hoja

  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wengi wa manunuzi na ugavi ni wezi na wapigaji. Nipingeni kwa hoja

    Katika kada na kazi zinazoigharimu serikali kifedha ni hawa wataalamu wa manunuzi. Akili zao zipo kuwaza asilimia 10 kutoka kwa mzabuni. Hawa wanufaika ndio wanaoingiza serikali kwenye gharama kubwa sana ili hali wao wakiangalia matumbo.
  2. JamiiForums Tanzania CCM imefanikiwa kuwashinda wapinzani kwa hoja mtandaoni

    Hello JF Members. Tangu kuasisiwa kwa siasa za mitandaoni mwanzoni mwa miaka ya 2010 hakika ni ukweli usiopingika kuwa vyama vya upinzani hasa wachaga na chama Chao,kwakweli walitukaba koo kisawasawa na ukuzingatia chama chetu kilipitia mnyukano wa ndani. Chama tawala tulikuwa na kashfa nyingi...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ana hoja asikilizwe

  4. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

    Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Picha ya Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990 yajibu hoja ya MBOWE juu ya Rais Samia na Kikwete

    Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990. Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa. Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu kabisa , ni ya hovyo, na chuki binafsi. Picha kwa hisani ya maktaba ya Salim Ahmed Salim Digital...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA hoja ya Kikwete ni ya ovyo; ana majukumu ya kimataifa

    Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional organizations,, President Kikwete has dedicated himself to advancing progressive policies for...
  7. JamiiForums Tanzania Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Naomba nende kwenye mada moja kwa moja. Leo Tarehe 27 febr Mh.Khasim Majaliwa, (Mb)na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara wilaya ya Serengeti. Katika ziara hiyo, Mh Waziri Mkuu alifanya kikao na watumishi wa Umma, Katika kikao hicho, baadhi ya viongozi wamejikuta...
  8. JamiiForums Tanzania Hoja ya Mpina kuhusu upasuaji wa kuongeza makalio yazua mjadala Bungeni

    MJADALA mkali umeibuka bungeni kuhusu upasuaji kurekebisha maumbile, ikiwamo kupunguza au kuongeza ukubwa wa makalio katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa (CCM), ndiye aliyeibua zogo bungeni jijini, alipotoa hoja kwamba MNH-Mloganzila imeanzisha huduma hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

    NAMPELEKA MAHAKAMANI MWANAMKE NILIYEZAA NAYE KWA KUSHINDWA KUMHUDUMIA MWANAYE. HOJA NITAKAZOPELEKA MAHAKAMANI NI HIZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Lazima naye ahudumie. Sikumtuma abebe mimba na anizalie mtoto. Wakati tunafanya alivyokuwa anajichetua, kujibinjua, kubiringita, kujipogoa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uhaba wa sukari kujirudia kila mara na kuyumbisha bei sokoni, nini suluhisho la kudumula kutatua tatizo hili?

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja ikihusu TATIZO LA UHABA WA SUKARI KUJIRUDIA KILA MARA NA KUYUMBISHA BEI SOKONI, NINI SULUHISHO LA KUDUMULA KUTATUA TATIZO HILI? Waalikwa walikuwa kutoka Bodi ya sukari, kutoka Wizara ya Kilimo na wote waliingia mitini. Yaliyozungumzwa pale yanatisha. Kumbe...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi hapa hoja za Jaji wa Uganda aliyesimamia ukweli kule ICJ

    Yeye hakuunga mkono upande wowote, alisimamia ukweli na kusema tatizo la pale Palestina ni la kihistoria na linapaswa kutatuliwa kidiplomasia, kasema kesi za kisiasa haziwezi kutatua lile tatizo. Na ndio ukweli wenyewe maana hata hiyo ICJ ilishindwa kusema chochote zaidi ya kuomba Israel iwe...
  12. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pamoja na UCCM wangu, CHADEMA wana hoja ya kitaifa waachwe waseme kupitia maandamano

    Hizi ni hesabu za kijinga sana kuwazuia CHADEMA kuandamana. Kwanza watazuia nini? Ni nchi ipi duniani watu hawaandamani? WanaCCM wenzangu tutambue kuwa kama Kuna jambo CHADEMA ya Mbowe imefanikiwa ni kukubalika katika jumuiya za Kimataifa. Tutakosea sana kuzuia maandamano yake tena kwa kutumia...
  13. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya "minimum reforms" za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!

