Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni iliyobainika ilikuwa ni home shpng center Hadi kupelekea kupotea.
Watu wenye akili walitia...
🏡 DON'T JUST BUILD A HOUSE — BUILD YOUR DREAM HOME!
YOU DESERVE MORE THAN JUST WALLS AND A ROOF. LET'S CREATE THE HOME YOU'VE ALWAYS IMAGINED — CRAFTED WITH CARE, QUALITY, AND YOUR VISION IN MIND.
Elegant 4-Bedroom Dream Home
📞 CALL OR WHATSAPP US TODAY: +255 624 004 650
MKUZIBUILDERS – WHERE...
🏡 DON'T JUST BUILD A HOUSE — BUILD YOUR DREAM HOME!
YOU DESERVE MORE THAN JUST WALLS AND A ROOF. LET'S CREATE THE HOME YOU'VE ALWAYS IMAGINED — CRAFTED WITH CARE, QUALITY, AND YOUR VISION IN MIND.
📞 CALL OR WHATSAPP US TODAY: +255 624 004 650
MKUZIBUILDERS – WHERE YOUR DREAM HOME BEGINS...
Tunauza bidhaa Bora & Original kwa Bei nafuu sana!!
Tunakusaidia Kujua bidhaa Original na zenye Ubora kwa hali Ya Juu sana! mawasilino zaidi
Mimi nauza online(winga) sina duka. soko la electronics nalijua vizuri sana huduma ya usafiri bure ndani ya dar yote na bei zangu ni ndogo sana bidhaa...
Hata hii gorofa simple haiwezi ikakushinda
3bedrooms (plot size 15x25)
Tunapatikana sinza Dar Es Salaam karibu ofisini kwetu tukuhudumie
call us 0624004650
Step into luxury living — where every room tells a story of elegance and design. This 4-bedroom dream home is a perfect blend of comfort, style, and space.
call us +255624004650
tunapatikana sinza Dar es salaam
Ni vema MAKANDE chakula kikuu cha Wapare yakatambuliwa kana chakula pendwa kiafya cha Taifa la Tanganyika kwa sababu zilizo wazi kabisa kuanzia wepesi wa pishi lake mpaka faida nyingi za kiafya
WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha.
Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni miaka 60 kisheria, lakini kwa hiari ni kuanzia miaka 55 hadi 59.
Sasa kwa mtu mwenye umri wa Miaka...
Ni kweli Tanzania tunahaja ya kujitanabaisha kimuziki na kuwafanya watu wajue utambulisho wa muziki wa Tanzania. Kuna mirindimo inapaswa kuwa utambulisho wa muziki wetu ila kiukweli hapa kwa singeli haujawaza sawa sawa.
Mziki inapaswa kutambuliwa ni muziki wenye mirindimo na midundo yenye...
Siku mbili baada ya waasi wa M23 kutangaza kusitisha mapigano dhidi ya vikosi vya serikali ya DRC kwa sababu za kibinadamu, kundi hilo limeuteka Mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, waasi hao wameudhibiti mji huo uliopo kando ya Ziwa Kivu, takriban...
Sikumbuki ile siku ilikuwa siku gani kati ya Jumamosi na Jumapili. Nipo na family mwaka jana mwishoni. Tumeenda fanya shopping vitu vya siku kuu.
Tukiwa ndani ukafika muda wa kufunga duka kama sikosei ilikuwa saa 12 jioni. Wahudumu walianza ku harass wateja kuwa either wafanye haraka kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.