupu anasema nipange au niambie huwa inakera sana

    Moja kwa moja.. Huu mtindo umeshamiri haswa kwa vijana unakuta mtu ameanza kukutext au wewe umeanza kumsalimia baada ya kujibu text yake inayofuata "nipange "au "niambie" mimi mara nyingi hapo huwa mwisho wa kuchat isipokuwa kwa wachache ambao ninawajua kuwa bado Wana utoto. Leo hii mshikaji...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo huwa zinabana polisi hali ya usalama huwa mbaya sana

    Wanasema barabara ya kuzimu imesakafiwa kwa nia njema. Watu wanaopinga mauaji yanayofanywa na polisi kwa washukiwa wa uhalifu wana nia njema sana. Na ni kweli kuna polisi waovu na wanatakiwa kudhibitiwa na kushughulikiwa. Lakini hili ni suala la kuangalia kwa makini sana. Ukishaanza kuwabana...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Familia isiyokuwa na mwanaume (baba) huwa inapwaya.

    Mwanaume ni kiongozi wa familia, hii ni kutokana na asili ya uumbaji. Kuna kipindi, mwanamke lazima amtegemee mwanaume, iwe ni kwenye kufikiria au kutoa maamuzi. Kwa wale ambao hawaishi na wanaume, wanalijua vizuri gepu lililopo hasa pale mwanaume asipokuwa katika maisha yao. Ndio maana...
  9. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Wife akinikuta nasikiliza nyimbo zifuatazo huwa ananichukia sana, tatizo nini wadau?

    1. Wimbo wa Mbaraka Mwishehe- ntamtuma mshenga, akinikuta nasikiliza huu wimbo huwa ananichukia Sana Tena huwa hataki hata kuniongelesha, yaani siku hiyo nitaishi kwa shida sana 2. Mpenzi Luta by Mutombo, pia na yenyewe anachukia, Wajuzi wa Mambo naomba ufafanuzi juu ya Hili niwe na amani na...
  10. MOONFISH

    JamiiForums Tanzania Kwanini pale mtu anapofariki huwa wanatoa nguo zake zote na kuzigawa?

    Habari wakuu natumaini ni wazima wa afya kabisa. Swali langu kubwa ni kuwa hivi kwanini pale mtu anapo fariki huwa wanatoa nguo zake zote na kuzigawa. Mfano kama mimi kuna mzazi wangu mmoja ali tangulia ila hata kabla hawaja mzikaa wakakusanya nguo zake zote na kuzikunja na kuzipack yani...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Amin usiamini Africa Mara zote Raisi na Makamu wake huwa haziivi

    Hawa wakubwa bwana wanapenda Sana maigizo. Wakiwa madarakani utadhani ni wa moja la hasha. Fuatilia historia nyingi za Raisi na Makamu wake mara zote siyo nzuri. Kwa Tanzania Makamu wa Raisi huchaguliwa Kwa mkakati maalumu na huwa siyo chaguo la Raisi aliyeko madarakani. Tanzania makamu wa...
  12. ward41

    JamiiForums Tanzania Turudi Nyuma Kidogo

    Jamaa alionywa lakini
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 99% ya Watu waliopata Elimu ya Shule, Taasisi na Chuo ya 'Wakatoliki' huwa ni Werevu ( Intelligent ) sana?

    Je, Wakatoliki kupitia Kanisa lao Tukuka ( ambalo GENTAMYCINE ni Muumini Wao Mtiifu ) la Katoliki wana Mtambo Maalum wa Kuutajirisha Ubongo wa Mtu anayesoma Kwao kuwa na IQ Kubwa na Maarifa mengi kuliko wengine waliopita huko Kwingineko? Nitakuwa ni Mchoyo wa Fadhila na hata Shukran tu...
  14. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Utaratibu huwa umekaaje?

    Kuna mahali niliwahi ona kampuni ya watu waliojiita wazawa wakitafuta mawazo kwa vijana, mawazo ya kibiashara ambapo hiyo taasisi ilianzisha kwa pesa za watu kwa miradi ya vanilla, na sasa nadhani imekufa hiyo taasisi. Lengo juu ya huu uzi ni kuwa endapo kijana anapokuwa na wazo ambapo ataona...
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mwanza kuna nyumba huwa inaungua kila baada ya muda fulani

    Ndio hivyo bwana. Kuna nyumba huwa inaungua, gari ya zimamoto inakuja inazima Moto, kisha jamaa anafanya ukarabati baada ya muda fulani tukio linajirudia tena. Mpaka Sasa majirani tumeshazoea kabisa. Udhurumati sio kitu poa wadau. Tafuteni vitu vya halali.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee kwanini hataki kuzeeka?

    Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu. Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki. Sijui hata kama anawashauri huyu.
  17. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiposhobokewa huwa anachanganyikiwa

    Wakuu hii kitu ni kweli kabisa sasa nimeamini, kuna dada mmoja hapa jirani ninapoishi niliwahi kuwa nae kwenye mahusiano lakini kutokana na tabia zake za dharau na kujiuza uza kwa bei chee nikampiga chini kimyakimya bila malumbano yoyote. Karibia mwezi sasa anajipitisha pitisha ili walau...
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kiongozi asiye mzalendo na anayejali tumbo lake huwa hana huruma na raia masikini na wasio na uwezo

    Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma. Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira. Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma. Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia ukijisikiliza hapo huwa unajiasikiaje?!

    Tuiogopeni technology hakika!
  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kodi ,ushuru,tozo ni kitu kile kile

    Kodi ndio Mfumo upo duniani kote Lakini ushuru na tozo ni kwa mpangilio na makubaliano kati mwananchi na serikali ila kama hakuna makubaliano ni sawa na unyang'anyi hakuna tofauti na kibaka,kodi ndio inatambulika duniani ila siyo tozo na ushuru , ukiwa na wabunge wenye emotion wanaamua vitu...
Back
Top Bottom