Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.
Kwanini Huwa ni nadra Dar es Salaam na mikoa ya Pwani kuripotiwa matukio ya kikatili kama haya ,
Ni kwamba mikoa hii ina watu waliostaharibika ..? Au
N.B hapa nazungumzia wazawa wa Pwani na sio watu waliohamia hao hapana .
Wakuu
Nimekuwa nikikutana na madai kwamba maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya kuchotwa.
Naomba kufahamu ni kwa nini maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya siku kadhaa baada ya kukingwa,na pia huku mitaani kwetu tunayawekea chumvi kidogo kwa iman kuwa hayata haribika,je ni kweli chumvi...
Kama mtu ni mwanasheria binafsi(sio wa serikali) kwa mfano unajua kabisa mteja wako ni mfanyabiashara wa dawa za kulevya, fisadi, muuaji n.k kwa nini unampa huduma ya uwakili kama wewe sio mtu muovu pia?
Huwa inakuwa kwa sababu ya pesa au kitu gani?
KESHO SAA 10 JIONI HAKIKISHA UNAFIKA KWENYE SHEREHE / KIKAO CHA xxxxxx. USIKOSE !
Ni message ambayo huwa inapokelewa vizuri sana na watu wa kawaida wakiwaza kukutana na watu wengi pamoja na vyakula lakini kwa Introvert huwa wanachukia sana 😂😂
Hivi kuna mtu tofauti na raia wa Nigeria wenyewe huwa anaelewa English ya Nigeria? Mimi huwa sielewi Kingereza wanachozungumza Wa Nigeria hasa wa mtaani au wanamuziki na comedians wao wengi.
Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo.
Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa...
Na sijui kwanini Wanawake wengi wanaopenda Kufuga ni wale walio Warembo hasa ila wale 'Sura Ngumu' huwa hawafugi kabisa.
Kunyoa nywele za sehemu za siri kabla ya Hedhi ni uamuzi wa mtu binafsi, lakini kuna faida kadhaa za kiafya na za usafi zinazoweza kuzingatiwa. Moja ya faida kuu ni...
Baraza la NACTVET halijatoa vyeti vya wahitimu wa kada ya nursing chuo cha Newala School of Nursing waliohitimu September 2025.
Cha kusikitisha ni kwamba vyuo vingine vilishapatiwa isipokuwa chuo kimoja tu kitu kinachopelekewa wahitimu kukosa fursa mtaani na hamna maelezo ya kueleweka kuwa...
Anonymous
Thread
baraza
chuo
huwa
kada
nactevet
newala
nursing
school
vingine
vyeti
vyeti vya wahitimu
vyuo
wahitimu
Leo nimeona niulize hili swali pengine naweza pata majibu humu.
Hawa wadada wanaojiuza huwa hawana period? Maana daily tu unakuta wapo on duty hamna cha off days wala nini...mwendo wa chaka tu chaka.. kutoa huduma.
Sasa natamani nifahamu wanadhibitije hizo mambo zao 😑 au Kuna dawa wanatumia...
Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya
Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura?
Au ndio ile ku adapt na mazingira?
Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo.
Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya.
Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa
Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
Maombi, Dua na sala vina matokeo yoyote au vinabadilisha chochote katika maisha ya binadamu muamini mungu?
Kwa nini binadamu wasiache tu mapenzi/mipango ya mungu au kudra zake kutimia tu kama alivyopanga kwa sababu tunaambiwa kila jambo alishalipanga?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.