hoja

  1. R

    #COVID19 Approach sahihi kwa Askofu Gwajima ilikuwa kumuandalia mdahalo na wataalamu wa tiba wamjibu hoja zake

    Wamekosea sana kumpeleka kuhojiwa kwenye kamati za vitisho na polisi kwa sababu huko ataibuka mshindi tu kwani hawataweza kujibu hoja zake. Na kwa kuwa wameshamtisha na akaonyesha ushupavu wa kutotishika atazidi kuwa maarufu. Na wakikosea zaidi wakamuumiza popote, au hata wakimfukuza ubunge...
  2. J

    Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

    Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini. Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
  3. MR TOXIC

    #COVID19 Hoja za Askofu Gwajima zimewaumbua wataalam wetu na waliomuingiza 'mkenge' Rais Samia kwenye chanjo ya Corona

    Nilitegemea wataalam wetu wa afya pamoja na washauri wa Rais waliomshauri kuagiza chanjo ya corona watakuwa mstari wa mbele kujibu hoja za askofu badala yake wamekuwa watu wa kumshambulia yeye binafsi na kumpa vitisho badala ya kujibu hoza zake kitaalam. Katika hoja ya kwanza, Askofu gwajima...
  4. Slowly

    Hoja Saba za Zitto Zuberi Kabwe kwa yanayoendelea nchini

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter anaandika Zitto. 1.Rais na Serikali yake wanajua wazi kuwa Mbowe Si gaidi,na hilo watanzania wote wanalifahamu kuendelea kumshikilia kwa mashtaka ya kubumba kunaenda kufuta matumaini ya dunia kwa Raisi Samia kuwa Tanzania ilianza kurudi ktk misingi ya Demokrasia...
  5. Venus Star

    #COVID19 Hoja za Askofu Gwajima wameshindwa kuzijibu

    Askofu Gwajima alitoa hoja nzito na anaendelea kutoa hoja nzito. Akina Kigwangala na wenzake wanakuja na hoja nyepesi. Wengine wanakuja na hoja za kitoto eti Gwajima afukuzwe oh! Auliwe. Ni upuuzi. 1. Hoja ya kwanza kwanini chanjo zingine hazina fomu ya kujaza. Lakini chanjo ya korona unajaza...
  6. safuher

    #COVID19 Hoja za baadhi ya Watanzania kuhusu kukataa chanjo bado ni dhaifu sana

    Watanzania hawaishiwi hoja kwa kweli. ETI Katika hoja wanazotumia wanasema eti chanjo gani ambayo serikali imejitoa kabisa kwamba litakalokupata wao hawawajibiki kwa lolote? Watanzania wamesahau kwamba hata ukienda hospitali una haki ya kukataa kutibiwa, una haki ya kukataa sawa, una haki ya...
  7. N

    #COVID19 Wajinga wameibuka na hoja kwamba waliochomwa jana sio chanjo ni maji!

    Hakika Mzee wetu Lowassa alikua sahihi sana kisema kipaumbele chake ni ELIMU, ELIMU, ELIMU Rais Samia unakazi sana kuongoza vichwa vya namna hii. Mtu unamuuliza nipe sababu za kukataa chanjo anakwambia mbona chanjo ya malaria na UKIMWI wazungu bado hawajaigundua, hivi hizi ni akili za...
  8. J

    Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

    Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025 Roho wa Bwana akamshukia mtumishi wake Jerry Slaa mbunge wa Ukonga naye akajibu; Wabunge tuanze kulipa kodi. Labda kama Spika ana swali...
  9. C

    Wabunge wa CCM wanavyoeleza kero Bungeni ni kichekesho

    Wakuu, Mtiririko hua uko hivi: Mhe. Spika anasema anayefuatia kuchangia ni Mheshimiwa kipele uchungu, mheshimiwa mbunge kipele uchungu anaanza: 1. Kwanza Namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma 2. Pili nakushukuru wewe mheshimiwa spika kwa jinsi unavoongoza vizuri bunge letu 3. Tatu...
  10. T

