hongera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hongera Masuguri Mkuu wa Majeshi Mstaafu kwa kuongeza umri miaka 103

    Leo tarehe 4 Januari 2023, Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri ametimiza miaka 103 ya kuzaliwa, Jenerali alizaliwa tarehe 4 January, 1920. Ktk siku ya leo Watanzania tunakupongeza na kukuombea sana kwa Mwenyezi Mungu akupe Afya na Maisha Marefu zaidi na Zaidi...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwamba Freeman Mbowe Mwasisi wa Maridhiano

    Wengi walikubeza wakasema umelamba asali, lkn juhudi na uvumilivu wako leo umezaa matunda. Hongera sana, pongezi kwa viongozi wote wa Chadema na vyama vingine, ushindi wa leo (kuondolewa kwa zuio la mikutano) ni ushindi wa wa Tanzania wote.
  3. technically

    JamiiForums Tanzania Hongera TRA, hongera Rais Samia

    Kuna mambo tunatakiwa kupongeza kama tunavyokosoa. Kiukweli kwenye swala la ukusanyaji kodi toka Rais Samia aingingie Madarakani yuko vizuri! Kuna watu wanaleta propaganda kwamba bandarini tunaibiwa Sana lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mwezi huu wa 12 kavunja record yake ya mwaka...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hongera Amos Makala kwa kuwafyeka panya road, sikukuu tulivu kabisa

    Wazazi mliambiwa ukimkosa mwanao kituo cha polisi nenda kamtafute hospitali, mkadhani utani. Wamefyekelewa mbali tunakula sikukuu kwa amani na utulivu. Vitoto vimezaliwa juzi tu ila vilitaka kutufanya tuishi kwa hofu. Safi sana Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa.
  5. Bundakwetu

    JamiiForums Tanzania Hongera Mshana Jr

    Napenda sana uandishi wako na uwasilishaji wa nyuzi zako hakika umestahili kuibuka mshindi katika Jukwaa hili nina mengi ambayo nimejifunza kupitia nyuzi zako, hasa tiba ya Chumvi hongera sana ila nipe mbinu ya kumiliki pesa na kujikinga na wachawi😂😂
  6. Bundakwetu

    JamiiForums Tanzania Hongera DeepPond

    Katika Jukwaa la MMU wewe ndiyo umekuwa kinara, nakupa hongera sana na Mungu akupe afya njema mwakani utuletee nyuzi zaidi. Ila pia nikupe tahadhali kuwa makini na Mama J, ameshachukua namba yangu ya simu soon nitafanya upembuzi yakinifu😂😂😂 (Utani). Yote kwa yote, HONGERA.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC kwa kumfyeka msaliti Godfrey Kaburu

    Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama. Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hongera Mama Janeth Magufuli kwa kuelewa somo

    Moja Kwa moja nikupongeze Kwa kupiga chini bonaza la ufunguzi wa bwawa. Mama tumekuwa tunasikitika na kuumia mno pale unapokuwa mwalikwa kwenye haya mabonanza ya CCM, matokeo yake marehemu mumeo anasimangwa hovyo hovyo. Tumejitahidi Sana mara kadhaa kukushauri kutupilia mbali haya mtamasha ya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

    It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto. Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya...
  11. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Modric Hajatuachia deni; Hongera kwa Morocco,haijawahi kutokea Taifa kama wao katika ukanda wa CAF

    Luca Modric amehitimisha huduma yake kwa timu ya Taifa ya Croatia. Hakika ameitendea haki jezi hiyo na pia heshima,adamu na ustaarabu wake utakumbukwa daima uwanjani. Tumejionea leo mapenzi ya wapenzi wa mpira kwa FUNDI huyu. Niende moja kwa moja kwenye Mada kuu: Ulitokea mgogoro...
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hongera Sugu kwa kuwa msikivu, na mliyompa ushauri wangu kutoka JF mbarikiwe, ujumbe umefika

    Inaleta faraja pale unapoona ndugu au rafiki anapotoka ukamrudisha kwenye mstari naye akakubali kurudi kwenye mstari. Nilimshauri Joseph Mbilinyi Sugu hapa JF aachane na tabia za wavulana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema, ukweli hata kama mchungu shuruti usemwe

    Huu ndiyo ulio ukweli mchungu: Mkwamo wetu uko hapa. Uhai wetu utarejea kwa kujikwamua kutoka hapa. Ukweli huu ni mwiba mchungu mno kwa ule upande mwingine uliojaa ulaghai na ubinafsi uliopitiliza.
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Hili ni maslahi ya taifa ya pongezi kwa TRC nimeona mzigo wa mabehewa mapya ya kisasa ya reli ya kisasa ya SGR ukipokelewa bandarini, DSM, hivyo hatua ya kwanza ni kutoa pongezi kwa TRL kwa kazi...
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera Zuchu na Rayvanny kwa ushindi wa kishindo mmeipa heshima Tanzania

    Zuchu na Rayvanny ndiyo wameibuka kuwa wasanii bora kabisa mwaka huu hapa Afrika Mashariki. Supastaa Zuchu anakimbiza sana mitaa yote Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Djibouti n.k. Kwikwi ni pandemic, watoto wamechanganyikiwa kila kona. Kutoka kuitwa muimba taarab mpaka...
  16. Tango73

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya elimu Tanzania

    Namshika mkono wa heri na shukurani nyingi Rais Samia Hassan kwa mabadiliko mazuri ya elimu anayoyaleta nchini. Namshukuru sana Rais Samia kwa kutatua kero moja iliyotutesa sana miaka nenda rudi ya Watanzania kuwa wanachama wa jumuia ya madola lakini kiingereza hakizungumzwi na walio wengi...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Wizara ya Ujenzi! Sasa twende na reli za mijini kwa kutumia sekta binafsi

    Moja ya sababu zilizofanya Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ni suala la sera zetu kuegemea ujamaa yaani kila kitu kufanywa na serikali jambo ambalo limekuwa likifanya tuchelewe sana kupata maendeleo. Jitihada kadhaa zimekuwa zikifanywa kuondokana na haya ila bahati mbaya zimekuwa zikikosa...
  18. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga mmejipambanua vyema

    Kwa matokeo waliyoyapata Yanga jana na aina ya mpira waliocheza ni wazi sasa Yanga baada ya misimu 2 mbele itakua katika daraja moja zaidi ya mtani wake Simba katika michuano ya Kimataifa. Yanga itanufaika zaidi kwasababu mchakato wake wa mabadiliko ilikwisha kamilika hivyo ni jukumu la...
  19. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera kwa Ruto kutowarembea M23, Akiwa mpole Kenya Magharibi itaanza kuchezewa kama Congo, M23 = Rwanda + Uganda

    Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda kwa Mkuu wa majeshi ya Kenya ambae ni Ruto. aliweka ujumbe kwamba anaweza kuikamata Nairobi ndani ya...
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hongera TAZARA nimeridhishwa na huduma zenu

    Ni fire ! ni mwendo wa kujimwagilia tu,k vant,john walker,konyangi kuku choma yaani ushindwe mwenyewe ,mtuwekee na warembo muongeze na spika kubwa ! mambo mengine kama uchakavu wa mabehewa na viti, uchafu hayo sisi hayatuhusu kikubwa tumefika dar tuko full data!
Back
Top Bottom