Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine!
Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi!
Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu!
Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
Uamuzi wa serikali wa kuweka malengo ya kuufanya Mkoa wa Kigoma kuwa wa kimkakati, kiuwekezaji na kibiashara, unastahili kuungwa mkono na Watanzania wote kwa kuwa umelenga kukuza uchumi.
Rais Samia akiwa kwenye ziara ya siku nne mkoani Kigoma, alifungua barabara ya Kidahwe hadi Kasulu yenye...
Tutumie uzi huu kuipongeza Simba kwa kumpatia Mgunda nafasi ya kuwa kocha mkuu wa Simba. Naamini kabisa kuwa Mgunda almaarufu kama Gurdiola Mnene ataifanyia Simba maajabu ambayo hatujawahi kuyapata kwa makocha Wazungu.
Angalizo langu ni kuwa isitokee hata kidogo kuwa simba wamempa nafasi hiyo...
Nawasalimu Kwa jina la JMT.
Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa.
Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo.
Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta...
Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani bila hofu Wala mashaka
Msingi wa maendeleo katika nchi yoyote Ile Ni uwepo wa amani na utulivu...
Tundu Lissu alisema bungeni kuwa kazi ya kamati ya makinikia ilioundwa na rais Magufuli ya prof. Osolo na prof. Mruma ni professorial rubbish. Alimaanisha kuwa haina maana yoyote na haitakuwa na matokeo chanya.
Alishauri turekebishe kwanza sheria zetu, tujitoe kwenye baadhi ya mikataba ya...
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imetangaza kufuta tozo tatu za miamala ya kieletroniki kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu.
Naipongeza serikali kwa kuwa sikivu na kuja na marekebisho yaliyowezesha kufutwa baadhi ya tozo. Aidha, naungana na wasomi na wabunge walioshauri kuangalia namna ya...
South Sudan has bought a piece of land in Djibouti for the construction of a harbour in its latest effort to find an alternative to the port of Mombasa which is facing an onslaught from Dar-es-Salaam.
South Sudan has bought three acres of land at the port of Djibouti for the construction of a...
Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
Gthinkers wasalaam,
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa Twitter.
Ukweli ni kwamba bei ya mafuta imeshuka sana Tanzania japo hatujaona waliokuwa wakilalamikia kupanda kwa bei wakipongeza kushuka kwa bei.
Pia Soma hii,
👇👇👇
BEI...
Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia.
Nakumbuka kitambo nikiwa kijana, nilikua mmojawapo wa vijana tuliokusanyika pale Eldoret kukushangilia siku ya kwanza ulipotangaza...
Ni gari namba T683DZE aisee kama mmepewa mafunzo huko kazini basi mmeyaelewa vyema maana TV mmeweka sauti ya chini kiasi kwamba abiria hata kusinzia unaweza kusinzia na kuifanya safari yako kuwa murua kabisa.
Screen za tv zipo saba lakini utulivu ndani ya bus upo wa kutosha. Mabasi mengine sasa...
Utangulizi
Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na ardhi.
Mpango wa pili wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano(2016/17-2020/2021), pamoja na malengo...
Serikali imekata tozo kwenye miamala yote kuanzia tarehe moja July mwaka huu... Kama akaunti yako haina salio kwa sasa tozo litakatwa punde akaunti ikiwekewa fedha.
Habari za jumapili wana JF, nimetoka unyamwezini na kuwa Kenya tangu kampeni hadi Uchaguzi jana nikaamua kuja nyumbani kutokea Namanga Arusha Moshi kisha Dar es salaam.
Kwakweli niseme wazi idadi ya trafiki na kero zao imepungua mnoo.
Nilishangaa Arusha mjini kupita vituo vingi bila trafiki...
Natoa pongezi kwa msanii namba moja Afrika kwa sasa Diamond Platnumz kwa kununua vyombo vya anga. Biashara yake mpya anayokuja nayo ya Wasafi airlines itafungua milango ya ajira nyingi sana Tanzania na duniani kwa ujumla.
Watu tutaacha kupanda emirates na klm tutaanza kupanda ndege za kijana wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.