    Wanaharakati wa Katiba Mpya, jibuni hoja za Anthony Diallo

    YA MUHIMU zaidi ya mauza uza ya Rais aliyeenda Mirembe, kwenye mazungumzo yake Anthony Diallo alisema: Katika nchi zetu za Kiafrika Li Katiba linaweza likawekwa pembeni na watu wakaemdelea na ya kwao tu... mtamfanya nini? Kwani 2005 Zanzibar hakukuwa na Tume Huru? Hakukuwa na CUF kwenye tume...
  11. Ngamanya Kitangalala

    Ni muhimu kwa viongozi wetu wa kisiasa kuchagua maneno sahihi ya kujibu hoja za wananchi

    Nakumbuka awamu ya tatu wakati serikali ikitaka kununua ndege ya Rais aina ya Gulfstream G550 kwa thamani ya bilioni 46 Watanzania walio wengi, walionyesha kupinga hatua hiyo, kwa kuzingatia hali ya uchumi ya nchi yetu kwa wakati huo Lakini, aliyekuwa waziri wa fedha wa wakati huo, mzee...
  12. D

    Baadhi ya mawaziri wakiongea hawatofautiani na viongozi wa vyuo vikuu kwa hoja za kitoto

    Kuna mawaziri wengine sijui kama huwa wanajisikiliza wakiongea! Nasema hivi kwasababu, ukisikiliza presentation ya baadhi ya mawaziri utagundua kabisa inchi yetu hii ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa na kutuacha na mabarango. Waziri wa fedha kila nikimsikiliza naona...
  13. B

    #COVID19 Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

    Kama mwuungwana tokea pande za Pwani niliyeukataa ukanjanja katika nyanja zote, nina lazimika kutia neno juu ya maneno ya hekima yake Mwamba Aboubakar Laigwanan Mbowe (Mola amjalie maisha marefu). Uhalisia kuhusiana na chanjo yoyote ni huu hapa: "Chanjo ina maana kama tu idadi kubwa na ya...
  14. jingalao

    Hoja sio ukubwa wa tozo bali matumizi sahihi

    Kuna mdau amenihoji nini msimamo wangu kuhusu hizi tozo au tuseme sakata la Tozo. Nitamjibu bila unafiki... Mimi ni muumini wa nchi kujitegemea na kujiendesha kikamilifu kwani hiyo ndio maana kamili ya uhuru. Haiwezekani kwa miaka yote hiyo tangu uhuru tuendelee...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Kwanini Chadema hatuna hoja kama hizi? Tubadilike.

    "Zao la korosho pekee linatutosha sana watu wa kusini kuondosha umasikini lakini chama tawala hawataki watu wa Kusini tuondokane na umasikini. Sasa dawa yao ni kuwaondosha madarakani" Isihaka Mchinjita ( @Isihakamchinji1 ) Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Mkoa wa Lindi. https://t.co/RLYYxU4KGP
  16. B

    Hoja za msingi za Warioba zilivyopotoshwa juu ya Katiba Mpya

    Mzee Warioba akiongea katika kipindi cha dak 45 cha ITV, alikuwa na hoja za msingi. Katika hizo, la msingi zaidi kwa taifa, alisema: “A new constitution is a must,” he said. “The draft constitution reflected the citizens’ views and their recommendations of how this nation is supposed to be...
  17. M

    Kwanini watu wengi hawapendi mafanikio ya wengine?

    Hivi ni kwanini siku hizi watu wengi hawapendi mafanikio ya MTU? Hivi jirani au ndugu na rafiki wanachukiaje mafanikio yako na wakati mtoa riziki ni Mungu. Hizi tabia zimekidhili sana katika jamii sasa jamani nawaomba wenye tabia za hivo wabadilike.
  18. Erythrocyte

    Napinga hoja ya RC Makalla ya kulazimisha Mabasi yote ya Mikoani kupakia na kushusha abiria Stendi ya Magufuli pekee

    Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni, bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya mikoani kuanzia safari zao kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis, kinachoitwa kituo cha...
  19. Rama N Ally

    Ni muhimu kushindana kwa hoja katika kuidai au kuipinga Katiba Mpya

    Wanaotaka katiba mpya na wasioitaka wote ni watanzania. Katiba mpya siyo chokochoko wala chanzo Cha uhasama, isiwe chanzo cha machafuko au kupeana majina mabaya kama ya usaliti, adui wa maendeleo, kutumika na ubeberu, udikteta , n.k. Hoja za pande zote ziheshimiwe na kuwekwa mezani. Ni muhimu...
Back
Top Bottom