humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Huu ni ukurasa wa Humphrey Polepole kwenye mtandao wa X

  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Maswali mepesi na muhimu kwa Humphrey Polepole kuhusiana na 'kifo' kwa Magufuli

    Kwa wengi waliofuatilia video za Hamphrey Polepole, watakubaliana nami kuwa kuna mambo mengi anayojua kuhusiana na kuhujumiwa kwa taifa letu. Mojawapo ni madai kuwa wana mtandao hatari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) walihusika kifo cha rais John Magufuli ambaye kifo chake cha ghafla bado...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Haruna atoa onyo kwa Humphrey Polepole kuhusu kauli zinazomchafua Rais Kikwete

    Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa CCM Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli ambazo amedai zinalenga kuchafua viongozi akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wateule wote wa Hayati Magufuli walikuwa wanafiki kasoro Humphrey Polepole

    Hilo halina ubishi, mimi mwenyewe niliishi naye kinafiki, hata huyu wasasa naishi naye kinafiki cha msingi msimwambie sawa jamani? Ila Rais mzalendo alikuwa JPM tu, nasema uongo ndugu zangu? Shida yake ni 1 tu, aliteua mafisi yote na mwadamu 1.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Popote ulipo, naomba jibu la swali hili ukija kwenye press ya tarehe 3/9/2025 kama ulivyoahidi

    1. Kama ulivyosema, UONGOZI/viongozi wanachaguliwa/ wanatafutwa na mtu hatafuti uongozi. 2. Sasa kama uongozi unatafutwa na chama na siyo individual, na wewe ni mmoja wa senior members wa CCM na ulishiriki katika mchakato wa kumpata Mgombea Mwenza, kweli mlikubaliana kuwa huyu mama anaweza...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Key Components of EPC+F

    Haya mabo si vibaya kuyaelewa kidogo: C&P from Google EPC+F, or Engineering, Procurement, Construction, and Finance, is a project contracting arrangement where the contractor is responsible for all phases of a project, including securing the necessary financing, in addition to designing...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Humphrey Polepole hana jipya wajue

    Japo wengi hawaoni lolote jipya kwenya madai ya Humphrey Polepole, mie naona yapo mengi. Give the dirty his due. Polepole, ajue asijue, akusudie asikusudie, akiri asikiri, ana mapya mengi anayo. Huyu Mwanasheria wa ACT ni chawa anayedandia. Hebu tufikiri pamoja. Hapa jipya siyo kile alichosema...
  8. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Na wewe umechanganyikiwa au tusikilizie kidogo..?

    Sindano inachoma lakini ndo tunajifunza na ukiona mtu analalamika maisha magumu we mpige Kofi tu na oktoba tunatiki🤣🤣🤣
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Naishukuru JamiiForums kwa kuwa msaada kwa Serikali katika kutatua changamoto

    Humphrey Polepole amesema JamiiForums walianza kukusanya kero za wananchi kidigitali, na hapa kweli nawashukuru wananchi na JamiiForums kwa kuwa msaada kwa serikali katika kutatua changamoto kidigitali. Ambapo mbali na kuishukuru kaichana serikali kutoshughulikia kero zinazokuwa zimeibuliwa na...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Polepole: Angela Kizigha alituhumiwa kwa ufisadi sare za Polisi, sasa hivi yupo ofisi binafsi ya Rais

  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yamjibu Polepole madai ya kutumika na CCM

    Naibu Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Dorice Nicholaus Mpatili amesema chama hicho hakina uhusiano wa kimuundo na Chama cha Mapinduzi (CCM), badala yake kimebaki kuwa chama cha upinzani chenye msimamo wa kusimamia kile alichokiita kuwa ni...
  12. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Miongoni mwa atakayozungumza: 1. Biashara za Rostam Aziz 2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam 3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki 4. Wezi wanakoficha pesa 5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini 6...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi

    Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi na nitakwambia ukweli, ndio maana nilipojiuzulu nilisema wacha kwanza mama asitumie pesa yake anayowasimamia Watanzania kunilipa mimi wakati ni namkosa wakati nina muheshimu nikajiuzulu
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Rostam Aziz ameuziwa mgodi wa makaa ya mawe kwa Bilioni 5 kipindi rais samia

    Nashindwa hata kuendelea kuandika lolote katika hili. Kweli kabisa, Mgodi wenye Uhai wa miaka karibu 400, unauza Asilimia 70 yake Kwa Bilioni 5??. Alafu kumbe hata hiyo Bilion Tano hajalipa yote, kalipa Bilioni 2, na bado Serikali hailipwi chochote tangu Uchimbaji wake . INATIA HASIRA .. hivi...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

    Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa Mining walinunua hisa katika Mgodi wa Mwadui. Mwishoni mwa 2024 na mapema 2025, Kampuni yake ya Pink Diamonds ilinunua hisa toka Petra Diamonds katika Mgodi wa Williamson Diamond Mine (Mwadui) na kuifanya kampuni ya Taifa Mining kumiliki hisa asilimia...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Namchukia sana Balozi Humphrey Polepole. Ananigombanisha na Chama sana

    Nimekosa imani kwa Chama Cha Mapinduzi. Naona kimejaa majambazi, wahuni na malaya wa kiitikadi. Namchukia sana Kikwete na genge lake la Wahuni akina Rostam kwa mujibu wa Polepole. Sipendi kuwachukia watu hawa. Napaswa niendelee kuwachukulia kama ni role models wangu. Kuwa ni watu wanaotumia...
  17. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kauli za Bashiru na Tulia kuwa CCM itatumia dola kubaki madarakani zimefafanuliwa na Humphrey Polepole

    Great Thinkers. Leo tunashuhudia Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA akishtakiwa kwa kosa asilotenda la Uhaini. Sote yaani sisi raia na mpaka wanaomshtaki wanajua Lisu hajatenda wala kuthubutu kuwa mhaini. Bila kuzunguka sana, naenda kwenye hoja yangu. Kwa nyakati tofauti, viongozi waandamizi wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?

    "Nimefanya ka research kidogo, kuongea na manguli kadhaa wa kadhaa pia kuchukua wasaa kujiridhisha." Yafuatayo ni Yatokanayo: Ashukuriwe mwana halisi wa nchi hii Humphrey bin Polepole aliyeutambua u Tanzania wake kama thawabu kubwa zaidi mno, dhidi ya uchawa na uchama. Kasema Polepole mifumo...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

    Wanabodi Nimemsikiliza HP mwanzo mwisho, hoja zake ni za ukweli na za msingi sana kuhusu kiini macho cha uchauzi wa Tanzania. Ushauri wake watu wasijitokeze kupiga kura mpaka kwanza upatikane muafaka wa kitaifa, ni ushauri tenge kama ulivyo uwanja tenge wa uchaguzi, it's a bit too little too...
Back
Top Bottom