historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Historia ya Tanzania

    Historia ya Tanzania ilianza na wakoloni wa Ulaya. Karne ya 18 ilikuwa na dola ndogo za miji katika mwambao baada ya kukaliwa na waarabu kutoka Oman. Ilikuwa karne 7 baadae mwaka 1499 wakati baharia wa Kireno Vasco da Gama alipotembela visiwa vya Zanzibar. Baada ya takribani miaka 100 au kabla...
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Historia ya Simba na Yanga

    Yanga na Simba zilianzishwa mwaka 1935 na 1936 baada ya kutokea mvurugano baina ya viongozi wa pande hizo mbili. Yanga ndio timu kongwe zaidi Tanzania ilianza 1935 wakati Simba ikitokea ubavuni mwa Yanga baada ya mvurugano huo na kuunda timu nyingine inayoitwa Sunderland. Lengo sio kutaja...
  3. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Anayeijua kwa ufasaha historia ya Sayyid Othman Bin Muhammad Nur

    Jamani samahanini wadau naomba kuuliza kwa wale wakali wa QADIRIYA kuna yeyote anayeijua kwa ufasaha historia ya SAYYID OTHMAN BIN MUHAMMAD NUR wa Tunduni Mchangani Zanzibar? Kama yupo tafadhali naomba atujuze maana nimeitafuta kila sehemu lakini sijaipata wala hakuna vitabu vinavyomuelezea...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Vifo vimekuwa vingi, ni wakati wa kutafakari ni historia gani unaiacha kwenye akaunti zako za mitandao ya kijamii

    Nilipata ujumbe kutoka FB ulioandikwa " (pamoja na picha yake ya profile) ni siku yake ya kuzaliwa, wasiliana nae umtakie heri ya siku ya kuzaliwa". Huyu mtu alifariki miaka kama mitano nyuma sasa sijajua kwann FB haikufuta akaunti yake. Hayupo, ila ameacha alichokiacha kwenye mtandao wa jamii...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu

    Habari za mida wana JamiiForums. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli. Kifupi nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita. Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Somo la historia ya Tanzania kuanza kufundishwa Machi 2021

    Somo la historia ya Tanzania litaanza kufundishwa katika shule za msingi kuanzia Machi, 2021 baada ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kukamilisha uandishi wa rasimu na mihtasari. Hatua hiyo ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli alilolitoa wakati akiwaapisha mawaziri Desemba 9, 2020...
  7. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Seif Sharif Hamad ni siasa na historia ya Zanzibar

    Hili ni uhakika, haiwezekani kueleza siasa za Zanzibar na mabadiliko ya kizazi kwa kizazi pasipo kuwa na kurasa nyingi za kufafanua na kuchambua uhusika wa Seif Sharif Hamad. Na huwezi kuitaja historia ya Zanzibar na nyakati zake bila jina la Seif. Kwa miongo minne, Seif aliweza kujitengeneza...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Historia itakuza uzalendo au tujikite kupata katiba yakusimamia haki?

    Tunakwenda kutafuta uzalendo kwenye historia Leo hii karne ya 21, karne ambayo watu awataki kupoteza muda kusoma vitu visivyo na tija maishani Bali wanawaza kuwaza namna yakufanya ubunifu katika kila ngazi ya maisha. Je, uzalendo wetu umepotea kwa sababu watu awajui historia au kwa sababu mfumo...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Somo la Historia litafundishwa rasmi kwa Kiswahili au kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku Somo la Sasa likibaki Kama kawaida?

    Najiuliza swali Hili: Kutakuwa na masomo mawili ya Historia huku somo la Sasa likiendelea kufundishwa kwa kingereza? Je kutakuwa na somo jipya la Historia ya Tanzania litakofundishwa kwa kiswahili kuanzia daraasa la kwanza hadi form six ambalo ni la lazima? Kimbukeni Rais kasema Historia ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

    Lengo kubwa la somo la historia ni kumfanya mwanadamu ajifunze yaliyopita ulimwenguni kote (siyo Tanzania tu) na hivyo kumwepusha kurudia makosa ya huko nyuma. Na wala siyo kufundisha uzalendo. BTW, nani kamdanganya JPM kuwa uzalendo unafundishwa darasani? Uzalendo maana yake ni upendo wa raia...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuingiza siasa kwenye elimu ni kitu kibaya sana. Sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuanzisha somo la Historia ya Tanzania

