huduma

Huduma Kenya Programme is a Kenya Vision 2030 flagship project captured under the Mid Term plan for 2013 – 2017. The Programme was launched by H.E Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, on 7 November 2013 which coincided with the launch of the first Huduma Centre in Kenya at GPO Nairobi.
The aim of the Huduma Kenya program is to enhance the access and delivery of Government Services to all Kenyans. Ministry of Public Service, Youth and Gender Affairs is coordinating implementation of the Programme.c.Through the Huduma Kenya initiative, Kenya has been able to launch a Huduma Namba, which is equivalent to the US's Social Security Number (SSN).

View More On Wikipedia.org
  1. Leak

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ukiongezea Kanisa misamaha ya kodi, Wananchi na watumishi tupewe misamaha pia ili tumudu huduma za Kanisa

    Nakusalimu Mhe. Rais, Kwanza ni ukweli ulio wazi kuwa kanisa hasa la Katoliki limekuwa likitoa huduma nyingi sana kwa jamii hasa katika elimu na afya na wamekuwa wakitoa msaada mkubwa sana kwa jamii na serikali kwani wamekuwa wakichagiza maendeleo kwa ujumla na hutoaji huduma. Ukweli ni kwamba...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kupunguza gharama za kuingiza umeme kuwa 27000, wangefanya huduma hiyo kuwa ya haraka kwa bei ya zamani

    Natamani inchi yangu ijifunze kuangalia kipaumbele cha kero! Ni kweli kabisa gharama za kuingiza umeme hazitakiwi kuwa kubwa namna ile kutokana na mazingira kwamba Luku na miundo mbinu si Mali ya mteja Bali ni Mali ya mtoa huduma! Lakini kutokana na mipangilio mibovu, pamoja na kuwepo ile...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Nyangasa karibu Kigamboni anza na kupatikana Huduma ya Maji ya DAWASA na Tozo Daraja la Kigamboni

    MHESHIMIWA NYANGASA KARIBU KIGAMBONI ANZA NA UFUMBUZI WA KUPATIKANA HUDUMA YA MAJI NA PILI TENGENEZA MIKAKATI YA SERIKALI KUONDOA TOZO ZA DARAJA LA KIGAMBONI KWA WANANCHI Nianze kwa kuipongeza mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya, yaani Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kukuchagua wewe...
  4. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Mechi ya ligi kukosa huduma ya kwanza inakuwaje?

    Jana nilikuwa naangalia mechi ya ligi {VPL} kati ya Gwambina na Dodoma Jiji. Kilichonifadhaisha ni kitendo cha mchezaji {nadhani wa Gwambina} kuumia na kubebwa mzegamzega na mtu mmoja kutolewa uwanjani, niajiuliza wale wahudumu wa huduma ya kwanza hawakuwepo {First Aid}? Hivi mechi hiyo...
  5. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Huduma ya internet

    Naomba kuuliza wakuu, kwa wale mliopo Dar Kuna jengo karibu na Mlimani City linapangishwa je Kuna huduma za Internet ya fiber maeneo zimefika huko?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Huduma ya LUKU imepotea tena, hatuwezi kununua umeme

    Ni masaa matano tokea system ya LUKU kupotea yaani huwezi kununua umeme Hii ni ishara mbaya kwa waziri na serikali kwa ujumla kwa hili tatizo kujitokeza mara ya pili ndani ya miezi miwili Mama samia Ebu kuwa mkali kidogo yaani nina uhakika madudu mengi yatakuja kwa utawala huu, mchwa wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, una taarifa za changamoto ya mifumo ya TEHAMA nchini hasa kukosekana kwa huduma ya malipo up (control number)?

    Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto ya control number fedha lazima zitakuwa zinapigwa kwa sababu huduma zinatolewa manually kitu ambacho...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchangiaji Damu kwa hiari waathiriwa na huduma ya utoaji chanjo ya CoronaVirus

    Huduma za uchangiaji damu nchini Kenya zimeathiriwana na janga la Covid-19, kwani wachangiaji ambao wamepokea sehemu ya kwanza dozi au dozi kamili ya chanjo ya AstraZeneca wanapaswa kusubiri kwa angalau siku saba kabla ya kuchangia damu. Huduma ya Kitaifa ya Uchangiaji Damu nchini humo...
  9. Mumlii

    JamiiForums Tanzania Hivi naweza kuanzisha biashara ya kutoa huduma ya usafi bila mtaji?

