huru

The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Rwanda: Wanahabari watatu waachiliwa huru baada ya kuzuiliwa jela kwa miaka minne

    Mahakama moja nchini Rwanda Jumatano imewaachilia huru waandishi wa habari watatu ambao walikuwa wanazuiliwa jela kwa miaka minne kwa madai ya kueneza habari za uongo, kesi ambayo ilitajwa na makundi ya kutetea haki za binadamu kama uzushi. Wanahabari hao watatu, Damascene Mutuyimana, Shadrack...
  2. NetMaster

    Kwanini Watanzania wengi hatupo huru kuonyesha hisia zetu hadharani?

    Ni kama vile hisia zetu zimefungwa gerezani kwasababu ya hadhara, na pake mtu anapokuwa huru kuonyesha hisia zake maswali yanaanza kwamba ni kichaa ama kalewa. - Muziki unapigwa unaoupenda lakini unajizuia kuufatisha au kucheza huku miguu imedinda inataka kuruka ruka. -Kitu kimekuchekesha...
  3. Sildenafil Citrate

    Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura

    Mgombea uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, Rosemary Linda ameomba kuwe na tume uhuru ya kuhesabu kura ili kuondoa dhana ya kuibiwa kura. Rozimele ametoa kauli hiyo leo Jumamosi, Septemba 24, 2022 mara baada ya kujitambulisha kama...
  4. B

    CCM anapotaka Tume Huru si Bure

    Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema? Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo. Aliyajua jiwe. Anayajua Samia. Anajua Majaliwa. Anajua Mukandara na hata Dkt. Mahera. Mengine ni manjonjo...
  5. Suzy Elias

    Padre Kitima: Uchaguzi wa Tanzania hauna sifa ya huru

    Katibu wa balaza la Maaskofu TEC bwana Padre Kitima amehoji ni kwa sababu zipi uchaguzi wa Tanzania haufanyiki kwa uhuru na haki? Msikilize hapo kuanzia dakika ya nne na kuendelea.
  6. Sildenafil Citrate

    Rais Samia akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa eneo huru la Biashara la Afrika (AfCFTA), 12-9-2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Kongamano la Wanawake na Vijana wa Eneo Huru la Biashara la Afrika ( AfCFTA) katika Ukumbi wa JNICC - Dares Salaam, tarehe 12 Septemba, 2022
  7. BARD AI

    Kikwete: Sera zinazowanyima watu uhuru ni hatari kwa usalama wa nchi

    Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi. Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo...
  8. Lady Whistledown

    Washirika wa Sabaya wafutiwa Shtaka la Uhujumu Uchumi kwa makubaliano na DPP, waachiwa huru

    Katika Gereza Kuu la Karanga Moshi, washtakiwa hao wamesota mahabusu kwa siku 95 na katika Gereza la Kisongo lililoko mkoani Arusha, walikaa kwa siku 363. Walioachiwa huru baada ya kuingia makubaliano (Plea Bargaining) na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), ni mshtakiwa wa pili, Sylvester...
  9. MANKA MUSA

    Ukweli utakuweka huru Rais Samia

    Bible says “You will know the truth and truth will set you free” Rais Samia Suluhu Hassan ni mcha Mungu ameyasoma haya maneno na kuyashika ndiyo maana alikuwa Mkweli na muwazi kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta alituleza ukweli uliotuumiza, Rais Samia ameusimamia ukweli ambao tulitaka tuufiche...
  10. BARD AI

    Bosi wa zamani RAHCO akutwa na kesi ya kujibu, wenzake waachiwa huru

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (Rahco), Benhardard Tito. Tito amekutwa na kesi ya kujibu baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wao wa mashahidi tisa...
  11. U

    Kufanya uchaguzi 2025 bila tume huru ni ufisadi

    Habari ndugu wadau.Tangu mwaka 1995 tumekuwa tunafanya uchaguzi hewa na kutumia fedha kiasi kikubwa wakati tuna matatizo ya kumwaga. Sasa naomba tukubaliane kama hatuko tayari kupata katiba mpya na tume huru tusifanye uchaguzi kuwafurahisha wazungu.Tutumie fedha za uchaguzi kutatua changamoto...
  12. O

    Russia iwe funzo kwa ulimwengu wa sasa, Mabunge yawe Huru

    Kwa mtu yoyote asiyehusika moja kwa moja na hii vita lazima atakuwa ana upande wake wa kushabikia. Ila jambo moja la wazi na pasi na shaka hii vita imekwamisha ustawi wa Uchumi wa Dunia nzima na kuhatarisha usalama wa kila Binadamu. Hadi sasa ukiangalia taarifa za Urusi kila siku wanatoa...
  13. Mganguzi

    Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Uchaguzi ukiisha mnahamia mahakamani ,badala ya kuendelea na majukumu mengine nchi inabaki inahangaika na makesi ya kipumbavu mahakamani..ushahidi unapelekwa na malori ..Kwa hapa kwetu hakuna mpinzani anaeweza kukubali ameshindwa hata kama ni kweli kashindwa! Ni upumbavu Rais mpya kapatikana...
  14. Lady Whistledown

    Update: Watawa waliotekwa Nchini Nigeria waachiwa huru

    Watu wenye Silaha wamewaachilia huru "bila kujeruhiwa", Watawa 4 wa Kikatoliki waliotekwa nyara mapema wiki hii katika jimbo la Imo Kusini-Mashariki mwa Nigeria. Msemaji wa Polisi katika eneo hakuweka wazi iwapo kuna malipo yalifanywa kwa Watekaji ili kuwaachia huru Watawa hao. --- Nigerian...
  15. MSAGA SUMU

    Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

    Wendi Mrema, yule mwanadada toka Moshi aliyetuhumiwa kumuua mama yake naye Kaachiwa huru. Taarifa zaidi inafuata. ----- Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi. Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19...
  16. Lady Whistledown

    India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

    Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
  17. JanguKamaJangu

    Lebanon: Jaji aamuru aliyevamia benki akiwa na bunduki aachiwe huru bila masharti

    Jaji Nchini Lebanon ameamuru Bassam al-Sheikh Hussein (42) ambaye alikamatwa na kuweka kizuizini kutokana na kuvamia benki akiwa na bunduki akitaka apewe fedha zake, aameachiwa huru bila masharti. Hussein alivamia Benki ya FBL Jijini Beirut akitaka apewe Dola 35,000 (Tsh. Milioni 81) kati ya...
  18. R

    Fikra huru kaa la moto kwa jamii?

    Fikra huru, kuwa na mawazo yako kuhusu mambo mbalimbali hasa kwenye mambo ya dini na siasa na sio kukubali tu kama vilivyowekwa, kuzoeleka au kufundishwa. Kuwa na fikra huru kumewaletea matatizo watu hawa kwasababu tu wamekuwa tofauti na vilivyokuwa na mizizi na kuzoeleka. Baruch De Spinoza...
  19. comte

    Tume Huru ya Uchaguzi imemebaki Tume ya Uchaguzi ya Tanzania

    Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi
  20. Mbaga Jr

    Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
Back
Top Bottom