    Tumekuwa tukipiga kelele kuhusu matatizo yaliyopo kwenye mfumo wetu wa elimu. Miongoni mwa matatizo hayo ni pamoja na mitaala inayotumika kutowapa wanafunzi maarifa na uwezo wa kujitegemea baada ya kumaliza masomo yao. Cha kushangaza badala ya kuumiza vichwa kutafuta suluhu ya haya matatizo...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha wazee wazalendo kinapowafunika na kuwaziba watoto na wajukuu: Historia ya Kleist Abdu Sykes (1950 - 2017) & Bakari H Mwapachu (1939 - 2021)

    KIVULI CHA WAZEE WAZALENDO KINAPOWAFUNIKA NA KUWAZIBA WATOTO NA WAJUKUU: HISTORIA YA KLEIST ABDULWAHID SYKES (1950 - 2017) NA BAKARI HARITH MWAPACHU (1939 - 2021) Jana baada ya kifo cha Bakari Harith Mwapachu niliombwa niandike taazia yake. Nami nikajibu kuwa sikuwa namfahamu marehemu kwa...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Buriani Bi. Zainab Sykes, mhifadhi wa hazina ya nyaraka za historia ya kupigania huru wa Tanganyika baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu

    BURIANI BI. ZAINAB SYKES MUHIFADHI WA HAZINA YA NYARAKA ZA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Baada ya kupata taarifa ya msiba wa mama yangu Bi. Zainab Sykes baada ya mshtuko kupita niliinamisha kichwa nikarejea utotoni na nikajaribu kukumbuka mama zangu ambao kwa hakika nilikuwa na...
  14. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Azam acheni kupotosha jina la Uwanja wa Mkapa

    Ati wanaita estadio de Mkapa, sijui ni mbwembwe au nini? Kiswahili kina misamiati mingi, kwann isitumike badala ya kuweka maneno ya kireno? Mzee kajenga uwanja kwa heshima ya nchi na mpira. Japo hakuwa mtu wa mpira. Kampeni heshima yake hizo mbwembwe za ESTADIO DE MKAPA ZINAKERA WENGI.
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mzee Kissinger wa Mtaa wa Congo: Chuo kikuu cha historia

    Mzee Kissinger huniambia, ''Wewe Mohamed mimi nimekusomesha wapi?'' Mimi huwa simjibu kitu nashukuru na kama nimefuata kujua kitu kutoka kwake nitamuuliza na palepale mwalimu wangu ataniangusha ''lecture'' ya maana. Vijana wengi wamekuwa wakija kwangu wakitaka kufahamu historia ya kweli ya...
  16. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Kwanini kati historia mkoloni hakuwahi kufanikiwa kuwatawala wamasai kama makabila mengine

    Nimeona niulize swali hiyo kwenye ukurasa huu wa Historia pengine kuna watu walionizidi umri kama kina mzee Mohamed Said wanaweza kuchangia
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwenye historia ya nchi yetu kuna mbunge amewahi peleka muswada na ukawa Sheria? Mwananchi wa kawaida anaweza andaa muswada akapeleka Bungeni?

    Bunge ndiyo linatunga sheria lakini mimi nimeona sehemu kubwa miswada huwa inatoka wizarani au kwenye taasisi za serikali. Sijawahi sikia mbunge ametoa mswada na baadaye umekuwa sheria. Imewahi tokea kwenye historia yetu mbunge katoa mswada na umekuwa sheria? Wenzetu unakuta hata hiyo sheria...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

    Rais mstaafu wa awamu ya 4, Mh. Mrisho Jakaya Kikwete amesema kwa sasa anaandika kitabu cha historia ya maisha yake ambacho kitaelezea mambo aliyoshiriki, aliyoyashuhudia na aliyoyaona katika maisha yake binafsi na yale ya siasa. Kikwete amesema hayo wakati wa mahojiano na mwandishi Salama...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Historia ya Sajenti Mbavu Moya katika Vita ya Kwanza ya Dunia (WWI)

    Nyarugusu, Tanzania Source : Tanganyika TV VITA VYA DUNIA HISTORIA YA MBAVU MOYA April 14, 2020 SHUJAA TOKA TARAFANI FIZI Wakati huu wa kumbukumbu la Vita vya Kwanza vya Dunia (Première Guerre mondiale ) vya 1914-1918 ambavyo uitwa pia "Vita vikuu" (Grande guerre),tumkumbuke afisa...
  20. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tujuzane historia ya Tanzania toka uhuru hadi sasa.

    Najua historia ina mambo mengi na mtu mmoja hawezi elezea yote. Tuelezee sehemu unayoifahamu. Mkusanyiko ukiwa mkubwa tutapata mwanga. Tujuzane kuhusu historia ya elimu, siasa, uchumi, ulinzi, biashara, kilimo, dini, bunge, mahakama, habari, teknolojia, haki, ufugaji, uvuvi, uhalifu, madini...
Back
Top Bottom