    Wanabodi, Kwa kadri siku zinavyokwenda na miaka inavyopita, ndivyo wazee wanavyopita na vijana kuchipukia, hivyo sisi tuliokuwepo enzi za Tume ya Jaji Nyalali kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu kuendelea na mfumo wa chama kimoja au vyama vingi, asilimia 80% ya Watanzania walitaka tuendelee na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel acha kupotosha maudhui ya hoja ya Mpina kuhusu makalio

    Dk. Mollel Naibu Waziri wa Afya acha kutumia ofisi na kodi za umma kuendesha propaganda na kupotosha maudhui ya hoja ya Mheshimiwa Mpina kuhusu Hospitali za Umma kutoa huduma za kuongeza Makalio badala ya kutumia fedha hizo kuboresha huduma za afya za msingi. Kama umeamua kumjibu Mpina hoja...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Pendekezo mbadala kwa hoja ya CHADEMA kuhusu usimamizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wasalaamu wanaJF, Tunapozungumzia National reconcilliation tunamaanisha kuwa lazima kuwe na give and take. Ipo hoja iliyobakia kutoka kwa wanachadema ya kwamba marekebisho katika kanuni au uratibu na usimamizi wa chaguzi zinazohusi viongozi ngazi ya Serikali za mitaa ujikite kwenye kupoka na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa hii hoja, CHADEMA na Mbowe wamenisikitisha sana

    Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ni mzalendo na Mpenda kusimamia ukweli Kiufupi sina chama chochote cha siasa ila nimekuwa anti-CCM kwa Muda mrefu isipokuwa kipindi cha magufuli(mambo mengi nilimwelewa) Kiukweli maandamano ya chadema ni maandamano ya ambayo sijayaelewa maana hayana kichwa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gharama zitazoongezeka endapo hoja ya CHADEMA kuongeza idadi ya wabunge itapita

    Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu. Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

    Leo nimeamua kuwapongeza CHADEMA kwa kuonyesha weledi wa kisiasa kwa kutoa maoni yao kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi. Safari hii ufipa wamejitahidi tofauti na wakati mwingine. Hata kama sikubaliani na maoni yao yote ila nakubaliana na namna walivyojitahidi kupanga hoja zao. Nawapongeza...
  19. JamiiForums Tanzania Hoja zipi zinakufanya kuchagua au kutochagua CCM, pia ni hoja ipi inakufanya uone kuwa upinzani ni mbadala wa CCM?

    Demokrasia imetutupatia machaguzi mengi ila tunahitaji kufanya au kuchukua uamuzi ambao ni busara zetu pekee zinaweza kuamua mustakabali wa jamii yetu kwa sasa na hata kwa baadae Siasa ni maamuzi ya kisera ambayo yanayojumuisha uchumi,jamii na utamaduni hivyo kwenye siasa ndio uwanja pekee...
  20. JamiiForums Tanzania Hoja binafsi kwa Polisi Mikumi na unyanyasaji

    Nakuja kwenye hoja, nimeona na kusikia kuhusu unyanyasaji na ushamba wa madaraka kwa polisi wa Mikumi wakiongozwa na DTO wao. Nimefatilia na kupewa habari za pale mikumi, wanakama raia hovyo, kubambikiwa kesi na wengine kukaa / kulala vituona kwa zaidi ya siku 3 bila huduma muhimu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…