Wachezaji wa Kigeni wa Simba SC watakaotoka tu hizi nchi nitawapenda na Kuwaamini

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,721
109,157
1. Zambia
2. Congo DR
3. Ivory Coast
4. Ghana
5. Senegal
6. South Africa
7. Uganda
8. Cameroon
9. Zimbabwe
10. Mali
11. Sudan
12. Mozambique

Wasipotokea katika nchi nilizotaja hapa Simba SC isahau Mafanikio hata kwa Msimu ujao wa 2023 / 2024.

Idadi ya Wachezaji wa Kigeni wanaotakiwa na TFF ni Kumi na Mbili ( 12 ) na hapa GENTAMYCINE nimezitaja Nchi hizo hizo Kumi na Mbili ( 12 ) hivyo ukiwa una Akili Kubwa utajua nimemasnisha nini na nataka kipi kifanyike.
 
Tumisang Orebonye anatokea Botswana akishushwa Yule Leo ..timu yeyote hapa nchini ...msiba utakuwa mkubwa Kwa wengine
Botswana hakuna Wachezaji kuna Waeneza UKIMWI tupu tu. Simba SC ikisajili huko nitaidharau mno.
 
1. Zambia
2. Congo DR
3. Ivory Coast
4. Ghana
5. Senegal
6. South Africa
7. Uganda
8. Cameroon
9. Zimbabwe
10. Mali
11. Sudan
12. Mozambique

Wasipotokea katika nchi nilizotaja hapa Simba SC isahau Mafanikio hata kwa Msimu ujao wa 2023 / 2024.

Idadi ya Wachezaji wa Kigeni wanaotakiwa na TFF ni Kumi na Mbili ( 12 ) na hapa GENTAMYCINE nimezitaja Nchi hizo hizo Kumi na Mbili ( 12 ) hivyo ukiwa una Akili Kubwa utajua nimemasnisha nini na nataka kipi kifanyike.
South Africa sahau koz Sheria zao haziruhusi mchezaji kucheza ligi za africa alitokea PSL,,tau p was expectional koz alitokea Brighton kwenda al alhy.
 
Na yule Chivavelo wa Malumo Gallants mbona tumeambiwa anakuja Yanga?

Sababu ya kutoona Wasouth Africa kwenye ligi za nchi za Africa ni kwamba kwao kuna maslahi bora zaidi.
 
Sababu ya kutoona Wasouth Africa kwenye ligi za nchi za Africa ni kwamba kwao kuna maslahi bora zaid

Na yule Chivavelo wa Malumo Gallants mbona tumeambiwa anakuja Yanga?

Sababu ya kutoona Wasouth Africa kwenye ligi za nchi za Africa ni kwamba kwao kuna maslahi bora zaidi.
Mbwembwe tuu za simba na yanga lkn ukweli wanaujua ndug
 
Back
Top Bottom