Uganda: Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa kwa kuandamana, waachiwa huru

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,609
Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa Jijini Jinja wakisherehekea ushindi wa klabu hiyo dhidi ya #ManchesterUnited katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza Januari 22, 2023 wameachiliwa huru

Mashabiki hao waliokuwa wamebeba Kombe la 'Mfano' walikamatwa baada ya Polisi kudai kuwa hawakuwa na kibali cha kufanya Maandamano hayo ambayo ni ukiukwaji wa Sheria za Umma

Aidha, Mmoja wa Mashabiki hao aliwaambia Waandishi wa Habari kwamba wangeomba ruhusa ya kusherehekea katika Uwanja wa Bugembe wenye uwezo wa kuchukua watu 81,044 ikiwa Arsenal itashinda EPL
........

Some eight Arsenal fans who were arrested in the Ugandan city of Jinja after celebrating the club's win against Manchester United in the English Premier League have been released.

They were wearing the club's red jersey and carrying a symbolic trophy during their arrest on Monday.

Police said they didn't have a permit to hold the procession which is a public order offence.

But on Tuesday a joint security team agreed to free them with a caution, said James Mubi, the regional police spokesman.

One of the fans told journalists that they would "seek for permission [to celebrate] if Arsenal wins the premier league".

"We shall have the celebrations in Bugembe stadium," the self-proclaimed ambassador of Arsenal in Uganda added.

Source; BBC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom