huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Huduma hii imeshafika Tanzania?

    INTERNET. Starlink is now delivering initial beta service both domestically and internationally, and will continue expansion to near global coverage of the populated world in 2021. During beta, users can expect to see data speeds vary from 50Mb/s to 150Mb/s and latency from 20ms to 40ms in most...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hospitali ipi, ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania?

    Hospitali ipi,ina huduma/ tiba ya mionzi ukiachana na hospitali ya Oceanroad kwa Tanzania? Kuna mgonjwa wangu ameenda hapo kwa ajili ya tiba, tangu saa 12 asubuhi mpaka muda huu hajapata huduma; akiuliza tatizo, jibu ni mashine ni mbovu.
  3. Midevu

    JamiiForums Tanzania Nani mabingwa wa huduma kwa wateja nchini?

    Nadhani sote tunafahamu kuwa suala la huduma kwa wateja kwa asilimia kubwa ya biashara, mashirika na ofisi za umma ni janga la taifa. Unaweza kufika kwenye biashara ya mtu na ukaishiwa kupata maumivu mpaka ukajiuliza kati ya wewe mteja na mwenye biashara nani mtafutaji. Watoa huduma wanatoa...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tabata Huduma za Kijamii Zinapatikana wapi?

    Wakuu kwema. Nipo mitaa ya Tabata na viwanja vyake huu usiku. Nilikua nauliza "huduma za kijamii" huku Zinapatikana wapi? Eneo zuri kidogo sio kama lile la Ubungo Riverside au Corner Bar watu wengi sana, tena bystanders. Najua kuna Corona, AIDS, etc ila nitachukua tafadhali zote. Asante.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi ( staffs) wa NMB bank wanapwaya sana kujua huduma za mwajiri wao

    Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapato ya huduma ya SGR yaongezeka kwa asilimia 33%

    Inatia moyo sana.......... SGR passenger train on the Miritini Bridge along the Mombasa-Nairobi route. FILE PHOTO | NMG Revenue generated from cargo and passenger services on the standard gauge railway (SGR) rose by 33 percent in the six months to June, lifted by a rebounding economy, official...
  7. Kelela

    JamiiForums Tanzania Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi?

    Hospitali za Serikali Wanatoa Huduma Jumamosi kwa wagonjwa wa kawaida (OPD)? Kama Jibu ni Ndio, Ratiba ikoje? yani kuanzia saa ngapi hadi ngapi? Natanguliza shukran!
  8. Mparee2

    JamiiForums Tanzania NHIF itangaze kama inatoa huduma ya mitungi ya gas (oxygen)

    Kutokana na ongezeko la mahitaji ya gasi ya Oxygen yaliyojitokeza hivi karibuni umekuwa na mkanganyiko mkubwa wa huduma hasa hiyo gas ya oxygen inayotumika kwa wingi Ukiangalia kwenye matangazo ya NHIF yanasema hiyo gasi inatolewa Bure. Ila kiuhalisia hiyo gasi inauzwa kwa hospitali za serikali...
  9. ZING SOKONI

    JamiiForums Tanzania SoC01 Huduma mbovu katika Taasisi na mashirika ya Umma, ushauri na mapendekezo ya namna ya kuboresha

    Utangulizi. Kumekua na malalamiko mengi pamoja na changamoto katika huduma ambazo zinatolewa kwe Taasisi na Mashirika ya serikali kama vile elimu duni katika shule za umma, matibabu duni na ukosefu wa vifaa katika hospitali za umma, taasisi za fedha, mifuko ya hifadhi za jamii,vyombo vya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere na Huduma mbovu za Mtandao na huduma

    Kwa mwezi Sasa nimepita Uwanja wa ndege wa Dar kwenda na kurudi, siku ya kwanza nilikuta mrundikano wa watu nikasikia network imekata sijui mifumo mibovu. Ukiwasikiliza watendaji hasa waliovaa kirahia wanavyolalamikia mifumo ya uwanja ikiwemo TTCL nadhani ndo mtoa network utadhani siyo...
  11. The Eric

