Mimi niko na wewe ( at least kwa hili, ingawa wakati wa Magufuli hukuonesha uzalendo huu), sasa tunatokaje kwenye mkwamo huu?
My suggestions:
1. Weka page yako ya inbox ambapo unaweza kupata mawazo na mbinu za kwenda mbele....mbinu za vita haziwekwi hadharani
2. Tumia influence ya ubalozi wako to attract International attention. Zitembelee nchi ambazo zitakuunga /zitawaunga mkono Watanzania. Waelezee the real degree of democracy violation situation on the ground in Tanzania
3. Jitoe CCM , anzisha movement yoyote ambayo utawajumuisha wazalendo kutoka CCM ja taasisi zingine na wengine. Pambana ukiwa nje ya CCM. Ukombozi ukipatikana rudi CCM yako. After all the next move ni kukufukuza uanachama wa CCM...this is loading!
4. Usithubutu kuja Tanzania, watakumaliza. Pambana ukiwa nje.
5. Si mbaya uka join hands with Chadema inapobidi kufanya hivyo in certain aspects that need joining forces together ....
6. Lastly badiri mbinu za mapambano, dictators do not heed to words. Actions speak louder than words.
Ni hayo kwa leo.