Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.
Huwa najaribu kuwaza kunamatangazo. Haya ya pombe mwisho huwa wanasema haiuzwi kwa waliochini ya miaka 18. Je ni kweli wahudumu huwa mnawauliza wateja wenu umri wao kabla ya kuwauzia bia??????
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo kimoja hapa Tanzania.
Chuo kilitupa nafasi ya kuchagua sehemu ya kufanya field kwenye account ya SIMS, nikachagua kufanya field VETA mojawapo hapa Tanzania
Cha ajabu huku wametupokea lakini hakuna tunachofanya, hakuna mwenye habari na sisi.
Mi...
Hospitali, hasa hospitali binafsi, huwa zinatoza ada tofauti kwa huduma za daktari wa ujumla (Medical Doctor/GP), daktari bingwa na daktari bingwa bobezi.
Kama umeomba na kulipia kuonwa na daktari bingwa (Specialist), ni muhimu kuthibitisha kuwa huduma uliyopokea ndiyo uliyolipia.
Nimegundua...
Dada yangu alipoteza akili zake baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume X
Nasema hivi kwasababu kabla ya hapo alikuwa vizuri , alikuwa akipangilia mshahara wake kutimiza malengo yake kama kuanzisha biashara, kujenga nk
Lakini punde si punde akapata mwanaume X wakapendana kwa kadri...
Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika.
Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto...
Mara nyingi njaa huwa kitu kibaya sana,binadamu kutokutafakari afanyeje ili kuweza kupambana na mazingira yake pamoja na kujiendeleza in short kutokujitambua yeye ni nani!
Mlipuko wa watu wavivu baada ya njaa kuuma kupitiliza!...
Hapa ni S.A MAJUZI.
Hivi Unapofumba Macho Bila Kusinzia, Huwa Unaona?
Hivi unapofumba macho na sio kusinzia, je huwa unaona?
Unaona nini ukifumba macho yako?
Ni kweli huwa unaona au huwa unahisi?
Ukifumba macho sasa hivi kuna kitu unaona ?
Unadhani ni halisi ?
Au huwa unatengeneza picha mwenyewe kwenye kichwa...
Kwanza kabisa tuelewe ndoto ni kitu gani. Huwenda ikawa si jambo geni kabisa kwa wengi.
Ndoto ni nini?
Ndoto ni mfululizo wa matukio, mawazo, hisia na uzoefu ambao ubongo huunda wakati mtu akiwa amelala. Ndoto nyingi hutokea katika hatua ya usingizi inayoitwa REM (Rapid Eye Movement), ambapo...
Jambo watanzania
Iko hivi,kuna office moja ya umma nafuatilia huduma flani flani,sasa bana toka day one nafuatilia ile huduma kuna bibie mmoja tulikutanisha macho yetu,sasa wakati niko kwenye kiti nasubiri zamu yangu ifike akatokea incharge wao akatuambia wengine tuelekee kwenye dirisha ambalo...
Sio kwamba naiombea homa irudi, Mungu aniepushe nayo mbali. Ila kuna jambo nimeligundua kuhusu maisha ya binadamu, sijui na kwenu ipo hivyo.
Nikiwa mtoto wa shule ya msingi nilikuwa mtu wa kuumwa mara kwa mara. Kuna zile siku unaishiwa nguvu kabisa, mwili unalegea, macho yanakuwa mazito...
Kwangu mimi hili swali huwa linanitatanisha sana. Huwa nashindwa nianzie wapi kujibu hili swali.
Kwa sababu inakuwaga kama tuko kwenye Interview ya Kazi. Au huwa wanamaanisha nini?
Ni wanataka kujua kuhusu nini?
Nashindwa kuelewa.
Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
hawa watu wanaweza ongea neno ukajiuliza mara mbilimbili ni yeye au limetoka kwenye kinywa cha mtu mwingine mtazame sura sasa so innocent lazima atawaacha midomo wazi na kushikilia mbavu
Akili zao na sura zao zisizo na hatia huwa havishabihani hata kidogo
pia ni hatari zaidi kwenye kufanya...
Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na mara nyingi mameneja ni watu wenye uzoefu mkubwa walioujenga ndani ya kampuni hizo kwa miaka mingi...
Kwanini matajiri huwa hawashiriki moja kwa moja kufanya ubaya badala yake vijakazi wake
Je waogopa Karma ?
Je wanaogopa lawama
Tuchukulie hii scenerio
Au naomba kutapa ufumbuzi
mfano kwnye kampuni X Tajiri amegundua kuna wizi umefanyika na aliyefanya anabainika .
Boss anamwamuru kijakazi...
Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu.
Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko wanaume.
Hii imekaaje. Wakina mama muache kuwajaza vichwa watumishi wakatusahau na sisi wababa ambao...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast amesema;
"Chama kikubwa kama CCM hata nafasi ya kuwa mjumbe wa kuandika ilani, hilo ni jambo kubwa sana. Sasa mimi sikuwa tu mjumbe, Kitila Mkumbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.