huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Chereko chereko ujio Tume Huru ya Uchaguzi

    Zimesikika chereko chereko na mayowe ujio wa tume huru ya uchaguzi. Bila shaka katika wote kina Addo Shaibu pale mtaa wa Jukwani nao pia hawajabakia nyuma. Haiyumkiniki tume hii itaundwa kwa kuzingatia msingi uliopo katika katiba pendekezwa ili kupisha shari: Kwa kuzingatia msingi huo...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

    Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya Katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru. Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar...
  3. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukimuachia Mbowe huru Watakukejeli

    Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilia hii kesi ya inayomkabili Mbowe,kwa namna ushahidi unavyotolewa na mwendendo mzima wa kesi yenyewe,ni wazi ushahidi umenyooka mno na inaonekana sio ya kuchonga kama wanaharakati,wanasiasa na vyomba vya habari vyenye mrengo ule wadai. Niseme tu ,kama Rais...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Darasa huru: fungua website / tovuti yoyote iliyofungiwa, ni njia rahisi ya moja kwa moja.

    Leo natoa somo kwa jamii ya watu wanapatwa na changamoto ya kutumia websites zilizofungwa, hususan kundi lile la watu wanaosafiri nje ya nchi na kukumbana na tatizo la kushindwa kufunguawebsites muhimu zilizofungwa na nchi hio...... - Download Opera browser - Ingia kwenye menu - Ingia...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    "Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda Hii inatoka...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kufungua website yoyote iliyozuiwa kwa kutumia kivinjari cha opera

    Ukisafiri baadhi ya nchi, website za muhimu kama za dini huwa zimefungiwa. kuna browser inyoitwa opera, hii ni browser kama ilivyo kwa google chrome, lakini imeboreshwa zaidi kwa kuwekewa ndani yake feature ya vpn, huna haja ya kudownload vpn, ukiwa na opera ushamaliza mchezo. 1. ingia...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mbowe asisamehewe, ila sheria iachwe ifanye kazi huru. Mnapotaka aachiwe huru mnazingatia nini?Tufahamu Ukweli ni Upi

    watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe mwanaharamu apite. unaposema asamehewe unatakiwa kujiuliza wa kosa gani? aachiwe huru kwa vigezo gani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, Bila Kanisa Katoliki Tanzania isingekuwa huru tarehe 09|12|1961?

    == Siweki neno sikiliza hii mpaka mwisho||
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Januari 2022 ni mwendo mdundo -Tume huru ,mkiguna Tunaguruma na katiba Mpya

    Viongozi mliopo serikalini mkae mkijua,kuwa linaloanza kutoa mvuke karibu litashika kasi,kinachohitajika ni tume huru ya Uchaguzi ,na hili halina mswalie Mtume,Hii kero imeshapevuka na sasa kama ni jipu linakaribia kupasuka. Na Mliopo madarakani msiingizwe mkenge na CCM,nikimaanisha CCM kama...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania China: UN yaitaka China kumwachia huru Raia aliyefungwa kwa kuhoji namna Mamlaka zinavyoshughulikia Covid-19

    Umoja wa Mataifa umetoa rai kwa China kumwachia huru Zhang Zhan (38) ambaye alihukumiwa kifungo baada ya kuhoji namna Mamlaka zinavyoshughulikia mlipuko wa COVID19. Zhang alisafiri kwenda Wuhan Februari 2020 ambapo aliripoti kuhusu janga la Corona kupitia simu yake ya mkononi. Alikamatwa Mwezi...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama imewaachia huru Gugai na wenzake

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Godfrey Gugai na wenzake wawili baada ya mahakama hiyo kushindwa kuthibitisha mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili. Gugai na wenzake walikuwa wanakabiliwa na makosa 40, makosa...
  12. MUSIGAJI

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama. ======= Aliyekuwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

    Hivi upinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde tu | Je! ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa tume gani ya Uchaguzi? Hongera Rais Samia kwa kusimamia demokrasia nchini "Hakuna kama Samia " Upinzani wa nchi hii umekuwa ukipoteza sifa ( credibility ) siku baada ya siku...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Acha niseme ukweli ili nipate kuwa huru

    Ilikua mwaka 2017 nilipata kazi sehem flan kufika nikakutana na kaka mmoja mpole Sana asie na makuu alikua akisifika ofic nzima kwa hekima zake. Nilitokea kumpenda Sana Sana nikajisogeza karibu kiurafiki tukawa friends tunapiga story nikaja gundua yupo single mtoto nikajitongozesha tukawa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la kumaliza mvutano wa muundo wa tume huru ya uchaguzi-CCM, CHADEMA na ACT Wazalendo zingatieni sana

    "Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu" Mithali 18:18 Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani. Mara zote hizi lawama...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya muamuzi katika mashindano!

    "Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu" Mithali 18:18 Mara nyingi kumekuwa na kawaida kwa vyama vikuu vya pinzani na Chama kinachotawala kuvutana na kutokukubaliana kabla au baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa, iwe Tanzania bara au Tanzania visiwani. Mara zote hizi lawama...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ushindani huru kwa walimu wa serikalini

    Kulingana na ongezeko la walimu wengi kuwepo mtaani serikali ingechukua hatua stahiki katika kuendeleza sekta ya elimu hapa nchini. Kwa kuja na mikakati Bora zaidi ya kukuza sekta hiyo hii inatokana uzembe uliopo kwa baadhi ya wa walimu hasahasa shule za sekondari. Kwani imekua Kama mazoea...
  19. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mabadiliko ya tume huru yanayo pendekezwa na wana CHADEMA. Je, unakubaliana nao?

    Wanabodi, Siku mbili zilizo pita, wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) walifanya kongamano jijini Dar Es Salaam katika shughuli zao za kudai tume huru ya uchaguzi. Katika kongamano hilo, wanawake hawa walipewa majukumu ya kudai tume huru huku wanaume wakipewa majukumu ya kudai katiba mpya na wazee...
  20. Mulokozi GG

    JamiiForums Tanzania SoC01 Je, muda ni nini, na jinsi mtu anavyo weza kuwa huru na muda

    Kwenye uzi huu wa mabadiliko nimetumia njia tofauti kidogo, kwani uzi huu hauja lenga kuibadilisha jamii moja kwa moja bali umelenga kubadisha au kuboresha kiunzi cha jamii(wewe msomaji), ili kiunzi cha jamii ndicho kiibadilishe jamii. Kwani moja ya zawadi na kazi kubwa mtu anayoweza kuifanya...
Back
Top Bottom