Wanaume siku hizi tunalalamika kukosa nguvu za kiume lakini kuna baadhi ya mambo hatuyazingatii

Phdum

JF-Expert Member
Apr 15, 2019
812
1,667
Kama mada inavyosema , siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kulalamika kukosa nguvu za kiume.
Kwenye tatizo hili wamegawanyika makundi makundi lakini leo nitaongelea kundi la wale wenye kimoja chali. Hapa unakuta mwanaume anakuwa na hamu lakini roundi ya kwanza tu hana tena hamu ya kuendelea lakin hata hiyo round ya kwanza hamalizi hata sek 30.

HIZI NI BAADHI/SABABU ZINAZOCHANGIA MWANAMME KUSHINDWA KUMUDU TENDO LA NDOA VIZURI.
hizi sababu sio za kisayansi ila ni kwa kuzingatia uzoefu.
  1. Mazoezi, ili uweze kudumu na kuwa na pumzi ni lazima uwe na mazoezi ya kutosha hasa push up, kata tumbo n.k hapa ndio vijana wengu tunaangukia pua maana mazoezi mpaka tushauriwe na madaktari.

  2. Unywaji wa maji, hili nalo ni janga kuna watu wanakunywa glass moja tu ya maji kwa siku je unadhan utaweza kufanya vizur kwenye 6*6?

  3. Matumizi ya vyakula mfano ugali wa sembe, mboga aina ya chainizi pia hupunguza saana hamu ya tendo pia epuka sana limao ya unga hupunguza saana hamu ya tendo la ndoa.

  4. Kujichua. jamani acheni kutazama picha za X lakini pia usipende kukaa mpweke bila kazi hali ambayo itakupelekea kuwa na mawazo ya kujichua, nasikia siku hizi kuna chama cha chaputa😥.

  5. Ukiwa kwenye tendo usiwe na papara tuliza akili yako muone huyo kama mtu wa kawaida saana.

  6. Jitahidi sana usitumie nguvu nyingi kwenye kukojoa bao la kwanza . Hii hapa n siri ya ma experts tu wa hayo mambo ukizingatia hili ipo siku utakuja kunishukuru baadae. tena ikiwezekena Ukiskia bao linakuja chomoa mwaga nje kwan kwa kufanya hivi utapunguza matumizi ya nguvu nyingi.

  7. Kuwa na kitambi cha wastani. Kitambi kikizidi sana kinapunguza ufanisi kitandani.

  8. Ongezea
 
Huu uzi hauna jipya. Ndugu mshauri nadhani sababu kuu isiyotajwa na stress za maisha hasa kuwa na kipato duni kinachokaribisha madeni. Hapo unaposema wachague vyakula naona umeamua aidha kwa makusudi au kutojua kwamba watu wengi wanakula ili tu kuzuia msiba na sio kula kupata afya. Watu wa wengi wa uswahilini akiamka hajui atakula nini kwahiyo kitakachopatikana ndo kinaliwa. Pia hapo kwenye mazoezi kwa wengi ni pagumu kwa sababu màisha yao yana mazoezi mengi tu kwa siku. Kuna mtu kila siku anatoka Kigogo hadi Kariakoo kwa miguu na kurudi kwa kupita shortcut ya Msimbazi Bondeni.

Hapo sababu yenye mashiko ni moja tu. KUJICHUA. Hiyo kila mtu anaweza kujizuia. Kimsingi kila mtu apambane na hali yake.
 
nasikia siku hizi kuna chama cha chaputa😥.
sera yetu 'sheria mkononi, amani moyoni'
imageedit_2_9126229852.jpg
 
Back
Top Bottom