    Naipenda kutoa huduma ya usafi wa majumbani, ofisni. Je, naweza kuanzaje ili nifike malengo? Kwa anayejua naomba mawazo maoni, mitazamo? Kwenye hii biashara ya usafi.
  10. Jaluo_Nyeupe

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Jinsi ya Kutoa Huduma ya Kwanza kwa matatizo mbalimbali kabla ya kufika hospitali

    Habari zenu wana JF, Ni wazi kwamba watu wengi hatuna elimu ya kutosha jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa wapendwa wetu pindi wanapopata matatizo mbali mbali ya kiafya kabla ya kuwapeleka hospitali. Wakati mwingine mtu anaweza kupata tatizo litakalomfanya aweze kudumu kwa dakika chache tu bila...
  11. GwaB

    JamiiForums Tanzania NMB Bank huduma mtandaoni inahitaji muwe na Watalaamu wa IT

    Katika hali ya kushangaza NMB mmeamua kufunga kimya kimya matawi kadhaa mliyofungua kwa mbwembwe huko nyuma. Hata mawakala mliowapa ujiko wa kufungua matawi kwa niaba yenu mmewaacha solemba baada ya kuingia gharama kubwa za ujenzi au mmelipana kimya kimya pia? Siku hizi mmekuja na upepo wa kila...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Lucy Mahenga: Huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sio ya kuridhisha

    Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mahenga, amesema huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sionza kuridhisha, vitu vingi vina kasoro na wananchi wamekuwa wakilalamika. Akiwa Bungeni amesema, "Hospitali imekuwa ikihudumia Wagonjwa wengi sana, hasa kutokana na kwamba idadi kubwa ya Wananchi...
  13. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Elimu Jamii: Usafirishaji bidhaa/huduma ndani na nje ya Tanzania

    Habari wadau wa JamiiForums, Salamu kutoka WLC. Tuliomba nafasi kwa uongozi tuje kutoa elimu kwenu kuhusiana na uagizaji wa bidhaa au huduma ndani na nje ya nchi. Tumekuja rasmi. Mzigo wako umekwama bandarini? Uwanja wa Ndege au sehemu yoyote? Tuulize tukupe ushauri wa kitu gani cha kufanya...
  14. luangalila

    JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso, unajua kero hii huduma ya kuunganishiwa maji?

    Habari za Asubuhi waungwana, Kama kichwa cha habari kisemavyo. Serikali imekuwa ikijipambanua kuongeza kasi ya upatikaji wa maji kwa wananchi wake. Lakini mpaka leo kuna changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo katika maeneo kadhaa ya mjin kwa kisingizio cha uhaba wa vifaa vya...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhamiaji Kenya kuanza huduma ya kutuletea paspoti kwetu manyumbani

    Unafanya maombi na kutulia kwako sebuleni, mlango unagongwa jamaa anakupokeza cheti chako cha kusafiri, huna haja ya mifoleni tena.... The Directorate of Immigration Services and Postal Corporation of Kenya (PCK) have launched a passport delivery service. The agreement that was signed on June...
  16. Kiti Chema

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Finishing kama vile Skiming na upakaji wa Rangi unapatikana hapa

    Habari wanajamvi. Kijana mwenze ninawaombeni kwa mwenye uhitaji wa fundi Skiming na Upakaji Rangi na upakaji wa material mbali mbali ya urembo kama vile, stone, Decoo, con mixer, pamba/ aspendos, metalical n.k. Napatikana Kigoma ila mkoa wowote wa Tanzania ninafanya kazi. Karibuni nikufanyie...
  17. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Huduma ya 'salary slip' mtandaoni imeondolewa?

    Kwanza nilijaribu kutafuta ya may 2021 nikaambiwa no salary slip for selected month. Leo hii ukifungua salaryslip.mof.go.tz huduma haipatikani kabisa. What's wrong!?
  18. C

    JamiiForums Tanzania Karibuni sana kwa huduma za fumigation

    Karibuni Sana Chawging investment Kwa huduma za fumigation majumbani, maofisini, mashuleni, mashambani, kwene majengo, kwene masoko, mahotelini, mahospitali, kwene vyombo vya usafiri, kwene chamber za chooni, kwene vyombo vya usafiri, kwene magodown, n.k Tunatokomeza wadudu hatarishi warukao na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa LATRA haufanyi kazi, wasafirishaji washindwa kupata huduma kwa siku kadhaa

    Mfumo wa Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini (The Land Transport Regulatory Authority- LATRA). Huafanyi kazi sasa kwa takribani wiki nzima. Watoa huduma za usafiri wa Ardhini ambao wanapaswa kupata leseni toka mamlaka hiyo kupitia mfumo wao wa njia ya mtandao (Online Application) wamekwama. Kila...
  20. K

    JamiiForums Tanzania TCRA CCC Yatoa Ushauri kwa Watumiaji wa Huduma za mawasiliano

    Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Mawasiliano latoa ushauri kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano ikiwemo kutumia fursa zilizopo kwa manufaa ya kujiletea maendeleo
Back
Top Bottom