Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 4,411
- 6,947
Habari za muda huu wakuu?
Kwa watumiaji wa Home internet (Wi-Fi). Hivi malipo hufanyika kwa mwenendo upi?
a) Nilifikiria huenda wana count idadi ya data unazotumia, hivyo unazilipa mwisho wa mwezi. Mfano GB 20 * 2500, hivyo kulipia 50k
Au (b) Mnakubaliana kiwango fixed cha malipo bila kujali idadi ya GB zilizotumika?
Ipi kati ya hizo namna mbili ni sahihi?
Na je, kampuni ipi inatoa huduma nzuri?