Christians, hii ndiyo sababu walikuja Afrika!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,415
Reaction score
17,713
pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent.
ikumbukwe kwamba there's no way afrika ingebakia neutral hivyo ilikuwa ni aidha iende islamic yote kuanzia rasi ya tumaini jema (cape good hope) south afrika mpaka cairo au Christians waingilie kuzuia.

muslims conquest of north afrika mpaka west afrika tayari ilivamiwa na majeshi ya islam na kugeuzwa islamic, hakuna ambacho kingezuia majeshi ya islam kuchukua bara lote kama Christians wasingekuja na push back on islam ...

1783406717727.png
 
Lengo la ujio wa ukristo ilikua ni ukoloni full stop. Ni kweli kukikua na suppression of Islam after the arrival of Europeans lakini haikua shabaha kuu. Maana ukisema hivo vipi kuhusu "kakure kirishitan" kule Japan nako walikua wanafukuza waislam????
 
Nikikumbuka Dar ilivyokuwa miaka ya 80 na 90, acheni makanisa yaongezeke ili pa balance.
 
Lengo la ujio wa ukristo ilikua ni ukoloni full stop. Ni kweli kukikua na suppression of Islam after the arrival of Europeans lakini haikua shabaha kuu. Maana ukisema hivo vipi kuhusu "kakure kirishitan" kule Japan nako walikua wanafukuza waislam????

umedanganywa na communists, kwanza Christians wali-invest zaidi afrika klk walivyonufaika, why is that? wengi hamuelewi na mnafichwa khs historia ya islam, hivi unafahama kwamba muslims walivamia europe na ilikuwa kidogo europe yote ianguke kama siyo polish soldiers walio-fight na kurudisha nyuma muslims? na ndiyo maana balkan countries leo hii ni islsmic kama albania au kosovo lkn muslims walishafika mpaka central europe na wakarudishwa nyuma na askari wa poland ...
 
pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent.
ikumbukwe kwamba there's no way afrika ingebakia neutral hivyo ilikuwa ni aidha iende islamic yote kuanzia rasi ya tumaini jema (cape good hope) south afrika mpaka cairo au Christians waingilie kuzuia.

muslims conquest of north afrika mpaka west afrika tayari ilivamiwa na majeshi ya islam na kugeuzwa islamic, hakuna ambacho kingezuia majeshi ya islam kuchukua bara lote kama Christians wasingekuja na push back on islam ...

View attachment 3624125
survival of the fittest 🐒
 
We kijana nitajie hizo investment zilizofanywa sana! Unataka kusema makanisa, shule na vituo vya afya. Unajua zilijengwa kwa sababu gani na zilihudumu kivipi?

Conquests zimekuwepo na hazikua kwa sababu ya dini, dini ni sura moja tu lakini lengo kuu ni utawala. Kuanzia Egyptian, Mongolian, Chinese, Roman, Ottoman hadi Nazi ilikua ni struggle of power sio dini kijana.
 
pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent.
ikumbukwe kwamba there's no way afrika ingebakia neutral hivyo ilikuwa ni aidha iende islamic yote kuanzia rasi ya tumaini jema (cape good hope) south afrika mpaka cairo au Christians waingilie kuzuia.

muslims conquest of north afrika mpaka west afrika tayari ilivamiwa na majeshi ya islam na kugeuzwa islamic, hakuna ambacho kingezuia majeshi ya islam kuchukua bara lote kama Christians wasingekuja na push back on islam ...

View attachment 3624125
Whats ur point?
Wakristo na Waislamu wote wameletewa ustaarabu usio wao!
 
Back
Top Bottom