humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea sasa hivi nchini ni hatari kwa uhai wa chama kilichopo madarakani na baadhi ya viongozi waliopo Serikalini

    Habari zenu ndugu zang watanzania mliopo humu. Ndugu zang nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana yanayoendelea nchini, hasa kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoelekezwa kwa aliyekuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati John P Magufuli. Najua na inajulikana wazi tu kwamba tokea...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole uliwalaghai Wananchi kuichagua CCM?

    Ndugu wana Jf nyote ni mashahidi namna ndugu Humphrey Polepole alivyozunguka hii nchi na rais JPM kunadi na kuuza porojo kuwa kwa awamu ya tano ilani ya Ccm imetekelezwa kwa kasi na kwenye sekta ya viwanda viwanda zaidi ya 8477 vimejengwa kwenye mikoa 26 ya Tanzania. Nimeshangazwa na kauli ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu Kwa Umma: Usikose Kufuatilia Kipindi Maalumu Cha PapoKwaPapo Kinachoongozwa Na Kamarada Humphrey Polepole Saa 3 Usiku Huu

    Mpigie kamarada atakuwa live kutatua kero za Watanzania bila kujali itikadi zao za Kisiasa Usisahau kumtaarifu mwenzako Tuna Jambo Letu
  4. U

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wasaidizi Maalumu wa Kamarada Humphrey Polepole

    Yeye mwenyewe hupenda kuwaita paracetamol Ni wachapa kazi kwelikweli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa TAMISEMI na Serikali kwa ujumla

    Baada ya Mchakato wa Ajira kukamilika na Majina kutoka Sasa kumekuwa na lawama nyingi Sana kwenda Kwa Tamisemi. Mimi nilikuwa na Ushauri Kama ufuatao.... 1. Kuna ulazima Gani wa watu kwenda Kuripoti ilhali lawama zimekuwa nyingi na Watu wamekosa Imani kabisa na Serikali yetu ya CCM Kupitia...
  6. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulida. Asema Bunge linawatambua Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofutiwa uanachama CHADEMA

    Spika wa Bunge Job Ndugai leo November 30,2020 atawaapisha Wabunge wawili walioteuliwa na Rais Magufuli, Wabunge hao ni Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM na Riziki Said aliyekuwa Mbunge Viti Maalum katika Bunge la 11 kupitia CUF. Shughuli za uapisho zitafanyika...
  7. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  8. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bw...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Natoa rai kwa vyama vya siasa kuheshimu nafasi wanazopewa Wanawake

  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

    Leo kutoka ofisi za chama cha mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam, Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi, Humphrey Polepole anaongea kuhusu mambo yaliyojadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu kilichoketi jana mjini Dodoma, kuwa nami.. ======= Polepole: Sisi kama chama mapinduzi tunawaahidi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Kamarada Humphrey Polepole kuzungumza na Vyombo Vya Habari kesho Ijumaa Novemba 20, 2020

    Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam Tafadhali usikose Tafadhali mjulishe Mwenzako Tuna Jambo Letu
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Si Magufuli, si Humphrey Polepole waliojaribu hata ku-tweet kushukuru wapiga kura au kusherehekea ushindi mpaka sasa

    Kama nilivyosema katika uzi wangu wa asubuhi ya leo,mpaka muda huu viongozi hawa wako kimya kabisa licha ya Magufuli kutangazwa mshindi wa kitu cha urais. Inawezekana chama kinajiandaa kutoa tamko rasmi wakati wowote ule, ila bado nilitarajia kutokana na furaha ya ushindi, mmoja wa viongozi...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa viongozi/wanasiasa wa juu

    Siasa zenye tija na manufaa kwa nchi yetu. Vyama vyote vya siasa vyenye nia njema na watu wa Nchi hii ni muda muafaka kutembelea maeneo ya vijijini na vitongojini ili kujionea hali ya maendeleo, bado changamoto ni kubwa sana tena kwenye yale mambo ya msingi kabisa hasa Maji, Umeme, Afya, Elimu...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa mjifunze kufanya kazi na wenye itikadi nyingine kwa lengo la kuleta maendeleo

    Mwaka 1992 Tanzania ilitangaza kuwa ni nchi ya vyama vingi. 2020 bado kuna viongozi wanao simama majukwaani na kusema mkichagua upinzani hatuleti maendeleo. Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kuwaongoza wale anao wajibika nao kisheria katika mamlaka yake. Kiongozi anaefuata kanuni za haki bila...
  15. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Dkt. Magufuli ataendelea na mikutano ya kampeni katika mikoa 6. Mama Samia ataelekea Zanzibar

    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Kamarada Humphrey Polepole leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 atazungumza na Vyombo Vya Habari. --- Mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli Oktoba 19, 2020 ataendelea na mikutano ya kampeni katika mikoa sita akianzia Pwani na kumalizia mkoani Dodoma Oktoba 26, 2020...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nukuu za Ndugu Humphrey Polepole Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Makongo Juu - Kinondoni

    NUKUU ZA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA HALMASHAURI KUU, ITIKADI NA UENEZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA KATA YA MAKONGO JUU - KINONDONI 11 Oktoba 2020 1. "Nataka ndani ya hizi siku 7, mafundi wa Dawasco wawepo hapa kumaliza tatizo la maji, wasipofanya hivyo Chama Cha Mapinduzi tutalala nao...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, kwa kuwa CCM imekataa kutupatia katiba mpya wananchi wanayoitaka, njoo upinzani ili usaidie katiba hiyo ipatikane

    Ndugu Polepole Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora kabisa ya katiba al-maarufu rasimu ya Jaji Warioba. Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Matokeo chanya ya ubunifu wa Humphrey Polepole

    Hongera sana ndugu Humphrey Polepole meneja kampeni wa mgombea urais wa JMT kupitia CCM. Bila hivyo uwanja ungekuwa hivi
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kisiwandui, Zanzibar: Mkutano wa Humphrey Polepole na waandishi wa habari

    Kutoka afisi kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar ndugu katibu mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole anaongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kampeni za wagombea kuanzia ngazi ya Urais mpaka udiwani. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri. ======== Polepole: Kesho October 03 2020 katika Viwanja vya...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi. Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV Up dates; Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
Back
Top Bottom