Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district
Wanabodi
Nimemsikiliza HP mwanzo mwisho, hoja zake ni za ukweli na za msingi sana kuhusu kiini macho cha uchauzi wa Tanzania.
Ushauri wake watu wasijitokeze kupiga kura mpaka kwanza upatikane muafaka wa kitaifa, ni ushauri tenge kama ulivyo uwanja tenge wa uchaguzi, it's a bit too little too...
Wengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu.
Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze unachotaka naamini ccm chini ya mama yetu kipenzi itakupatia ili tule wote. Mambo mengine achana nayo wewe...
Anaandika Humprey Polepole kwenye Mtandao wa Instagram.
Kisa cha wana wa Israeli waliotaka kurudi Misri wakiwa jangwani katika safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Leo Channel 10, TV ya Chama imempa heshima Rostam Aziz kutoa nukuu baada ya taarifa ya habari akinibananga mie, nimeona niwakumbushe...
Bwana Polepole ulichoongea tumekusikia, Ila sisi Watanzania huwa tunasema kuwa maneno matupu hayavunji mfupa!.
Tumeshaona precedent ya watu wasiokubaliana na mwenenendo wa mambo katika vyama vyao ambavyo wao wanaamini katiba za vyama vyao zikivunjwa wakiandika barua rasmi kwa msajili wa vyama...
Agosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye hawaogopi.
"Huku sisi tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao mtu yeyete aliyekuwepo toka zamani...
Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi...
Mimi niko na wewe ( at least kwa hili, ingawa wakati wa Magufuli hukuonesha uzalendo huu), sasa tunatokaje kwenye mkwamo huu?
My suggestions:
1. Weka page yako ya inbox ambapo unaweza kupata mawazo na mbinu za kwenda mbele....mbinu za vita haziwekwi hadharani
2. Tumia influence ya ubalozi wako...
Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mama Samia, kura yako ya urais ungempa nani?
Piga kura ukiwa na akili timamu na bila kushinikizwa na mtu yeyote ili tupate mshindi mapema.
Humphrey Polepole ametoka kuwa statesman; mkuu wa wilaya, mwenezi wa CCM, mbunge, na balozi hadi kuwa mtu wa kuongea kwa kificho na mkimbizi wa nchi yake sasa hivi.
Polepole hana uhakika na usalama wake na sasa amekuwa kama panya anayechungulia kutoka shimoni kwa umakini na wasiwasi mkubwa...
Mtu mwenye ulinzi kama wote anatarajiwe atambe kwenye kumbi za Serena Hotel, idara ya Habari maelezo, au aombe uwanja wa taifa au mwembeYanga Temeke, ateme sumu zake.
Kulikoni huyu anaongea akiwa latrine?
09 Agosti 2025
Mtaa wa Kajificheni
Intaneti
HUMPHREY POLEPOLE AJIBU MAPIGO BAADA YA RAIS SAMIA KUCHUKUA FOMU YA URAIS LEO 09 AGOSTI 2025
https://m.youtube.com/watch?v=u2E3mF2fqQo
Mubashara kwa kustukiza Humphrey Polepole mambo matatu
Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais
Kwa...
Hoja za Humphrey Polepole zimekaa kiweledi na ni hoja halisi zinazotokana na Katiba ya chama chao na Miongozo mbali mbali ya chama hicho.
Polepole ni "muasi" msomi na mtu aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa CCM na mwenye maunganiko "Connections" na watu mbali mbali na watu wenye weledi, stadi...
Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi.
Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
Ndugu Polepole,
Salaam!
Tangu ujihuzuru nafasi ya Balozi huko Cuba umekuwa na mlolongo wa ushauri kwa Rais wa Tanzania na watanzania. Ushauri huo umefuatana na baadhi ya malalamiko ktk maeneo kadhaa, ikiwemo:-
(a). Uchaguzi ndani ya CCM;
(b). Haki za kibinadamu;
(c). Kalenda ya Uchaguzi...
Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram
==
Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok.
Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni...
Katika duru za wazee kuna malalamiko kwamba kwa nini anawataja hadharani wakati walikuwa wakifanya vikao sirini. Wengine wanahisi kwamba Pole pole ametumwa kuwafitinisha baada ya kuwaingiza katika mtego wa kusengenya na kufanya uzandiki.
Kufuatia press conference za Polepole na yale anazungumza kwa umma kuhusu CCM na viongozi wa nchi, ni ipi itakuwa hatma ya makundi makubwa mawili ndani ya CCM?
Kwa maoni yangu, CCM ina makundi makubwa mawili yasio kubaliana ni namna gani nchi inatakiwa kuongozwa! licha ya kuwa wapo ktk chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.