Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Luca Modric amehitimisha huduma yake kwa timu ya Taifa ya Croatia. Hakika ameitendea haki jezi hiyo na pia heshima,adamu na ustaarabu wake utakumbukwa daima uwanjani. Tumejionea leo mapenzi ya wapenzi wa mpira kwa FUNDI huyu.
Niende moja kwa moja kwenye Mada kuu:
Ulitokea mgogoro uliosababisha chuki na malalamiko toka kwa mataifa ya africa hususan yasiyo ya 'kiarabu' baada ya kauli za utata toka kwa mchezaji wa Morocco kuhusu ushindi wao wa kufuzu kwenda Robo fainali.
Hili lilipelekea waafrika kuiombea mabaya Morocco na kuibeza hasa baada ya kushindwa nusu fainali. Inshort huu ni ujinga uliopitiliza kwani kila taifa lilipaswa kujitegemea na kutegemea kuungwa mkono na yeyote.
Ikumbukwe waafrica tunaunga Mkono mataifa mbalimbali hususan ya Ulaya na S.America bila kuangalia asili yetu.
Ni wakati sasa wa kuipongeza Morocco kwa mafanikio makubwa ambayo hayajawahi kufanywa na timu yeyote ya Africa tangu wakati wa kina Roger Milla Yekin, Song, Makanak, Etoo, Kanu, Okocha, Abou Trika, Mboma, Drogba na wengineo. Wala si Yaya Toure, Salah au Sadio Mane. Si South Africa ya kima Macarthy, Mark Fish, Tshabalala au Nomvete. Si kina Chippo wala Moustapha Hadji. Wala si kwa Asamoah Gyan na the likes of Michael Essien the Great, Appiah na Boateng. Wala si wale kina Suleiman Camara na kizazi cha El hadj Diouf , Fadiga marehemu Diop ,Cisse na hata Nigeria ya Mikel Obi and Co. Wapi Riyadh Mahrez and Co?. NI MOROCCO YA HAKIMI, ZIYECH AND CO (KIZAZI CHA DHAHABU CHA ARAB-AFRICAN DESCENT)
Kwa kifupi timu hii ndo tumu Bora kuwahi kutokea katika Historia ya Soka kwa ukanda wa CAF na mafanikio haya yataishi.
Chuki wachukiwe lakini haki yao wapewe.
HONGERA TEAM MOROCCO KWA KUUVUNJA MWIKO ULIOWASHINDA WENGI.