Vitu ambavyo havinogi vinapoliwa au kutazamwa ukiwa nyumbani

bongo dili

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
12,371
24,603
1. Mpira hata home kuwe na flat nchi 100 mpira unanoga bar au kwenye vibanda umiza,si ajabu mtu kupaki V8 mtaa wa pili akazama kibandani kutazama Simba na yanga Ile amsha amsha,vuvuzela , makelele ndio utamu wenyewe wa mpira.

2. Bia ukinywea nyumbani ugeuka juice ya miwa, Utamu wa bia bar au vilabuni.
Sio kwamba watu hawawezi weka majokofu au kaunta za bia home bali pombe unoga na vinogesho vingine mfano ingia toka,Mara vituko vya bar, kelele, vurugu za walevi,nk

3. Chips hata Kama inapikwa chips kuku home kila siku Huwa hainogi, hadi ya kwa kijiweni kwa bonge nk.
Chips uenda na soda na Sio juice.

Hii kitu imevuruga ndoto za mabinti wengi sana kwa kudanganywa na viazi vya Mbeya. Thus Pana msemo viazi vya Mbeya vinaua. Chips imeleta ukimwi, talaka, mimba,nk

4. Mahindi ya kuchoma haya yananoga mtaani ukipata na pilipili na limao,ukichoma mwenyewe home hayanogi.

5. Mihogo ya kukaanga hii kitu hakuna mwanamke yeyeto mjamzito au mtoto wa shule asiyependa hii kitu.

Mtu yupo radhi atoke mbagala afate mihogo Coco beach, Mihogo bila kachumbali za pilipili haipandi.

Mihogo ndio kiokozi Cha wapiga deshi wengi mjini wasio na uwezo wa kula kwa mamalishe akipiga mihogo ya buku na maji safi kabisa.

6. Kitimoto hii kitu familia nzima ipo radhi ikachome poko kwenye vijiwe vya poko kuliko kununua na kutengeneza kitimoto nyumbani.
7.Saloon hata uwe na mashine za kunyolea,kuoshea nk still saloon wanafata umbea
 
Ila kwa asili mahindi ya kuchoma hutafunwa home na bila chumvi kwakuwa ladha yake inajitosheleza.. Ni fresh na ni tamu kwakuwa huchumwa kwenye shamba hapo nyumbani
Haya ya kula na mbilimbi ni mfu ya huku mijini
Mjini wanayalazimisha chumvi na pilipili ili usiipate ladha ya asili sababu tunauziwa mahindi vibudu yaani yaliyokaa mda mrefu, tofaut na Yale ya kuchumwa na kuchomwa hapo hapo
 
Ila kwa asili mahindi ya kuchoma hutafunwa home na bila chumvi kwakuwa ladha yake inajitosheleza.. Ni fresh na ni tamu kwakuwa huchumwa kwenye shamba hapo nyumbani
Haya ya kula na mbilimbi ni mfu ya huku mijini
Ya siku hizi hayana ladha kama ile ya zamani ndio maana wanaiongezea ladha na hivyo viungo,, some kwa matunda yote pia hata lile la mti wa katikati,,
 
1.Mpira hata home kuwe na flat nchi 100 mpira unanoga bar au kwenye vibanda umiza,si ajabu mtu kupaki V8 mtaa wa pili akazama kibandani kutazama Simba na yanga Ile amsha amsha,vuvuzela , makelele ndio utamu wenyewe wa mpira.

2.Bja ukinywea nyumbani ugeuka juice ya miwa, Utamu wa bia bar au vilabuni.
Sio kwamba watu hawawezi weka majokofu au kaunta za bia home bali pombe unoga na vinogesho vingine mfano ingia toka,Mara vituko vya bar, kelele, vurugu za walevi,nk

3.Chips hata Kama inapikwa chips kuku home kila siku Huwa hainogi, hadi ya kwa kijiweni kwa bonge nk.
Chips uenda na soda na Sio juice.
Hii kitu imevuruga ndoto za mabinti wengi sana kwa kudanganywa na viazi vya Mbeya.
Thus Pana msemo viazi vya Mbeya vinaua.
Chips imeleta ukimwi,talaka,mimba,nk

4.Mahindi ya kuchoma haya yananoga mtaani ukipata na pilipili na limao,ukichoma mwenyewe home hayanogi.

5.Mihogo ya kukaanga hii kitu hakuna mwanamke yeyeto mjamzito au mtoto wa shule asiyependa hii kitu.
Mtu yupo radhi atoke mbagala afate mihogo Coco beach,
Mihogo bila kachumbali za pilipili haipandi.
Mihogo ndio kiokozi Cha wapiga deshi wengi mjini wasio na uwezo wa kula kwa mamalishe akipiga mihogo ya buku na maji safi.
kabisa.
6.Vingine ongezea
Mwanamume wa Shinyanga asinge hata waza kuanzisha uzi wa namna hii. Imargine mwanaume anasema mhindi wa kuchoma wa mtaani ndo unanòga. uwe na pilipili sijui na Limao. Hivi kweli?!🤔
 
Back
Top Bottom