hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Je hii ndio imekuwa Dar Es Salaam mpya?

    Mji umekuwa mweupe, hakuna hata watu Wale watu wote waliokuwa wamejaa mitaani wameenda wapi? Natabiri uhamisho wa wakaazi wengi wa Darisalama kurudi mikoani walikotoka katika kipindi hiki, na wakiwa huko watajikuta na kuona fursa nyingi sana mikoani kwao kwa kuwa maisha walioshi Darisalama...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Si viongozi wote hupata NEEMA na KIBALI cha heshima hii

    Pamoja na matumizi ya mabavu katika kuhakikisha CCM inasalia madarakani, Nchi hii haijawahi kushuhudia uchaguzi uliosuswa na kuleta unyonge katika mioyo ya watanzania kama uchaguzi huu wa mwaka 2025. Wakati ule CHADEMA ilipokuwa na kasi mno na hata matukio ya vurugu yalikuwepo sana tu na...
  3. JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  4. JamiiForums Tanzania Angalizo: Saa ya ukombozi ni sasa or else ukombozi wa nchi yetu utaendelea kuwa ndoto kwa kipindi kirefu sana kijacho

    Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa. Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Nchi itawaka moto hii Samia akitangazwa, hatutokubali

    Uchaguzi haukuwa huru na wa haki nchi itawaka moto hii samia akitangazwa hatutokubali
  6. JamiiForums Tanzania Mkunda ametuita wananchi “waharifu”: Hii si sawa

    Busara ingetumika na kuchagua maneno ya kutumia hapa. Kuwaita wananchi wanaodai haki zao za msingi ati ni waharifu wakati huo huo wamekuwa wakitekwa na kufanyiwa unyama mbaya sana. Hii si kauli ya kutoka kwa kiongozi mkubwa namna hii.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hii kweli ni Hotel ya Abdul? Details zake zikoje?

    Waandamanaji wanachoongea hapa kinafikirisha:
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Waandamanaji ‘waisalimia’ TCRA. Hii inaenda kubaya zaidi

    Mwanzo nilichukulia wanatania. Wanaonekana kudhamiria
  9. JamiiForums Tanzania CDF - General Nkunda, Hii ni Yako - Utake usitake!

    CDF Nkunda, , isikilize toka kwa colonel Augustino Polepole- Senior Officer, sio ndefu na ina ujumbe mulua kabisa, mjumbe hauwai, isikilize mwenyewe : https://youtu.be/mRY7ojCKQbw?si=cTLj6bkVC6RqXmIP
  10. JamiiForums Tanzania Arusha: Ofisi ya CCM na Ofisi za Kata ZACHOMWA MOTO JIONI HII

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo Tuombe Amani Ndugu zangu.
  11. JamiiForums Tanzania Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu

    Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu
  12. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani

    Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani. Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
  13. JamiiForums Tanzania Je mdau umeshawahi kupigiwa na hii namba?

  14. JamiiForums Tanzania Hata wakiandamana wachache kesho, hii kitu imepenya

    Sikutarajia kwamba maandamano yatazungumzwa had na watoto mitaani, yani mtaani maandamano yamekua maarufu kuliko uchaguzi, ama hakika walioanzisha hii kitu mpaka hapa wamefanikiwa sana yani. Hili bomu hata lisipolipuka kesho ipo siku, vichwani watu washajazwa sumu sana.
  15. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz yuko wapi? CCM mlisema ni mtanzania halisi

    CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu. Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha. Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura. Tunachezewa sana! Eti...
  16. JamiiForums Tanzania Ila hii picha ina ukweli wa uhakika

  17. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi wa Mungu mwenyezi ndio unaleta utulivu nchi hii

    Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa Wangemweka Nyerere...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani?

    Wajameni hivi ikitokea unawasha simu yako unaona message inasomeka android starting optimizing apps 60 of 60 halafu phone ikitaka kufunguka inarudi tena kuanza mpaka inafikia hizo namba hili tatizo nini? na mbaya zaidi inafanya hivyo mpaka chaji inaisha na unaiweka kwenye chaji bado inaandika...
  19. JamiiForums Tanzania Mi sina Mapenzi na Magari ya China, ila hii XPeng P7 inashawishi sana!

    Kutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028. Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025. Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea kwa Mkapa, Tanzania itakombolewa kweli?

    Hii hali ya uwanja leo huku watu wanazidi kutekwa. Tundu Lissu yupo ndani watu wanacheza mchiriku. Mama iba hela mpaka unga uwe 10000 kilo. Piga hela mpaka umeme wa 10000 upate unit 5. Piga hela mpaka watu wawe tayari kuuwa polisi. https://www.youtube.com/watch?v=aimNKl6X4xQ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…