hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ya watu zaidi 500 kuuliwa na wakakili , inaweza kuwatoa madarakani?

    Wazalendo Hatuhitaji sababu nyingine ya kuwatoa wauaji madarakani, kama ulikuwa hauamini juu ya utekaji labda ulikuwa ukiona watu wanajiteka wenyewe Kwa wenyewe basi itoshe kusema kuwa hatuna sababu nyingine ya kuwatoa Hawa wahuni madalakani watu zaidi ya 500 wameuawa na wamethibitisha kuwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Sababu Wamiliki Wa Kampuni Hujikuta na Madeni ya Kodi

    Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi? Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi. Na hii inasababishwa na mambo mawili; 1. Kutoku file...
  3. JamiiForums Tanzania Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

    Ndugu zangu wanajf, Hili ni jambo linaloumiza akili yangu sana. Sipo kwenye mahusiano yoyote rasmi ila kuhusu uzinzi kila nikitaka kuita dem gheto najikuta nina dilemma hii kubwa. Je ngono itaongeza nini kwangu, swali hili hunifanya niishie kujichukulia sheria mkononi baada ya kutathamini...
  4. JamiiForums Tanzania Christians, hii ndiyo sababu walikuja Afrika!

    pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent. ikumbukwe kwamba there's no way afrika ingebakia neutral hivyo ilikuwa ni aidha iende islamic yote kuanzia...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Tiba ya ndoa hii hapa

    SIKILIZA kwa umakini utajifumza na ndoa Yako itastawi au utawsaidia wengi https://youtu.be/EE1cGJZuNmo?si=u8Fa9QNg-n9F9wkO
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndio ngoma ya kiingereza ninayoweza kuiimba mwanzo mwisho

    https://youtu.be/N6O2ncUKvlg?si=nuAR6g3nr-ZE7494 Hii ndio ngoma pekee naweza kuiimba mashairi yake mwanzo mwisho yaani😆😆😆😆😆🤣.. I'm proud of myself yaani... Ukimaind it's up to yeah.
  7. JamiiForums Tanzania Kuna watu ni washamba unajua kwanini hii ni maajabu, demu akiwa Instagram haliwi? Plus big size model wanauza hamjui

    Kuna kasumba hapa kwamba demu akiwa instagram haliwi kwanza kuna hawa akina Chizi Maarifa na Yule Mwingine ntamtag later wanadhani mwanamke akiwa instagram hafikiwi, ndo tunaishi nao huku, mi level zangu si samaki samaki au sijui chabibwa! Am more than that, sikutaka hawali kuwa naweka weka ma...
  8. JamiiForums Tanzania Hii Simba na hamasa ni mbegu

    Nilichoshuhudia leo parade ya Simba Sports nimejiuliza sana kwanini hamasa ya mashabiki wa Simba ni kubwa mno by far! Lakini nikamkumbuka yule mtu aliyeijenga hii na haya ni matunda yake! Haji Manara! Hizi timu zina hamasa lakini Manara alipanda mbegu ya mashabiki vichaa wa Simba na zaidi...
  9. JamiiForums Tanzania Hii imenisikitisha sana hivyo sitalikalia wazi nitaliongea wa kujifunza ajifunze wa kunirushia mawe arushe

    Kuna kitu nimekishuhudia weekend hii ngoja nisimulie hapa labda mtajifunza hasa wazazi. Ijumaa nilikua chimbo moja nimekaa peke yangu natafakari ugumu wa maisha na harakati zake huku nasubiri mdada ambae tulikua na miadi nae, ni aina ya wale mabinti dishi limeyumba ila wazuri balaa, dkk 1...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi hii hali inawapata hawa gen zee wala kiepe?

    Nikiwa nje ya mkoa kikaz bibi anabaki darisalama. Ikiwa nimekata mwezi mzima bila kukutana na bibi enu najikuta kuna muda napata ashiki hata niking'ang'ania nguzo ya umeme namwaga wazungu. Na vilevile mida ya asb kama saa Kumi na moja wazungu wanamwagika kama balaa. Nikawa najiuliza kwa kula...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi hii psychology ya wanawake kuplay hard to get, nani huwafundisha?

    Kuna hii tendency umemtokea demu, au labda yeye ndo katokea kukupa sign kabisa... Labda uko zako restruant unapata zako msosi then anakuwa anakupa jicho flan hivi mischievous.. Then kama beberu usipofanya lolote unaonekana boya, haya basi unamtokea unachukua namba then unaanza process. Ila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3

    VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3 Maana kila Tukifatilia VETA Makao Makuu Tunaambiwa Wanasubiri Sheria Ibadilishwe Ya Kupata Vyeti Iliyopo Sasa Hivi Hukipata Cheti kikipote Ndio Imeisha Hivyo Je? Bunge...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ina majeshi mangapi? Jeshi la Shehe Mwaipopo lipo kwa mujibu wa Katiba ipi?

    Ninavyoelewa hii nchi ina majeshi rasmi na Yana majukumu Kwan mujibu wa katiba JWTZ Jeshi la polisi Jeshi la magereza Jeshi la uhamiaji Na Maaskari game Kikosi Cha kutuliza fujo/ghasia ni FFU lipo ndani ya Jeshi la polisi Hichi kikosi Cha mwaipopo lipo Kwan mujibu wa Sheria ipi? Na...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya kuku??

    Leo nimepita maeneo flani hapa dar nikaona kuku ambao sijawaelewa. Paja lake tuu wanauza 15,000 Hilo paja ni nene sana Lina nyama nyingi uzito ni zaidi ya kg1 Shingo yake ni ndefu sana halafu nene mno. Hii ni mbegu aina gan ya kuku? Mfupa wake ni ngumu kama wa mbuzi kuuvunja lazima upige panga
  15. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni fundi Umeme wa viwandani Jaribu hii nafasi ya kazi........

  16. JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Utabiri wako ni upi hii raundi ya 16

  18. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni Lushoto Karibu kwa uwekezaji wa KILIMO Cha umwagiliaji mda wote,

    Kijiji cha Lunguza Kata ya Lunguza Wiraya ya Lushoto Mashamba yapo 0772582186, bei Kati ya laki na nusu, laki mbili mpaka laki tatu kutegemeana na shamba , yapo ya kumwagia kwa pump na yapo ya kutumia maji yanayotoka mlimani bila pamp ,
  19. JamiiForums Tanzania Wikiendi hii tuende wapi?

    Maisha ni kujipa furaha pale unapopata nafasi, maisha hayahitaji usiriazi sanaa, kama vile unataka kuvumbua sayari yako. Yote yanapita, muhimu kuipa furaha nafsi kwa kuwa wote tunaishi mara moja. Nipo tayari kwa mtoko wa wikiendi. Wananzengo, wikiendi hii tuende wapi?
  20. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nikiingia nae 'room' ngoma inagoma. Nachokomaje?

    Salamu wakuu Nina ishu serious inanisumbua akili mpaka sielewi nifanyeje kama kuna mtu imewah kumtokea naomba anisaidie mbinu alizotumia Mkasa mzima uko hivi, Nina demu wangu hivi nampenda lakini yeye pia ananipenda kwa ninavyomuona Changamoto inakuja demu nikiingia nae ngoma inagoma Na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…