Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake.
Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo.
Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
Hii ni post yangu ya ku -appreciate movement zako unazofanya kuhusu taifa letu.
Polepole anaipenda Tanzania.
Polepole anaipigania Tanzania.
Polepole sio mwizi.
Polepole sio mroho wa madaraka.
Polepole ana nia njema na ya dhati kwa Tanzania.
Nilipoona damu yako inachuruzika kwa ajili ya...
Aloooo,
Kama ulikuwa hujali wala huumizwi na matukio ya utekaji, na kuona hayajuhusu nadhani hilo limebadilika kuanzia jana.
Nimepita mtandaoni maoni yanafanana, watu tumeshindwa kulala, usingizi unakuja wa mang'amung'amu, moyo unauma kama vile aliyetekwa ni mtu wako wa karibu.
Unajikuta...
gen z kuandamana
humphreypolepolehumphreypolepole atekwa
polepole atekwa na mafwele
uchaguzi 2025
ukatili wa polisi
utekaji tanzania
watu wasiojulikana
Kweli dunia tambara bovu na siasa ni mchezo mchafu sana. Nani alijua Polepole angeishia alipoishia. Huyu kamaliza bado Gwajima. Mwaka huu MaCCM mtamalizana. Halo halo, vita ya kunguru neema ya panzi wahenga walisema. Nadhani Tundu Lissu na familia za wahanga wa MaCCM hawana cha kuonea huruma...
Kama Humphrey Hezron Polepole atafanikiwa kuonana akina Ben Saanane na Mdude Nyagali naomba awambie yafuatayo;
Mosi, kabla hujafa hujaumbika.
Pili, mambo yanabadilika.
Tatu, aliyeko juu mngoje chini au mpandie.
Nne, aishie kwa upanga, atakufa kwa upanga.
Tano, atekaji unaendelea.
Sita...
Najua wengi wanafuatilia tukio chafu na la hovyo la kutekwa Humphrey Polepole mwanaCCM kindakindaki aliyeibuliwa na Magufuli.
Hata hivyo, kuna mambo ya kujiuliza. Je, ni kweli kuwa Polepole alikuwa akiishi Tanzania tangu alipojiuzulu ubalozi? Je, licha ya kuwa zoba, alijiamini nini wakati...
Hamjambo!
Leo nipo kwenye kioo najitazama kweli dunia iko kasi. Leo mimi wakuitwa Babu. Kweli! Ni juzi tuu hapa nimezaliwa. Juzi tuu. Mambo yameenda prepre pre!
Je Polepole atabageini ama atafika bei baada ya kichapo cha kumfunza adabu. Au ataamua kufa na kipande cha mfupa kooni?
Linda nchi...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha.
Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo...
Picha za Chumba ambapo Polepole alikuwa akirekodia na kuzungumza LIVE na Watanzania, akionekana na Ile Black Screen nyuma.
Soma:
Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele
Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
"Watu wanatekwa watu wanauawa, watu wanaporwa mali zao kikundi cha watu wachache sana kinajenga ukwasi na utajiri mkubwa na wingi wa fedha kutoka katika vyanzo visivyojulikana ndio wamejaa mjini, mimi naunga mkono matajiri waongezeke lakini kwa njia halali" Aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania...
Polepole Septemba 30, 2025 aliendelea kusisitiza kuwa uteuzi wa Dkt. Nchimbi kama mgombea mwenza wa Rais Samia, ulikumbwa na kashikashi ambazo zilipelekea kutaka kumtoa. Lakini wale anaowaita CCM mtandao walimtisha mama Samia kuwa hatakiwi kumtoa Emmanueli Nchimbi.
Polepole anasisitiza kuwa...
Akizungumza kwa njia ya mtandao Septemba 30, 2025, Humphrey Polepole alithibitisha kuwa yupo nchini Tanzania, lakini hatoonekana kwenye kituo chochote cha kupiga Kura, akisisitiza kuwa hakuna uchaguzi bila muafaka wa kitaifa kwanza.
Augustino Polepole, ambaye ni kaka yake Humphrey Polepole, amethibitisha kuwa ndugu yake ametekwa na kumtaja afisa wa polisi aitwaye Mafwele, ZCO wa Jeshi la Polisi Tanzania, kuwa anahusishwa na tukio hilo usiku wa kuamkia leo Oktoba 6, 2025.
Aidha, Agustino ameeleza kuwa mdogo wake ana kifaa...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange ameandika....
"Hi guys nimetumiwa hii ni mtu ana insist ni ndugu yake na Polepole. I don’t know what to think, Mimi nilidhani Polepole hayuko TZ. I’m posting ili Polepole mwenyewe ku confirm kama yuko Okay, Ila mimi kama sijui niipe uzito gani hii...
Wote Mrema na Polepole walijiuzulu kutoka nafasi zao za juu ndani ya chama na serikali.
Wote baada ya kujiuzulu nafasi zao ndani ya chama na serikali wakawa wakosoaji wakuu wa chama na serikali hiyo hiyo waliyokuwa wanafanya kazi awali.
Wote Mrema na Polepole wakateka hisia za wananchi wanyonge...
Wakuu leo kwenye pitapita zangu huko nikakutana na video ya Bwana Polepole kipindi hiko akiwa anapambani katiba mpya mwaka 2014.
Wakati akizungumza alisema kuwa wakati wanakusanya maoni ya katiba mpya aliambiwa kuwa Polisi wana shida nyingi sana, hali zao za kimaisha si nzuri sana.
"Polisi...
Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi.
Huwezi kuahidi wananchi kuwa...
Majibu yangu kwa jamaa yangu wa Idarani na nitumie fursa hii kuwajibu wote wenye mashaka mashaka juu ya dhamira yetu ya kuikomboa hatima ya nchi yetu ambayo iko kwenye giza nene muda huu, bado muda kidogo na kama Mungu aishivyo haki itatamalaki katika nchi yetu, niwatie moyo siku hiyo inakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.