humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Rais Samia, wananchi hawakukubali, na wanahisi unawakosea sana, makosa unafanya wewe hasara wanabeba CCM

    Polepole: Wananchi awakukubali, na wanahisi unawakosea sana, makosa unafanya wewe hasara wanabeba CCM na wahanga ni Tanzania nzima Nikusihi usirudie tena kuwatisha waTanzania kwa dhamana waliyokupa.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Humphrey Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025

    Mtaa wa Kajificheni Mazungumzo ya Ndg. Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025 https://m.youtube.com/watch?v=DdrvgHstRPw
  3. Chamoto

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Tarehe 29 sitaonekana kwenye kituo chochote cha kupiga kura kwa sababu hakuna Uchaguzi ni kiini macho

    Anaandika Humphrey Polepole kupitia ukurasa wake wa Instagram: "Ukiona ukiwasikiliza ndani ya moyo wako hawakupi amani ya moyo, ukiona wanatumia nguvu kubwa kukushawishi hata kwa mambo ya kawaida na bado unahisi na kuona kutokuwaamini, ukiona wakitajwa unahofia usalama wako, ukiona hauwezi...
  4. covid 19

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole: Kuna siku kidogo tuzichape Ikulu

    Aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini cuba amesema kuna siku ilibaki kidogo tu wachamane au wapigane ikulu kutokana na hali ya uzembe ya baadhi ya watumishi wenzake. My take: kama hadi watumishi yaani viongozi wanataka kuchapana ngumi ikulu hapohapo basi Rais wetu anadharauriwa sana sana na hawa...
  5. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Polepole kuleta mashahidi wa Siri, ni kuthibitisha kikundi kinachoteka watu-Tanzania

    Ukweli mchungu CCM na Samia wanaumia mno yaani mnoo juu ya madai yanayoibuliwa na Hamphley Polepole. Machawa wanataka kutuaminisha kuwa Polepole kapuuzwa,ila ukweli Serikali inatamani imdake ata Leo. Jana Polepole katoa madai kuwa Mtoto wa Rais ,bwana Abdul, ana genge la kuteka watu, na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Nilivamiwa na Majambazi 15 wenye Silaha, niliposali Sala fupi wakaondoka

  7. PAYE

    JamiiForums Tanzania Polepole: Polisi walisema Mzee Mangula alilishwa sumu, waulizwe uchunguzi uliishia wapi?

    Humphrey Polepole ameibua tena sakata la kupewa Sumu kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philip Mangula ambapo amemtaka aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam wakati huo, Lazaro Mambosasa kueleza umma nani alifanya tukio hilo. Amesema matukio ya Viongozi kudhurika yaliwahi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole: Polisi mtafuteni Sativa, ni mhanga wa utekaji, chukueni maelezo bila kumtisha

  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole: Polisi mjitafakari, imani ya Wananchi kwenu inazidi kuondoka kwa namna mnavyowajibika kwao

    Humphrey Polepole ameushauri uongozi wa Jeshi la Polisi kutazama upya mwenendo wake, akibainisha kuwa uaminifu wa wananchi kwa jeshi hilo unazidi kudhoofika kadri siku zinavyosonga. Ameeleza kuwa hali ya wananchi kupuuza maagizo ya polisi na hata kuingia kwenye migongano ya wazi nao ni ishara...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Niliambiwa Rais Samia ameagiza nifukuzwe kazi nikiwa Cuba na mafao yangu yote nisipewe

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Balozi aliyejiuzulu, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao, Septemba 18, 2025, amesema amesikia kuhusu kuitwa na Jeshi la Polisi lakini bado kuna tatizo Serikalini kwa sababu walipaswa kuihoji Serikali kwanini haijanirejesha nchini baada ya mimi...
  11. Heparin

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Leo Septemba 18, 2025 nitajibu barua ya wito wa Polisi, unganeni nami kupambana na wahuni

    Ndugu zangu leo 18 Septemba 2025 muda wowote kutoka sasa tunapanda hewani mjulishe na mwenzio. Niko na majibu ya waraka wa Jeshi la Polisi na mengine yahusianayo! NB: Naomba Jeshi la Polisi muungane nami wakati wowote kutoka sasa kazi ya kupambana na wahuni na genge la Mtandao ni yetu sote!
  12. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Je, Polepole yupo salama post aliyoiachia Mohamed Kawaida huko mtandaoni inatia mashaka huku wengine wakisema done

    Kwa siasa za Tanzania na mambo ambayo amekuwa akiyatolea taarifa polepole kwa nyakati tofauti tofauti lazima kuwepo kwa mashaka makubwa. kwani huyu mtu amekuwa akilalamika kutafutwa kwa lengo la kumdhuru mara nyingi na watu ambao binafisi yeye hakusema ni vyombo vya dola, post kama ya mohamed...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nimeanza kumuelewa Humphrey Polepole

    Mdogo wangu mwenye akili nyingi Ndg Humphrey Polepole hongera sana. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wanashirikiana na watawala haramu kuifisadi nchi Uchaguzi Mkuu 2025 ni haramu na batili CCM inakataliwa na wananchi. Vyombo vya dola vinatumika kama majeshi binafsi ya wataeala Kikwete ni...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Ni aibu kubwa Rais kuwa mtuhumiwa yeye, familia yake, wasaidizi wake. Unajisikiaje amani?

    Ni aibu kubwa Rais kuwa mtuhumiwa, familia yake, wasaidizi wake, unajisikiaje amani ukiwa umezungukwa na watuhumiwa wa uhalifu, na umezungukwa na watendaji waandamizi, wanaishi maisha ya kufuja mali za umma nje ya kipato chao, aikubaliki ni aibu kwa taifa la Tanzania kwamba biashara inafanyika...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Ali karume amvaa Humphrey Polepole

    Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY Mheshimiwa Polepole ni mwanasiasa shughuli ya ubalozi hakuwa anaufahamu kuielewa wala hakutaka kujifunza ndo maana tunaona haya yaliyotokea, balozi Karume anapigilia msumari harakati za Polepole Ali...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole popote ulipo, nakuomba fanya hivi

    Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole asikitishwa na JamiiForums kufungiwa, TCRA mngemkanya Wicknell Chivayo

    Balozi aliyejiuzulu na Katibu wa zamani wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amesema kitendo cha TCRA kufungia Majukwaa ya JamiiForums wakati nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 ni Udikteta, Unyanyasaji na Uvunjifu wa Uhuru wa kupata Taarifa. Polepole ameongeza kuwa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deo Sanga: Polepole amechanganyikiwa

    Mwenyekiti wa CCM mkoani Njombe, Deo Sanga amesema Humphrey Polepole amechanganyikiwa kutokana na utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu ambao hakuutegemea. Akiongea leo Septemba 05, 2025, mjini Njombe, katika kampeni za mgombea wa Urais wa CCM, aliyekuwa Mbunge wa Makambako, Deo Sanga, amemkosoa...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Humphrey Polepole ameandika ujumbe huu akiimuunga mkono Rais Samia

  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole awashangaa viongozi wa CCM kutangaza maridhiano baada ya uchaguzi: 'Turidhiane sasa'

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao usiku wa Septemba 3, 2025, amesema, "Turidhiane sasa, na Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atasimama imara kusema turidhiane sasa na siyo baadaye. Watakaoridhiana baadaye na matendo...
Back
Top Bottom