home

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

    Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakuwa nimefulia hatari. Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima? Tupeane mbinu hizo wakuu.
  2. TutorMe Group

    JamiiForums Tanzania Private Home tuitoring/ufundishaji wa masomo ya ziada nyumbani

  3. TutorMe Group

    JamiiForums Tanzania Walimu wa masomo ya ziada nyumbani (private home tutors)

  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipe mbinu za kuingiza hela kupitia lugha pendwa ya Kiswahili kwa mtu mwenye taaluma ya ualimu wa Kiswahili

    Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato? Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa.
  5. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mahususi kwa sisi ambao sikukuu hii tupo tu nyumbani wenyewe kama kawaida

    Mimi kesho nitakuwepo tu kama kawaida yangu. Basi naona tupeane moyo tu wanajamaa maana sisi wengine tunastress. Tutumie uzi huu kuwekana bize au kama kunampenzi wa game ile app ya kali linux tuitumie nimesahau jina lake. Kuwekana bize wale wa bebez nyie tugongeeni tu sisi tutapoa.
  6. rubii

    JamiiForums Tanzania Home tips

    Wakuu njooni, kuna mtu hapendi kuishi nyumba safi nzuri na salama? Nyumba ni nyumba hata iwe chumba cha kupanga. Binafsi huwa naandaa home tips zinazogusa nje na ndani ya nyumba, sittingroom, kitchen area, Washrooms/Maliwato, bedroom. Basi karibuni nitakuwa naziweka hapa pia kama unayo unaweza...
  7. rubii

    JamiiForums Tanzania Furniture, home decors na vyombo vya jikoni

    Heshima zenu wakuu.😊 Habari za wakati huu Karibuni Dollrubii_Decors SIsi ni wauzaji wa HomeDecors kwa bei nafuu zaidi kuliko wote nchini karibu ujione. KWA MAHITAJI YA ♦️FURNITURE ♦️ MAUA NA MAPAMBO YA NDANI ♦️PAZIA ♦️KITCHENWARE TUNATUMA MIKOA YOTE🇹🇿 WHTAP|📞 0699306065 FREE DELIVERY DAR...
  8. Visionery

    JamiiForums Tanzania We are looking for sales person and sales commission agent for a home appliances retail shop

    To all, We are looking for sales person and 3 sales commission agents for home appliances retail shop Duty station:Ilala manicipal in Dar es salaam. Roles for sales person: 1. Welcoming and explain products to the walking in customers who visit our store or social platforms pages. 2. Open a...
  9. mdhalendo

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu tangu nianze kutumia 5G Home Internet ya Voda Supakasi. Hiki ndicho nilichoki-experience so far

    Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo ningependa nitumie jukwaa hili kutoa uzoefu wangu kama mmojawapo wa wateja wa kwanza wa 5G internet...
  10. K

    JamiiForums Tanzania 750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

    Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life. Maana usikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
  11. I

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya umeme vya majumbani kwa bei ya kiwandani

    Karibu ujipatie Vifaa vyote vya Electronics Kwa Jumla na Rejareja Bidhaa zetu ni Original na zina Warrant kuanzia Mwaka Mmoja ( 1 ) na kuendelea. Tunafanya Derivary kwa Dar es salaam, Mikoani Tunatuma Bidhaa kwa uaminifu. Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Uhuru na Congo, Dar es salaam, Tanzania...
  12. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Hivi humu ni Home of great thinkers au...?

    Tahadhar: Huu Uzi Una Sauti kubwa mno kama upo very sensitive pita Kulia! Naona baadhi yetu huenda tumejikuta humu Kwa bahati mbaya Sana,hatuendani na hii platform ambayo imejipambanua kama sehemu yenye watu wenye akili kubwa au maono makubwa Kwa taafsiri isiyo rasmi. Ukimuona mtu anachangia...
  13. Home decoration

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Home Decors

    1. Wall picture hizi nzuri
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimepata mgonjwa wa ajabu nyumbani

    Duniani kuna magonjwa mengi mengine ni psychological made. Anyway, mimi nmepokea mgeni ambaye amekuja likizo maalum. Jamaa yangu wa kitambo sana. Ilikuja tu tokea akawa amemaliza chuo kaajiriwa sehemu akafundishwa kunywa pombe...akaja kuwa komba. Wamehangaika naye sana. Mpaka mke amechoka...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Naomba Pendekezo la kabila la pwani ambalo mwanamke anakaa kitako home na wasio wavigoma na shughuli

    Kwenye mada straight wadau nataka kuchagua kuvuta jiko hitajika la kuishi nalo nataka mtoto wa pwani nshapata inbox kama 50 chuguo langu nataka chombo Cha pwani,kwenye sampuli kuna wafuatao. 1. Mluguru 2. Mkwere 3.Msagara 4.Mzigua 5. Mzaramo 6.Msambaa 7.Mbondei 8. Mdigo 9. Mjikenda 10...
  16. Mp4real

    JamiiForums Tanzania INAUZWA New homebass refrigerator 2 doors for sale

    Bado ni mpya nimenunuliwa zawadi, lakini mie sina matumizi nayo, thamani yake ni 370,000 ila mimi mtu akinipa 250000 namwachia. Karibu pm.
  17. Ramoth Gilead Appliances

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    We tuambie budget yako ni shilling ngapi na unahitaji home appliances ipi tuko kwa ajili yako Kwalioko dar es salaam unaletewa mzigo ndo unalipa na mikoani unatuma fedha ndo tunakutumia mzigo. Mawasiliano ya cargo tunazotumiaga wapigie watakuelekeza ofisi zao zilipo kwenye mkoa husika, na bei...
  18. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania No matter what happen to you, never desert your home place

    °°° katika hii vita inayoendelea iliyotenganisha dunia katika sehemu mbili , kuna jambo kubwa sana la kujifunza kwa binadamu Don't desert your home place °°° as far as "Kuongoza taifa alo zaliwa na wazazi wake katika bonde la umauti.... He has not thinking of deserting his homeland ...
  19. Gadget_accessories_tz

    JamiiForums Tanzania Tunauza phones, computers, accessories na home appliances kwa bei nafuu

    .
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, tutumie Msiba wa Malkia kama darasa somo la Organization, Simplicity, Humility na Humbleness au tukomae na misafara yetu na ubosi wetu?

    Wanabodi, Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko la swali. Je, tuutumie somo tulilolipata kwenye Msiba wa Queen Elizabeth kama Shamba Darasa la...
Back
Top Bottom