    JamiiForums Tanzania Halotel huduma kwa wateja wana huduma mbovu mno

    Halo, Na niseme kwamba wahudumu wa mtandao wa simu halotel kitengo cha kupokea simu 100 huduma kwa wateja huwa wana huduma zisizo ridhisha na mbovu kuwahi kutokea. Sijui wamewaokota wapi hawa wahudumu wao wabovu namna hii, Kwanza wanatujibu vibaya wateja na wanafoka na mteja hata awe...
  12. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali wafuatilie huduma za mitandao nyingi ni utapeli

    Kipindi cha nyuma kidogo nilijiunga huduma yao ya halo quiz mtandao wa halotel bila kuijui vizuri baada ya muda mrefu jan nikaweka salio ili nijiunge kifurushi natumiwa sms salio limekatwa basi nikaona hii huduma ngoj nijitoe Sasa kilichonileta hapa mpaka naandika uzi huu jana niliingia menu ya...
  13. Azathioprine

    JamiiForums Tanzania SoC01 Thamani ya Huduma Bora za Uzazi wa Mpango Katika Uwezeshaji Wanawake Kielimu na Kiuchumi

    UTANGULIZI: Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa Watoto 5.2. Vilevile, uwezo wa kuzaa kati ya wanawake unatofautiana kwa makazi yao, viwango vya...
  14. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Tozo Mpya za Miamala: Pigo kwa Sekta ya Mawasiliano nchini

    A new government levy on mobile money introduced last month in Tanzania has sparked outrage from citizens due to the significant increase in costs. With 26 million people, almost half the country’s population, using mobile money the surge in prices has been felt widely. The tax, which has...
  15. Genius Mzee

    JamiiForums Tanzania Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

    Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi. Ushauri, Serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni. Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Siasa za Dkt. Mwigulu Nchemba zinadidimiza huduma nzuri za afya Hospitali ya Wilaya Iramba

    Nimefanya utafiti wangu kwa kuitembelea Hospitali ya Wilaya yetu tangu Machi, 2021 mpaka mara ya mwisho jana. Wagonjwa wengi waliokuwa wakiletwa wakiwa katika hali ya kuhitaji huduma ya haraka na ya dharura (emergency) wanakataliwa kupokelewa kwa kuambiwa huduma husika haiwezi kutolewa pale...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Huduma ya ufundi wa bomba katika nyumba

    Habari wanajamvi, Kwa yeyote anayehitaji au atakayehitaji huduma inayohusu uwekaji mfumo wa maji safi na majitaka katika jengo, hata ushauri tuwasiliane kupitia namba ya simu : 0754341362 au Email: hafidhi07@gmail.com
  18. limbende

    JamiiForums Tanzania NMB Mobile haipatikani

    Wandugu habari za leo Samahan NMB Mobile Application inaniambia huduma hiyo kwa sasa haipatikani vipi wenzangu na nyie uko hivihivi au mim mtu. Msaada tafadhali kwa anaejua
  19. BLUE BALAA

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Write-ups

    Habari za asubuhi watu wa Mungu. Tunatoa huduma ya kuandika Business plans, proposals, strategic plans kwa ajili ya taasisi yoyote ile either kuomba mkopo bank, kumwandikia mwekezaji au hata kuindikia taasisi yoyote pale inapokuhitaji kufanya hivyo. Taasisi yetu imesheheni fani zote kuanzia...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuanze rasmi kususia bidhaa na huduma za wasiolipa Kodi.

    Ndugu zangu wananchi wabunge hawalipi Kodi kwenye mishahara yao na ni mikubwa kwelikweli Sasa swali linakuja kwanini upande Basi lake? Kwanini ulale kwenye hoteli yake? Kwanini ununue chochote kwenye duka lake au hardware yake? Tena Bora lingekuwa lile bunge lililochaguliwa na wananchi la kina...
Back
Top Bottom