hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kumbe Buza ni sehemu nzuri namna hii

    Kumbe ni sehemu tulivu pazuri kuliko hata Sinza ni watu tu waliamua kutuaminisha ujinga
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sector ya sheria (legal services) haizalishi ma billionaire ilhali huduma hii ina demand siku zote ??

    Kwanini Sector ya sheria (legal services) haizalishi ma billionaire ilhali huduma hii ina demand siku zote ??
  3. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Je hii ni kweli: Baada ya kutoka Urusi kaenda Oman Ujombani?

    Taarifa za kufuatilia mienendo ya ndege imeonesha Mheshimiwa Rais kaende Oman baada ya kutoka Russia. Je kwanini kaenda huko bila kutoa taarifa? Je ndege ikipata hitilafu na ikatokea ajali huko, watatuambia nini sisi tuliomchagua?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anatumia matatizo ya wananchi kujijenga kibinafsi ingawa mbinu hii ni zilipendwa! Anatamani matatizo ya watu yawe mengi!

    Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye. Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Putin na Hassan combination hii inamaana gani?Samia ni Mama

    Mheshimiwa Rais Vladimir Putin mnadhani hajui kilichotokea Oktoba 2025 lakini jibu ni simple tu. UKweli ni Kilichotekea ni sheria imefanya kazi yake na ndiyo maana kaungwa mkono na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin .
  6. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha hii ya Aziz Ki akifunga ndoa ni halisi?

    Wakuu nimekutana na watu wanapost huko X kuwa Mchezaji Aziz Ki amevuta jiko lingine
  7. T

    JamiiForums Tanzania Leo hii Trump anaomba kukutana na Ayatollah Mojtaba: Kongole Iran

    Raisi Trump amesema anataka kukutana na Ayatollah Mojtaba ili wayamalize😂.. Aise dunia inaenda kasi, kuanzia tumewavuruga, mpaka kuomba kukutana na Mjuba mwenyewe, tutaona mengi sana. Tulimcheka Mrusi anapelekeshwa na Ukraine. Leo hii supa pawa wa wamarekani wa kwa mtogole anaomba poo🤣 Aibu....
  8. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe hii Shule ya Msingi KIBISI mmeamua kuipotezea?

    Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu. Pia soma: ~ Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki ~ Halmashauri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Urojo Mtaaamu, tumia mbinu hii

  10. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya wazee, haijalishi itikadi wala mlengwa wako ila hii ni mbaya sana!

  11. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii Dunia tunayoishi ina miaka zaidi ya bilioni kama tunavoaminishwa na wazungu?

    Ugonile, Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku unatafuna karanga au mahindi ya kuchoma. Katika kukua kwangu nikifanya ulinganifu wa idadi ya watu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ya Makonda na wasanii imebuma, na hii ya Russia itabuma

    Itabuma tu maana ukweli una tabia moja tu: unajitetea wenyewe. Haujitaji mtu kuutetea. Unaweza kuichelewesha, lakini kuna siku utaibuka
  13. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania Hii ni Aibu ya kudumu isiyokuwa na mfano.

    Kumekucha wazee? Ni aibu na inaibisha mtu mwenye umri zaidi ya miaka 50 kungonoka na binti mwenye chini ya miaka 25. Unaanzaje binti ambae ni sawa na mwanao wa mwisho ukawanae falagha eti kisa tu kataka mwenyewe kwa kishawishi cha visent vyako!?, Hivi uoni aibu kumvulia binti yako nguo na...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya Ghana mambo yake kama haipo Africa vile

    Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili! Hivi changamoto hasa...
  15. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Duh, kumbe ndege nao hufanya hii kitu!!! Halafu haina madhara kwao!!

    Masturbation among birds is ‘natural’ and should not be punished, say experts Study finds activity is not harmful or caused by stress of captivity – and is in fact more common in wild birds Mon 1 Jun 2026...
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Katika historia ya mwafrika hii part naichukia sana na inaumiza

  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Walioonesha ujasiri wa kuhoji Wameahidiwa kupandishwa Daraja, Walionyamaza Wakaachwa, Hii Ndiyo Haki?

    Baadhi ya watumishi wanadai kuwa watumishi ajira ya Juni mwaka 2022 waliitwa kwenye kikao na Mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe na kuambiwa hawastahili kupanda madaraja yao na kwamba hata wakifuatilia suala hilo hawatafanikiwa. Hata hivyo, baada ya kikao hicho, watumishi wachache ambao...
  18. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Mbele ya Waziri Mkuu, Mzazi afikisha malalamiko ya mwanae kutekwa na Waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Ni huzuni kwa kweli, mwanamke mmoja huko Itigi - Singida ameeleza kwa uchungu mtoto wake alivyokamatwa na polisi wakamfunga pingu kisha kutokomea nae, mzazi wa mtoto huyo alifatilia kituo cha polisi bila mafanikio ya kumuona mwanae, ni siku 40 zimepita hajui mtoto wake alipo. Ameyaeleza hayo...
  19. Red black

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kibaya kwenye hii Dunia kama “hopes”

    I don't have much to to talk but Hopes ndio always zinaleta maumivu. Ngoja nikale zangu bia.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wazee na uchawi wa mapenzi. Hii imekaaje?

    Jana mtaani kwetu kulikuwa na mechi ya timu ya mtaani kwetu vs timu kutoka Mbande. Sasa Upande nilio kuwa nimekaa kulikuwa na wazee wa kiislamu kadhaa wakawa wanapiga story kuhusu wanawake.. Mada ikawa kuhusu uchawi wa mapenzi.. Kati Yao kuna mmoja ana kama miaka 60 akawa anasema anawashangaa...
Back
Top Bottom